Uteuzi wa Kingunge Ngombare Mwiru kwenye bunge la katiba ni dhihaka kwa watanzania

Uteuzi wa Kingunge Ngombare Mwiru kwenye bunge la katiba ni dhihaka kwa watanzania

LORIN

Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
51
Reaction score
23
Wakati nipotambua kwamba Rais JK amemteua huyu babu kingunge kwenye bunge la katiba hakika nilishangaa sana. Mshangao wangu ulitokana na kurudisha kumbukumbu zangu nyuma kidogo wakat JK alipompumzisha huyu babu ktk uongoz (ubunge wa kuteuliwa) kwa madai kwamba anapaswa kupumzika amelitumikia taifa kwa muda mrefu sana na nguv zimemwishia.

Je leo hii babu Kingunge kikongwe huyu ana jipya gan atakalotoa ktk bunge la katiba zaid ya kwenda kulala bungen au kutoa michango ya kihafidhina? Nina mashaka sana na uteuzi wa kingunge. Wadau nisaidien.
 
IMG_0931.JPG
 
Kazi za kupeana. Chadema ilipo kataa rais kuteua hawa wajumbe mlisema Chadema kila kitu ni kubisha. Sasa mnaanza kuona mantiki ya mawazo ya wabunge wa Chadema?? Na bado mtayaina mengi vikao bikianza. Chadema wanaona mita 200 Ccm wanaona mwisho wa pua zao.
 
KINGUNGE ni mlezi wa chama cha madaktari wa TIBA MBADALA
 
Nimesoma kwenye gazeti Kingunge ni Mwanaharakati sasa sijui Mwanaharakati wa asasi ipi ama mwanaharakati wa nyumbani/NGO/taasisi ipi. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Paul Kimiti naye kapitia kundi gani, hawa wazee wanatakiwa wapumzike wacheze na wajukuu -- michango yao tunaikubali na imeshatosha wawapishe na wengine.
 
Pia nimesikia wamemteua katika kitengo cha NGO's huyu mzee anamiliki NGO gani?

Umesahau ile "NGO" iliokuwa inakwapua ushuru pale Ubungo Bus Terminal inamilikiwa na nani Mkuu..?
 
Hivi kiongozi kushindwa kuongoza si ndo huko? kimwete kaangamiza taifa kilakukicha bei ya bidhaa inapanda watu mko kimya. ikiwezekana ateue hata maiti tanzania hakuna kinacho shindikana
 
Kwa hivyo serikali ya Tanzania imeedhinisha na kuipa mamlaka kama NGO na kisha kumpatia mzee nafasi ya ujumbe katika bunge la katiba sio!
Umesahau ile "NGO" iliokuwa inakwapua ushuru pale Ubungo Bus Terminal inamilikiwa na nani Mkuu..?
 
hiii inaonyesha ni jinsi gani uchaguzi huu wa wawkilishi wa bunge la katiba usivyokuwa makini coz mzee kma hyo unafkl ana kitu gani kpya ktakacho leta mabadilko ktika katiba hii ambayo inaonyesha kuwa na changamoto nyingi zenye kuhitaji watu wnye kuweza ku handle changamoto hzo,kwa hlo mheshmiwa umepotea.
 
Back
Top Bottom