Uteuzi wa Kingunge Ngombare Mwiru kwenye bunge la katiba ni dhihaka kwa watanzania

Uteuzi wa Kingunge Ngombare Mwiru kwenye bunge la katiba ni dhihaka kwa watanzania

Hiyo ni danganya Toto tu na hoja ya kipuuzi ku-justify uteuzi holela wa maCCM,Makonda nae je?? Wale wawakilishi fake wa wavuvi na wafugaji je??!!
 
kwa moyo wangu wote

Yani hujali, wala huwazi ilimradi ni sisiemu imefanya wewe basi hakuna kufikiri zaidi ya apo ...nakuambiaga una akili ndogo hutaki kuamini panua uwezo wako wa kufikiri usipokee kila kitu
 
Haka kazee wanakaonea bure,hawajui kuwa ni tunu ya taifa haka kababu.
 
Yaani watanzania wengi bado ni mabwege aisee, jitu na midevu yake linatamba kutetea uteuzi wa kibabu kingunge? amelifanyia nini taifa hili miaka yote aliyo shika nyadhifa mbalimbali serikalini? tuna safari ngumu ya kuikomboa tanzania yetu.
 
habari imeandikwa kitaarab,litakuwa gazeti la maccm tu hili
 
Bora angeteuliwa babu wa loliondo kwani huyu ndiye pekee aliyeleta heshima ya jamii na serikali kwa tiba mbadala.
 
Kingunge Ngombare Mwiru kama ilivyo imani yake ya Upagani badala ya kuingia katika Bunge la Katiba kwa kupitia mlango wa kawaida akaingilia juu ya paa la jengo la Bunge!!!??Si ajabu mpango huu uliratibiwa na Mteja wa Marehemu Sheikh Yakhaya Hussein,MwanaMSOGA.Ofcourse,birds of a feather flock together!!

Mwambieni amrudie muumba wake umri umemtupa mkono na kifo kinajongea
 
Kingunge Ngombare Mwiru kama ilivyo imani yake ya Upagani badala ya kuingia katika Bunge la Katiba kwa kupitia mlango wa kawaida akaingilia juu ya paa la jengo la Bunge.Haihitaji kuwa Mganga wa Kienyeji kuyaona haya mazingaombwe!!!??Si ajabu mpango huu uliratibiwa na Mteja wa Marehemu Sheikh Yakhaya Hussein,MwanaMSOGA.Ofcourse,birds of a feather flock together!!
 
Back
Top Bottom