Juaangavu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2009
- 935
- 132
Pia nimesikia wamemteua katika kitengo cha NGO's huyu mzee anamiliki NGO gani?
Eti ni mwakilishi wa -wanachama wa tiba za asili. Sijui yeye shughuli zake anafanyia wapi. Nchi ina ombwe la uongozi wenye maono -visionary leaders