Juaangavu JF-Expert Member Joined Nov 3, 2009 Posts 935 Reaction score 132 Feb 18, 2014 #81 Jawilat said: Pia nimesikia wamemteua katika kitengo cha NGO's huyu mzee anamiliki NGO gani? Click to expand... Eti ni mwakilishi wa -wanachama wa tiba za asili. Sijui yeye shughuli zake anafanyia wapi. Nchi ina ombwe la uongozi wenye maono -visionary leaders
Jawilat said: Pia nimesikia wamemteua katika kitengo cha NGO's huyu mzee anamiliki NGO gani? Click to expand... Eti ni mwakilishi wa -wanachama wa tiba za asili. Sijui yeye shughuli zake anafanyia wapi. Nchi ina ombwe la uongozi wenye maono -visionary leaders
katabu JF-Expert Member Joined Apr 19, 2011 Posts 309 Reaction score 41 Feb 18, 2014 #82 Juaangavu said: Eti ni mwakilishi wa -wanachama wa tiba za asili. Sijui yeye shughuli zake anafanyia wapi. Nchi ina ombwe la uongozi wenye maono -visionary leaders Click to expand... Huyu ndo fundi mkuu ktk kamati ya ufundi ya CCM.
Juaangavu said: Eti ni mwakilishi wa -wanachama wa tiba za asili. Sijui yeye shughuli zake anafanyia wapi. Nchi ina ombwe la uongozi wenye maono -visionary leaders Click to expand... Huyu ndo fundi mkuu ktk kamati ya ufundi ya CCM.
katabu JF-Expert Member Joined Apr 19, 2011 Posts 309 Reaction score 41 Feb 18, 2014 #83 Juaangavu said: Eti ni mwakilishi wa -wanachama wa tiba za asili. Sijui yeye shughuli zake anafanyia wapi. Nchi ina ombwe la uongozi wenye maono -visionary leaders Click to expand... Huyu ndo fundi mkuu ktk kamati ya ufundi ya CCM.
Juaangavu said: Eti ni mwakilishi wa -wanachama wa tiba za asili. Sijui yeye shughuli zake anafanyia wapi. Nchi ina ombwe la uongozi wenye maono -visionary leaders Click to expand... Huyu ndo fundi mkuu ktk kamati ya ufundi ya CCM.
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Feb 19, 2014 #84 Kuna wazee mle wanaonekana wamepewa fadhila ili wamalizie siku zao kihivyo.Ila michango yao itakuwa mfu
Kuna wazee mle wanaonekana wamepewa fadhila ili wamalizie siku zao kihivyo.Ila michango yao itakuwa mfu
taffu69 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2007 Posts 2,094 Reaction score 540 Feb 19, 2014 #85 Naona ndiyo sababu PCT walinyimwa nafasi kwa kuogopa kuwa bunge lingegeuzwa uwanja wa mapambano na kukemea nguvu za giza a.k.a 'pepo'
Naona ndiyo sababu PCT walinyimwa nafasi kwa kuogopa kuwa bunge lingegeuzwa uwanja wa mapambano na kukemea nguvu za giza a.k.a 'pepo'
mbwiganyuki Senior Member Joined Nov 3, 2012 Posts 156 Reaction score 103 Feb 19, 2014 #86 Nchi ya sanaa hii, watu wameweka maslahi yao mbele, sijui huu upuuzi ulianza lini??