Uteuzi wa Makamba kama Waziri wa Nishati na aliyofanya alipoteuliwa umenifanya niwakataze watoto wangu kuchukua masomo ya Sayansi

Badala ya makamba ulitaka nani awe waziri wa nishati?
Sina mtu ninaemtaka bali nina sifa - ateuliwe mtu anaejua mambo ya sera na utawala wa nishati, na ana uzoefu wa kazi. Wapo Watanzania wenye hizo sifa mara kumi ya Makamba, au kwa sababu wao sio watoto wa Katibu Mkuu wa CCM mstaafu au hawakuwahi kuwa waandishi wa hotuba za raisi?
 
lakin kwa tz hili swala km la makamba sio round ya kwanz kufanyik tkea enzi za zaman yamefanyika ... kiufup tuyazoee tu
Aaah Mkuu, ndio maana hatuendi popote, umeme toka enzi na enzi na unashindwa kuzalisha umeme wa kutosha nchi yenyewe ndogo hivi na vyanzo vya umeme kibao, gesi, maji, makaa, upepom jua! Tatizo tunafikiri kama mtu aliandika hotuba nzuri basi ataweza kuwa waziri mzuri, hata kama wizara ni ya nishati inayohitaji mtu mahili. Mtu mwenye sifa zake kama ni lazima awe waziri, basi si wampe uwaziri wa elimu hivi? Kwani atakuwa waziri nusu akiwa elimu?
 
hii africa haiwez kuendelea km tutakuw na viongoz sampe hii labda kizazi hiki chote kife kizaz kijach uend kikalet mabadiliko
 
Ndipo nikakumbuka ule mtazamo kwamba watu wa masomo ya sayansi wanafanya kazi kubwa sana katika maisha yao ya shule, lakini katika maisha wanakuja kuamuliwa mambo na hao waliowaita manguini au hata wale vilaza wa darasani walioamua kuingia kwenye siasa kwa kuwa hawakua na kitu kingine cha kufanya!
Hawa nguini silaha yao Ni uchawa ama kujipendekeza Ina Mana kwa huyo wanayejipendekeza kwake angetaka mlango wowote kuingiza foreign invader mwilini mwake nadhani asingekataliwa.

Africa Ni siasa ndio ama uswahili ndio unaongoza nchi.
 
Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake.

Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini kwa nini wizara ya Nishati ambayo ni nyeti sana? Kwa nini tusiwe na waziri katika wizara hii ambae ana ufahamu angalau na mambo ya sera na utawala katika mambo ya nishati? Hakuna Mtanzania ambae angefaa zaidi sana ya Makamba?

Nikasema ngoja nimpe kinachoitwa the benefit of doubt, kwamba mtu ambae hana kabisa background ya energy policy na management atuongozee hii wizara. Kama nilistaajabishwa na uteuzi wake, nilipata na mshituko na yale aliyofanya mara tu baada ya kuteuliwa. Alibadilisha watendaji nyeti wote wa juu katika wizara hii!

Nikauliza ndugu zangu walio karibu na jikoni - kulikoni? Wengi wakasema hataki kufanya kazi na wateule wa Magufuli. Nikauliza hawataki wale wasio na sifa ambao labda Magufuli aliwateua kwa ukabila na urafiki? Nikaambiwa hapana, wote tu.

Sikuamini. Nikamchukulia Dr. Tito Mwinuka ambae alikuwa Mkurugenzi wa Tanesco, ambae nae January alitaka aondoke. Nikaangalia background yake na kuona Mwinuka ni mtu alikuwa kipanga sana kimasomo. Alisoma PCM, akasomea uhandisi pale UDSM na kufaulu vizuri sana hadi kubakizwa kama lecturer. Akaendelea kupanda hadi kuteuliwa kuwa Mkurugenizi wa Tanesco.

Nilishituka hata zaidi kusikia nani atam-replace Dr. Mwinuka - mtu aliesimamia kampuni ya television channel! Nikajiuliza, hivi tuna tatizo gani? Kweli tunafikiri mtu akifanikiwa kusambaza DSTV nchini atafanikiwa kuongoza Tanesco zaidi sana ya mtu kama Dr. Mwinuka? Siamini. Ngoja muda uni prove wrong.

Sasa nilipofikiria kwamba upande wa pili tuna January, ambae alisomea masomo ya kiingereza na historia sijui, na akaja kuwa mwandishi wa hotuba za Kikwete, na kutokana na ukaribu wake na Kikwete na kuwa mtoto wa Makamba akawa waziri. Leo hii huyu ndio anasema simtaki Mwinuka, aondolewe pale Tanesco. Yaani vijana wa UDSM watakuambia nguini ana dictate injinia aondolewe katika kazi ya uinjinia kwa sababu nyepesi sana!

NIkasikitika sana. Ndipo nikakumbuka ule mtazamo kwamba watu wa masomo ya sayansi wanafanya kazi kubwa sana katika maisha yao ya shule, lakini katika maisha wanakuja kuamuliwa mambo na hao waliowaita manguini au hata wale vilaza wa darasani walioamua kuingia kwenye siasa kwa kuwa hawakua na kitu kingine cha kufanya!

Hebu niambieni labda sioni. Tumepata mafanikio yepi katika utendaji wa wizara ya nishati tangu uteuzi hu wa Samia? Mambo yanazidi kuharibika kila siku katika kipindi hiki kigumu ambacho tunahitaji sana wizara hii iongozwe na mtu mwenye utaalamu wa juu wa sera na utawala katika masuaala ya nishati. Sio mzoefu wa kuandika hotuba. Mama usisubiri mambo yaharibike kabisa.

Nadhani dunia inahitaji mapinduzi ya wasomi wa science na teknolojia na kuondokana na kuamuliwa mambo ya kiufundi na watu ambao hawastahili kufanya maamui katika nyanja hizo!

Nikawaambia wanangu, epukeni kozi ngumu za sayansi. Someni historia na kiingereza mje kuwa waandishi wa hotuba za maraisi na mawaziri hata wa nishati au sayansi na teknolojia!
Yote haya yana mwisho wake.Umeandika vizuri sana ndugu yangu na kwa hisia.Mm huwa namlaumu sana Nyerere katika mambo haya yote yanayotokea Tanzania.Mwalimu Julius Nyerere alikuwa na mazuri yake ,lakini pia alikuwa na mabaya yake.Ingawa yeye alisema Kama Kuna mabaya mnisamehe.Wakati mwalimu anaondoka madarakani ,alitakiwa kutupatia katiba mpya .Na suala la katiba wapinzani wengi wa CCM wamekuwa wanalichukulia tu kuwa ni suala la kubali mifumo ya serikali ya CCM.Lakin katiba mpya ni kuwa na mifumo mizuri ya serikali na hata vyama kubadilika kabisa.Kama Mwalimu angetusaidia kuwa na katiba nzuri sana.Vyama vya upinzani viwe vya public visiwe vya watu .Hakika tusingekuwa na vilaza wengi ,kuongoza wasomi wazuri.Ila kila Jambo lina mwisho wake kwa njia yeyote tu watatoka na watafilisiwa.Angalia Angola.Nchi imeongozwa kwa miaka 38 na mtu mmoja.Lakin kwa sasa utawala ule haupo tena .Mungu ibaliki Tanzania.
 
Kweli kabisa ndugu yangu, maana hadi sasa maendeleo ya Tanzania yanafanyika kwa hulka ya kiongozi aliyeko madarakani, sio kwa mfumo ambao raisi yeyote atakaekuwapo ataufuata. Kila raisi anakuja na mambo yake na watuwake na interest zake.
 
Makamba Januari amewekwa pale ili Msoga team wamalizie kile ambacho walikuwa wamebakiza.
Baada ya Janabi kuwasafishia njia.

Bwawa la JNHP licheleweshwe kwa maksudi ili wapate fursa ya kuingia mikataba ya kinyonyaji yenye kuwanufaisha na 20% zao,kama ilivyotokea na inavyoendelea.

Kuna mikataba mingi imeingiwa ambayo huko mbeleni itakuja kuwa Scandals tupu.

Aliwaondoa wataalamu husika kwanza,ili waweze kuamua mambo yao bila vikwazo.

Kumbuka Kikwete ndie alimfuata Samia kumtoa Chumbani kumleta ukumbini Chimwaga Dodoma kumtambulisha kwenye CCM/CC kwamba ndie mgombea mwenza wa JPM.

Leo hii Janabi amepewa promotion ya kuwa mkurugenzi wa Muhimbili.

Baada ya kutoka kutubu na kuungama dhambi zao yeye na Kikwete huko Mecca.

Mama yupo autopilot pale,mshika usukani anajulikana.

Angalia Ardhi unamtoa Lukuvi unapeleka Msoga team,sababu tu,Lukuvi asingekubali ufisadi wao.

Tanzania maudhi ni Mengi hata ukiangalia movie gani Duniani...bado utaendea kuudhika ukiwa ukumbini.
Autopilot, kwakweli maana hata nchini kwenyew haonekanini safari kila kukicha[emoji1787]
 
Janabi.......???
 
Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake.

Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini kwa nini wizara ya Nishati ambayo ni nyeti sana? Kwa nini tusiwe na waziri katika wizara hii ambae ana ufahamu angalau na mambo ya sera na utawala katika mambo ya nishati? Hakuna Mtanzania ambae angefaa zaidi sana ya Makamba?

Nikasema ngoja nimpe kinachoitwa the benefit of doubt, kwamba mtu ambae hana kabisa background ya energy policy na management atuongozee hii wizara. Kama nilistaajabishwa na uteuzi wake, nilipata na mshituko na yale aliyofanya mara tu baada ya kuteuliwa. Alibadilisha watendaji nyeti wote wa juu katika wizara hii!

Nikauliza ndugu zangu walio karibu na jikoni - kulikoni? Wengi wakasema hataki kufanya kazi na wateule wa Magufuli. Nikauliza hawataki wale wasio na sifa ambao labda Magufuli aliwateua kwa ukabila na urafiki? Nikaambiwa hapana, wote tu.

Sikuamini. Nikamchukulia Dr. Tito Mwinuka ambae alikuwa Mkurugenzi wa Tanesco, ambae nae January alitaka aondoke. Nikaangalia background yake na kuona Mwinuka ni mtu alikuwa kipanga sana kimasomo. Alisoma PCM, akasomea uhandisi pale UDSM na kufaulu vizuri sana hadi kubakizwa kama lecturer. Akaendelea kupanda hadi kuteuliwa kuwa Mkurugenizi wa Tanesco.

Nilishituka hata zaidi kusikia nani atam-replace Dr. Mwinuka - mtu aliesimamia kampuni ya television channel! Nikajiuliza, hivi tuna tatizo gani? Kweli tunafikiri mtu akifanikiwa kusambaza DSTV nchini atafanikiwa kuongoza Tanesco zaidi sana ya mtu kama Dr. Mwinuka? Siamini. Ngoja muda uni prove wrong.

Sasa nilipofikiria kwamba upande wa pili tuna January, ambae alisomea masomo ya kiingereza na historia sijui, na akaja kuwa mwandishi wa hotuba za Kikwete, na kutokana na ukaribu wake na Kikwete na kuwa mtoto wa Makamba akawa waziri. Leo hii huyu ndio anasema simtaki Mwinuka, aondolewe pale Tanesco. Yaani vijana wa UDSM watakuambia nguini ana dictate injinia aondolewe katika kazi ya uinjinia kwa sababu nyepesi sana!

NIkasikitika sana. Ndipo nikakumbuka ule mtazamo kwamba watu wa masomo ya sayansi wanafanya kazi kubwa sana katika maisha yao ya shule, lakini katika maisha wanakuja kuamuliwa mambo na hao waliowaita manguini au hata wale vilaza wa darasani walioamua kuingia kwenye siasa kwa kuwa hawakua na kitu kingine cha kufanya!

Hebu niambieni labda sioni. Tumepata mafanikio yepi katika utendaji wa wizara ya nishati tangu uteuzi hu wa Samia? Mambo yanazidi kuharibika kila siku katika kipindi hiki kigumu ambacho tunahitaji sana wizara hii iongozwe na mtu mwenye utaalamu wa juu wa sera na utawala katika masuaala ya nishati. Sio mzoefu wa kuandika hotuba. Mama usisubiri mambo yaharibike kabisa.

Nadhani dunia inahitaji mapinduzi ya wasomi wa science na teknolojia na kuondokana na kuamuliwa mambo ya kiufundi na watu ambao hawastahili kufanya maamui katika nyanja hizo!

Nikawaambia wanangu, epukeni kozi ngumu za sayansi. Someni historia na kiingereza mje kuwa waandishi wa hotuba za maraisi na mawaziri hata wa nishati au sayansi na teknolojia!
Mpaka sasa bado sijapata mtu mwenye fact kuonesha makamba hafai ukilinganisha na watungulizi wake.Wengi wenu mnaleta hoja zisizo na fact yoyote.

Wakati fulani kuna watu walimzodoa makamba kwenye issue ya crane iliokua inahitajika kwenye mradi wa umeme wa Mwl Nyerere kwamba crane anayoeleza inapatikana nchini tena kutoka kwa makampuni ya kawaida,baada yakufuatilia kwa undani nilichokuja kubaini watu wengi huwa wanaleta hoja pasipo kupata fact zakutosha.

Hawa wanasansi wetu humu waliowengi wanachojua ni kuziba viraka tu tunawaona sehemu kibao lakini impact kwa nchi huwa ni zero.

Ukienda pale DIT kule nyuma karibu na makaburi ya kisutu utawakuta wanachuo wanajisomea huku wanavuta bangi maana yake hawa ndio sehemu ya hawa wanasayansi mnaowaona wa maana hapa.
 
Katika Historia ya sekta ya Nishati,ni January peke yake kama Waziri ambaye ameacha majukumu ya kusimamia sera za Nishati na kuwa Marketing Manager wa TaifaGas.
Lakini achilia mbali tuhuma za kuiba mituhani akiwa shule,iyo ni tisa; kumi ni kumuondoa Engineer Tito Kama DG wa TANESCO na kumpa shavu muuza vifurushi vya DSTv na mwisho kuondoa Bodi ya wataalaamu na kuteua Bankers kuwa wajumbe wa Bodi ya TANESCO.
Ila tuache masiala ili hii nchi ikae sawa lazima JWTZ walinde katiba na TISS wapoteze baadhi ya watu.
Otherwise,wacha tuendelee kuimba Iyenaiyena....
 
Please, thibitisha bila kuacha shaka yoyote kuhusu hili.

Kwani mtangulizi wa JM, alikuwa na ufahamu gani kuhusu sera na utawala ktk mambo ya nishati?

JM, alibadilisha watendaji wote wa juu wa Wizara gani?

Sina uhakika kama ukiwa kipanga darasani vilevile na uta perfom vizuri huku duniani.

Kwani ukiwa waziri wa wizara ya nishati lazima uwe mhandisi ?

Inaelekea hujitambui!
Lack of proper nutrition leads to mental retardation hence poor intelligence thinking!
Mkuu jitahidi kula vyakula vyenye lishe ya kutosha na vilevile kama unatumia jani,jaribu kulikausha kwanza.Asante!
 
Dogo, sijaona hoja yoyote yenye mashiko hapa zaidi ya blah blah blah!
Pole.
 
Mpaka sasa bado sijapata mtu mwenye fact kuonesha makamba hafai ukilinganisha na watungulizi wake.Wengi wenu mnaleta hoja zisizo na fact yoyote.

Wakati fulani kuna watu walimzodoa makamba kwenye issue ya crane iliokua inahitajika kwenye mradi wa umeme wa Mwl Nyerere kwamba crane anayoeleza inapatikana nchini tena kutoka kwa makampuni ya kawaida,baada yakufuatilia kwa undani nilichokuja kubaini watu wengi huwa wanaleta hoja pasipo kupata fact zakutosha.

Hawa wanasansi wetu humu waliowengi wanachojua ni kuziba viraka tu tunawaona sehemu kibao lakini impact kwa nchi huwa ni zero.

Ukienda pale DIT kule nyuma karibu na makaburi ya kisutu utawakuta wanachuo wanajisomea huku wanavuta bangi maana yake hawa ndio sehemu ya hawa wanasayansi mnaowaona wa maana hapa.
Kwa hiyo suluhisho ni kupachika mtu yeyote kwenye wizara nyeti kama Nishati, kama Makamba?

Kama ambavyo ninapinga Makamba kwekwa Nishati, ndivyo ambavyo nilipinga Mwigule Nchemba kuwewa Mambo ya Ndani. Na ukimwondoa mtu kama Mwigulu pale fedha unkamweka Makamba nitakuona una ulevi wa namna fulani

Kuna wizara ambazo lazima uwe makini unamweka nani, mfano

  • Nishati,
  • Madini
  • Fedha
  • Sayansi na Technolojia
  • Afya
 
Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake.

Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini kwa nini wizara ya Nishati ambayo ni nyeti sana? Kwa nini tusiwe na waziri katika wizara hii ambae ana ufahamu angalau na mambo ya sera na utawala katika mambo ya nishati? Hakuna Mtanzania ambae angefaa zaidi sana ya Makamba?

Nikasema ngoja nimpe kinachoitwa the benefit of doubt, kwamba mtu ambae hana kabisa background ya energy policy na management atuongozee hii wizara. Kama nilistaajabishwa na uteuzi wake, nilipata na mshituko na yale aliyofanya mara tu baada ya kuteuliwa. Alibadilisha watendaji nyeti wote wa juu katika wizara hii!

Nikauliza ndugu zangu walio karibu na jikoni - kulikoni? Wengi wakasema hataki kufanya kazi na wateule wa Magufuli. Nikauliza hawataki wale wasio na sifa ambao labda Magufuli aliwateua kwa ukabila na urafiki? Nikaambiwa hapana, wote tu.

Sikuamini. Nikamchukulia Dr. Tito Mwinuka ambae alikuwa Mkurugenzi wa Tanesco, ambae nae January alitaka aondoke. Nikaangalia background yake na kuona Mwinuka ni mtu alikuwa kipanga sana kimasomo. Alisoma PCM, akasomea uhandisi pale UDSM na kufaulu vizuri sana hadi kubakizwa kama lecturer. Akaendelea kupanda hadi kuteuliwa kuwa Mkurugenizi wa Tanesco.

Nilishituka hata zaidi kusikia nani atam-replace Dr. Mwinuka - mtu aliesimamia kampuni ya television channel! Nikajiuliza, hivi tuna tatizo gani? Kweli tunafikiri mtu akifanikiwa kusambaza DSTV nchini atafanikiwa kuongoza Tanesco zaidi sana ya mtu kama Dr. Mwinuka? Siamini. Ngoja muda uni prove wrong.

Sasa nilipofikiria kwamba upande wa pili tuna January, ambae alisomea masomo ya kiingereza na historia sijui, na akaja kuwa mwandishi wa hotuba za Kikwete, na kutokana na ukaribu wake na Kikwete na kuwa mtoto wa Makamba akawa waziri. Leo hii huyu ndio anasema simtaki Mwinuka, aondolewe pale Tanesco. Yaani vijana wa UDSM watakuambia nguini ana dictate injinia aondolewe katika kazi ya uinjinia kwa sababu nyepesi sana!

NIkasikitika sana. Ndipo nikakumbuka ule mtazamo kwamba watu wa masomo ya sayansi wanafanya kazi kubwa sana katika maisha yao ya shule, lakini katika maisha wanakuja kuamuliwa mambo na hao waliowaita manguini au hata wale vilaza wa darasani walioamua kuingia kwenye siasa kwa kuwa hawakua na kitu kingine cha kufanya!

Hebu niambieni labda sioni. Tumepata mafanikio yepi katika utendaji wa wizara ya nishati tangu uteuzi hu wa Samia? Mambo yanazidi kuharibika kila siku katika kipindi hiki kigumu ambacho tunahitaji sana wizara hii iongozwe na mtu mwenye utaalamu wa juu wa sera na utawala katika masuaala ya nishati. Sio mzoefu wa kuandika hotuba. Mama usisubiri mambo yaharibike kabisa.

Nadhani dunia inahitaji mapinduzi ya wasomi wa science na teknolojia na kuondokana na kuamuliwa mambo ya kiufundi na watu ambao hawastahili kufanya maamui katika nyanja hizo!

Nikawaambia wanangu, epukeni kozi ngumu za sayansi. Someni historia na kiingereza mje kuwa waandishi wa hotuba za maraisi na mawaziri hata wa nishati au sayansi na teknolojia!
Elimu ya chuo kikuu inatakiwa iwape uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo. Uwaziri na uongozi katika serikali unahitaji mtu anayesikiliza vizuri, anayeweza kuwasiliana na kueleweka vizuri na wananchi, vile vile awe mtu anayeweza kutatua matatizo ya wananchi. Uwaziri hauhitaji mtu kipanga shuleni au alisomea masomo gani- wananchi wanataka matatizo yatatuliwe. Tatizo la wasomi wengi wanakuwa na kiburi, hawasikilizi watu wasio wasomi wakifikiri kuwa wao wanajua kila kitu. Katika Wizara kuna wataalamu waliobobea ambao kama waziri akiwatumia na kuwaongoza vizuri watamsaidia kutatua matatizo. Tumeona madaktari wakipewa kuongoza wizara ya afya na kuboronga vibaya sana. Uongozi ni somo lingine kabisa ni mchangayiko wa sayansi , ungwini na kipaji.
 
Kwa hiyo tumweke Msukuma akaongoze wizara ya fedha basi. Anajua sana kusikiliza watu na kuwasiliana na wananchi, zaidi ya Mwigulu Nchemba.
 
Makamba anapiga kazi nzuri mno. Akimaliza mtamkumbuka kama mnavyomkumbuka kwenye viroba na mifuko ya plastic
.
 
Back
Top Bottom