Changeni hela za kurudisha Ubelgiji,Chamwino msahau,hatuhitaji mistari ya sheria majukwaani,tunahitaji sera tangible za kutufikisha kwenye malengo yetu.
Ni lazima tuonyeshe reservations zetu,tukinyamaza watajua tumeridhika.Tuwaambie tu kwamba yaliyopita nyuma ya pazia tunayajua yote,mbona hata mwenyewe anatamba.
Unajua Masue,inatuuma kwa kuwa chini nako madiwani ni magarasa.Sasa mbunge awe garasa,madiwani magarasa,tutakuwa wageni wa nani?Hivi unategemea nini kutoka kwa Diwani kama wa Wami Dakawa Sosa,an Ex.Std.III, kama sio majungu na kugawanya wananchi tu.
Yaani seriously wananchi wa Mvomero hatujafaidi uongozi wa Magufuli kabisa.Tunasikia tu misifa kede kede maeneo mengine.Miaka mitano iliyopita hola,ijayo nayo kwa viongozi hawa hakuna shaka yeyote itakuwa hola.Dah,inauma sana aisee.