Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja zikutafune haswaAliyekuambia shida inazoewa ni nani,ningekuwa nimezoea ningepiga kelele?Acha u-CDM wako wewe.
Ni lazima tuonyeshe reservations zetu,tukinyamaza watajua tumeridhika.Tuwaambie tu kwamba yaliyopita nyuma ya pazia tunayajua yote,mbona hata mwenyewe anatamba.Ashapita Bila kupingwa huyo. Mwache na yeye akaenjoy maana mtu kama Murad Saddiq hana lolote Papaa Makala mzee wa Bata.
Unajua Masue,inatuuma kwa kuwa chini nako madiwani ni magarasa.Sasa mbunge awe garasa,madiwani magarasa,tutakuwa wageni wa nani?Hivi unategemea nini kutoka kwa Diwani kama wa Wami Dakawa Sosa,an Ex.Std.III, kama sio majungu na kugawanya wananchi tu.Ashapita Bila kupingwa huyo. Mwache na yeye akaenjoy maana mtu kama Murad Saddiq hana lolote Papaa Makala mzee wa Bata.