Wapinzani sera yetu huko nyuma , ilikuwa tunapendekeza katiba ya mzee warioba
Tukaunda dude linaitwa ukawa
Moja ya agenda yetu
Rais apunguziwe mamlaka
Na ikiwemo na ukomo wa ubunge ,,
Tukasema ubunge mwisho tems 2
Ukipiga vipindi viwili vinatosha unawachia wengine waje na mawazo mapya🙂
Cc kama wapinzani tukaanza kuwabeza wazee wa yupo ,, tangia mwalimu
Wasira yupo
Mama Tibaijuka yupo
Chenge yupo
Nimrod Mkono yupo
Na wengine kibao
Leo sioni wapinzani tukitembea na misimamo yetu
Tuanze na
Lema yupo
Sugu yupo
Zito yupo
Mdee yupo
Msigwa yupo
Inamaana katika siasa uwongo ndio dira ya mwana siasa
hawa wakina lema, Msigwa, sugu, Mdee
Wakiendelea kukubalika katika chaguzi na kushinda watakuwa awana tofauti na wakina mzee Chenge, Wasira, Kapuya, wanataka waondoke katika ubunge wakiwa na mamvi,,,
Kelele zote zile mlizokuwa mnawakandia matembele kumbe ilikuwa rubish…
Siasa hizi kweli cc watanzania tunatumika kama makarai Lema, sugu, kibajaji wanafanya yao na familia zao cc tunatoana akili humu..