Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama.
Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3 sasa karibu wilaya zote hazina Wakurugenzi.
Infact, pressure iko juu sasa. Mbaya zaidi mwaka wa budget mpya ushaanza. So, everything is almost stagnant huku mikoani.
Mh. Rais achia mkeka ili mambo yaendelee kama kawaida huku mikoani.