Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Mama Anajenga Kwanza UCHUMI ameomba Apewe Muda baada ya UCHAGUZI MKUU 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kahama ni ufisadi mkubwaDED kahama -ushetu? Au ?
Kwani hakuna wakurugenzi?Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama.
Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3 sasa karibu wilaya zote hazina Wakurugenzi.
Infact, pressure iko juu sasa. Mbaya zaidi mwaka wa budget mpya ushaanza. So, everything is almost stagnant huku mikoani.
Mh. Rais achia mkeka ili mambo yaendelee kama kawaida huku mikoani.
Nami nmo.Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama.
Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3 sasa karibu wilaya zote hazina Wakurugenzi.
Infact, pressure iko juu sasa. Mbaya zaidi mwaka wa budget mpya ushaanza. So, everything is almost stagnant huku mikoani.
Mh. Rais achia mkeka ili mambo yaendelee kama kawaida huku mikoani.
Hiyo nafasi ya ikungi na hisi naenda kuipata mimi.
Ila inaonekana mama ni msikivu sana. Itakuwa zile kelele za kupinga kuteua wagurugenzi, ambao siyo wataalamu zimesaidia, hivyo amerudi nyuma na kufanya vetting kwa umakini.
Ukweli utabaki vilevile kwamba, wakurugenzi wa halmashauri wanatakiwa wawe ni wataalamu wenye uzoefu katika mambo ya uongozi, hasa halmashauri, au serikalini kwa ujumla, na siyo kuokoteza wanasiasa na kuwapeleka halmashauri, ujue kutakuwa na anguko kubwa sana.
Uteuzi wa Ma DED ni kupunguza hali ya utumishi wa Umma, Hawa wapandishwe vyeo ndani ya mfumo wa serikali za Mitaa, Watendaji wakuu wa Wizara wasimamie hili, Rais ataeue mpaka wakuu wa Wilaya tu.Tunasubiri kwa hamu kubwa sana! Tenda miujiza basi Rais wetu!
Mkuu jina lako lipo kwenye mkeka??Tunasubiri kwa hamu kubwa sana! Tenda miujiza basi Rais wetu!
MADED unatuteua lini? inatakiwa ateuliwe kwanza. Waziri wa Fedha. Huyu mama nchi imemshinda Kwa miezi mitatu tu. Trust meTunasubiri kwa hamu kubwa sana! Tenda miujiza basi Rais wetu!