Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Umeongea Jambo la maana sana, huu ujinga wa kuwaza teuzi ndio unasababisha taifa la wanafki kila siku watu wanawaza kusifia tu ili wateuliweMitanzania tumekuwa Wajinga Sana, Yaani mtu anakaa siku, miezi akiwaziwa Uteuzi tu.Daah! Katiba Mpya Itapunguza Ujinga huu kwa maana hizi ni Miongoni Mwa Nafasi Zinazohitaji weledi so application and interview itakuwa sehemu ya Kuwapata Watu sahihi. Hatutaki Mtu Kupewa nafasi kwa sababu ana Kadi na Jezi ya CCM. Kwenye Dai la Katiba Mpya Tuwaunge Mkono CHADEMA ili Kukomesha Ujinga huu.