Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

Umeongea Jambo la maana sana, huu ujinga wa kuwaza teuzi ndio unasababisha taifa la wanafki kila siku watu wanawaza kusifia tu ili wateuliwe
 
Sasa hivi hata vi bia wamepunguza kunywa wanasikilizia upepo...
 
Uteuzi wa maDED unahusisha upekuzi, Mama hataki kufanya makosa kama yaliyojitokeza kwenye uteuzi wa maDC.

Suala la 50/50 pia limechangia kuchelewesha Uteuzi, manake kupata viongozi Wanawake 50/50 kwenye uDED na maDAS bado mtihani manake wanaweza kuwa 25% wenye sifa.
 
Mama Samia tupe zawadi ya idi, mtoe Nchemba alikushauri vibaya.
 
Naona mnamuandama kweli mkurugenzi wetu wa same.
Tatizo nini jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…