kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 325
Haaaaa wewe mtu unaoenekana unapenda sana nyaPu haaaaaaa,watu kama nyie huwa ni adui wa maendeleo maana huwa mnaangalia vingine baada ya utendaji haaaNi mbunge wa Handeni......mkulu hakukoseaga alivyompaga ukuu wa wilaya....Hata ningekuwa mm ningempa hata uwazir aisee maana si mchezo....
U dc na kuselfika wapi na wapi..muda wote ni kazi tu..sasa time ya wabebe..u know iam humbled etc etc nk saa ngapi![emoji12]le mutuz wapi.
swissme
Hapana mkuu sio mpenz wa nyapu kihiivyo ila mm na Sheikh Kipozeo nahis kuna kitu tuna share...Hivi kwa mfano ww ni bosi mahali flani alafu binti kama huyo anakuja ofisini anaomba kaz utafanyaje? Jibu baki nalo mwenyewe usinijibu.....Ndio maana siku hiz nimeacha kabisa kuwalaumu mabosi wanaowapatia kaz mabinti aina hii kwa vile kuna wakat naamuaga kujivika ubosi alafu ndio naa assume amekuja ofisin binti kama huyo mwisho naishia kutabasamu tu.Haaaaa wewe mtu unaoenekana unapenda sana nyaPu haaaaaaa,watu kama nyie huwa ni adui wa maendeleo maana huwa mnaangalia vingine baada ya utendaji haaa
Labda ndio hao hao. Kama wanatumia majina feki unajuaje kama sio hao waliotajwa kwenye hiyo orodha?wale vibaka wanaotumia majina feki ccm wameona hasara yao.
swissme
Haaaa muonekano ni kitu muhimu na ni point pia kabla ya CV au interview haaaaaaa,hamna namna ni kuwala na kuwapa kazi katika kampuni haaaaHapana mkuu sio mpenz wa nyapu kihiivyo ila mm na Sheikh Kipozeo nahis kuna kitu tuna share...Hivi kwa mfano ww ni bosi mahali flani alafu binti kama huyo anakuja ofisini anaomba kaz utafanyaje? Jibu baki nalo mwenyewe usinijibu.....Ndio maana siku hiz nimeacha kabisa kuwalaumu mabosi wanaowapatia kaz mabinti aina hii kwa vile kuna wakat naamuaga kujivika ubosi alafu ndio naa assume amekuja ofisin binti kama huyo mwisho naishia kutabasamu tu.
Byumbu wanahangaika sana
Byumbu wanahangaika sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]le mutuz wapi.
swissme
Le Mutuz kaula tayari baada ya mama kuukwaa u rcLe Mutuz yupo group la Wazee,ni DC wa Chato
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh kuhesabu visoda ofisini kwa ded?auUkuu wa wilaya kazi ya kuhesabu visoda na kupokea wageni.......
Naona uteuzi wa na RC angalau umerudisha heshima ya hiyo kazi kwa kiasi Fulani
Teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, umetupwa kisa elimu?wapi na wapi kuchunga mbuzi uende kuukwaa udc?Ulishawahi kuona wapi uteuzi wa namna hiyo watu wengine hata kutabiri hamjui.
Vipi yule kichaa singidadodoma?wamemtupa kama ganda la muwa?Kapigwa knock out, labda asubiri Neema ya ukuu wa wilaya.
Polepole kautafuta mno u DC!
Katutia mno aibu wanyakyusa huyu jamaa!Hana msimamo kabisa,leo anawaomba mfuate hiki kesho anageuka kauli zake
Kama mwakyembe[emoji12]Kwani pole pole ni mnyakyusa? Haiwezekani; wanyambala ni watu wenye msimamo thabiti sio watu wa kutumiwa tumiwa hovyo!!
Kama mwakyembe
Wanyakyusa mnamtu mhimu sanaMwakyembe anaogopa hata kwenda Kyela; jinsi wasivyompenda!!!Anaogopa atapigwa local polonium!!
Wanyakyusa mnamtu mhimu sana
Mwandosya. Yule waweza jivunia popote uendapo anabusara ni mzito kutetea uovu