Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Dah....hivi hawa wakuu Wa wilaya waliopo wanapata usingizi kweli.....au wanaota kupigwa chini U-dc
 
Ulishawahi kuona wapi uteuzi wa namna hiyo watu wengine hata kutabiri hamjui.
 
Lakini teuzi za Magufuli hazijawahi kuvuja hivyo huu unaweza kuwa uzushi!

Hata mimi simuelewi vizuri mleta uzi na habari hizi. Ni kweli teuzi za Magufuli hazijawahi kuvuja na kama yupo kidudu mtu ikulu alievujisha habari hizi kwa alieamini hatavujisha nyeti hii basi amewaharibia hata waliokuwa wateuliwe mara nyingi taarifa nyeti hivi zikivuja orodha nzima huachwa na kuteuliwa wengine.
 
wakati wa kikwete tuliambiwa ni Askari wa miavuli, kweli ccm wao wanajua kusifu tu, hata kama kachaguliwa mtu kama Anna Kilango
 
Unaweza kuwa kijana na ukawa na maono ya utu uzima.
 
mkuu na kwa vile majina yetu hayamo basi tuombe iwe imevuja ayapotezee majina haya huenda tukakumbukwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…