Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Me nadhani mwaka huu vijana wengi sana wamefaulu vizuri,so ku wa allocate kwenye course ambazo vijana wameomba ndio inakuwa changamoto,vijana wawe na subira tu wala wasiwe na haraka.
 
Tudai Haki Mie nimerudia kulisoma lile tangazo tena na tena lkn sijaona wapi palipo andikwa tarehe ya kutoa majibu. Nimeona kuwa baada ya kikao cha joint admision tarehe 22 wakiridhia ndio watatoa. Sasa hii delay sijui na ya kuto kuridhia au ???!
 
Last edited by a moderator:
hivi ni bora uambiwe umekosa kwa sababu ulifanya multiple admission au kusubiri uambiwe umepangwa wapi? Chagua moja.

hapo ni msimamo tu umekosekana wao ndio wenye mamlaka kwanini waruhusu baadhi ya vyuo kudahili?
Wao waseme tunawatambua waliodahiliwa na tcu na nacte kwsha kazi.
 
tudai haki mie nimerudia kulisoma lile tangazo tena na tena lkn sijaona wapi palipo andikwa tarehe ya kutoa majibu. Nimeona kuwa baada ya kikao cha joint admision tarehe 22 wakiridhia ndio watatoa. Sasa hii delay sijui na ya kuto kuridhia au ???!

walitangaza kabla ya hilo tangazo
 
Last edited by a moderator:
nimeangalia facebook wameandika majina yatatoka tarehe 25 hivyo tupunguze munkari itafika tu

Facebook sio reliable source of information. Hata wewe unaweza ukacreate page na ukaiita TCU au NACTE.
 

Kwa hiyo maraisi wetu na viongozi wooote nchini walitoka nchi za magharibi?
 

pumba vuu!!! uchafu wako kadanganyane na dada yako bush
 

tukusaidiaje?
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…