Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Me nadhani mwaka huu vijana wengi sana wamefaulu vizuri,so ku wa allocate kwenye course ambazo vijana wameomba ndio inakuwa changamoto,vijana wawe na subira tu wala wasiwe na haraka.
 
Tudai Haki Mie nimerudia kulisoma lile tangazo tena na tena lkn sijaona wapi palipo andikwa tarehe ya kutoa majibu. Nimeona kuwa baada ya kikao cha joint admision tarehe 22 wakiridhia ndio watatoa. Sasa hii delay sijui na ya kuto kuridhia au ???!
 
Last edited by a moderator:
hivi ni bora uambiwe umekosa kwa sababu ulifanya multiple admission au kusubiri uambiwe umepangwa wapi? Chagua moja.

hapo ni msimamo tu umekosekana wao ndio wenye mamlaka kwanini waruhusu baadhi ya vyuo kudahili?
Wao waseme tunawatambua waliodahiliwa na tcu na nacte kwsha kazi.
 
tudai haki mie nimerudia kulisoma lile tangazo tena na tena lkn sijaona wapi palipo andikwa tarehe ya kutoa majibu. Nimeona kuwa baada ya kikao cha joint admision tarehe 22 wakiridhia ndio watatoa. Sasa hii delay sijui na ya kuto kuridhia au ???!

walitangaza kabla ya hilo tangazo
 
Last edited by a moderator:
Watu bhana..
 

Attachments

  • 1411459104176.jpg
    1411459104176.jpg
    54 KB · Views: 396
Nani.......?Najua ungependa kuckia kuwa ni CCM, lkn mm ninafkiri ni nchi za magharibi, angalia nchi kama congo ina mali asili nzuri inawezekana kuliko nchi yoyote afrika lkn kwa nini haitawaliki.Hivi unafikiri wamarekani wanavyopenda sifa hawawezi kutusaidia kuchumi wetu ukuwe au mfumo wa elimu yetu uweze kutusaidia kujiajiri kuliko kutegemea kuajiriwa lkn mbona wanatusaidia NET..........lkn kwa upande mwingine mbona hawasifii viongozi kama gadafi lkn wananganganiza kila nchi ifuate mfumo wao wa siasa (demokrasia)na ubepari(capitalism).

Kwa hiyo maraisi wetu na viongozi wooote nchini walitoka nchi za magharibi?
 
Naona watu mnatokwa mapovu bure, narudia tena
WEWE KAMA HAUTACHAGULIWA KWENDA UDSM au MZUMBE basi ujue umeingia chaka kwa kulamba garasa tena huenda kuna kalaana kanakufatilia its better ukaenda kwa Tb Joshua akufanyie maombi kabisa, sababu huwezi kujiita msomi kama hujapita UD au MZUMBE. Byee

pumba vuu!!! uchafu wako kadanganyane na dada yako bush
 
Matokea ni yaleyale yalioleak jmosi, TCU inawachagulia chuo si unilichochagua mtu aliyepata 1.7 PCB chaguo lake la 1 ni MUHAS wao wamempeleka BUGANDO mwingine chaguo lake la 1 ana div 3.10 wamempeleka MUHAS. Kijana wangu chaguo lake la 1 ud law div 2.8 wamempeleka mzumbe rafiki yk 2.9 kapelekwa ud, mwingine kapelekwa st joseph na jina lake leo nimeliona kapata 1.7 PCM ST JOSEPH chaguo lake la mwisho. Sio haki kabisa

tukusaidiaje?
 
MUHAS upate three uje kusoma MD au pharamcy???hyo haipo usilete uongo muhas wapo strict sana,hata Tcu sidhan kama wanaweza fanya hvyo hzo habar sidhan kama una uhakika nazo labda kama umesikia tu mitaani[/QUO
kwel aisee haina ustrict wwte j1 mi nmeona n2 ana 3 na kapangwa muhas
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom