Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
kwel wanastahili hongera yaan mpaka sasa sijalala?😛eace:
 
tcu con umuhim wake nimekesha online ad saivi .....

but nothing át all
 
wamefail, afu yule afisa wao alivyokua anajidai that day eatv natamani aitwe kesho alitolee hili swala maamuzi
 
team popo, pole kijana ndo maisha, io ishu ya cozi moja kutokuwepo kwnye selectn status ni kweli?

profil yangu haina changez... sjui wenzang 1 st round
 
Lakini mzazi si uliambiwa ni baada ya kikao? na kikao kimekaa na kukuta kuna matatizo sasa kama mzazi huelewi hivyo je huyo mwanao si box subiri watatoa.
 
yaaaan we achA tuu sababu kama ndo hvo warudishe 2 analogia ifahamike 1
 
Lakini mzazi si uliambiwa ni baada ya kikao? na kikao kimekaa na kukuta kuna matatizo sasa kama mzazi huelewi hivyo je huyo mwanao si box subiri watatoa.

baada ya kikao wap, hivo vyuo vilivyotoa majina ina maana havihusiki na kikao?
 
wamefail, afu yule afisa wao alivyokua anajidai that day eatv natamani aitwe kesho alitolee hili swala maamuzi

yule afisa au mlinzi wa tcu, hakuwa na jibu tofauti na tareh 22
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom