OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Nadhani mungu ni mwanaume,
Ktk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke,
Kama alimuumba mwanadamu kwa mfano wake,
Na aliyeumbwa ni Adamu,
Na Adamu ni mwanaume,
Hivyo basi mungu ni mwanaume.
Bikira Maria alitunga mimba ya Mungu,
Mwanamke hupewa mimba na mwanaume,
Bikira maria ni mwanamke,
Hivyo basi Mungu ni mwanaume.
Biblia ya kizungu inampotaja Mungu humtaja kama he na sio she
Hivyo basi mungu ni mwanaume.
Kama kuna mtu anapinga alete facts