OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kwahiyo mungu anajinsia zote mbili?Mzee Mungu aliumba Adam..
Ila Adam ni Jinsia Mbili yaani mwanamke na mwanaume au Hujui hilo??
Bado sijaona Hoja Yako ya Jinsia Ya Mungu..
View attachment 3054162
We si ndo mleta Mada Mkuu?Kwahiyo mungu anajinsia zote mbili?
Tushike lipi?Hivyo basi Mungu ni mwanaume.
Kama kuna mtu anapinga alete facts
Neno baba ni uthibitisho kuwa mungu ni mwanaumeTushike lipi?
Tuache lipi?
Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
Kwamba Maria alipewa mimba na Mungu!!!?? Hebu kuwa na adabu. Maria alibeba mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu (kimiujiza) na hakuna ilipoandikwa alipewa mimba na Mungu.Nadhani mungu ni mwanaume,
Ktk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke,
Kama alimuumba mwanadamu kwa mfano wake,
Na aliyeumbwa ni Adamu,
Na Adamu ni mwanaume,
Hivyo basi mungu ni mwanaume.
Bikira Maria alitunga mimba ya Mungu,
Mwanamke hupewa mimba na mwanaume,
Bikira maria ni mwanamke,
Hivyo basi Mungu ni mwanaume.
Biblia ya kizungu inampotaja Mungu humtaja kama he na sio she
Hivyo basi mungu ni mwanaume.
Kama kuna mtu anapinga alete facts
Kusoma miaka saba sio kesi tuambie kwanini mungu sio mwanaume kwa hoja bwana parokoMnasoma biblia kama mnasoma gazeti la udaku,watu tunasomea upadre miaka saba ili kupata uelewa mpana
Basi baba yake na yesu ni nani? Mungu au roho mtakatifu ? TuambieKwamba Maria alipewa mimba na Mungu!!!?? Hebu kuwa na adabu. Maria alibeba mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu (kimiujiza) na hakuna ilipoandikwa alipewa mimba na Mungu.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kwani Roho Mtakatifu siyo Mungu? Huamini katika Utatu Mtakatifu mkuu? 😳Kwamba Maria alipewa mimba na Mungu!!!?? Hebu kuwa na adabu. Maria alibeba mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu (kimiujiza) na hakuna ilipoandikwa alipewa mimba na Mungu.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hana BabaBasi baba yake na yesu ni nani? Mungu au roho mtakatifu ? Tuambie
Ukishakuwa utatu maana yake ni Mungu na washirika wengine wawili. Roho mtakatifu siyo Mungu.Kwani Roho Mtakatifu siyo Mungu? Huamini katika Utatu Mtakatifu mkuu? [emoji15]
Tena alikuwa mtanganyika, sijui kwanini hili hawataki kuliandikaKtk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke,
Wanatuficha Sana kwenye Hilo swala,,,Huwaga nalia MnooTena alikuwa mtanganyika, sijui kwanini hili hawataki kuliandika