Uthibitisho tena kuhusu dawa hii mpya ya ukimwi

Uthibitisho tena kuhusu dawa hii mpya ya ukimwi

Nilisoma kweli ile karatasi ya AZUMA na nilistaajab kuliona hilo,, ila ni dawa nzur mno pia ya magonjwa ya zinaa
 
Wrong wrong wrong wrong narudia tena wrong Azthromycin ni antibiotiQ kama zingine. Na hakna AntibiotiQ yenye uwezo waku muua virus. Tupe mechanism of action ya azuma. Na how inauwa virus kuthibitisha usemalo.
akikupa mechanism usisahau kunistua mkuu
 
REPEATION ON AZUMA FOR HIV and AIDS HEALING.

PROVEMENT...AZUMA is seriously treating and healing HIV and AIDS apart of treating STDs.

AZUMA inatibu na kuponya VVU na UKIMWI nje ya magonjwa ya zinaa.

NB.....Mafamasia, Madaktari na Manesi wapewe maelekezo jinsi ya kutambua Dawa zinavyoweza kutibu magonjwa zaidi ya moja kama AZUMA. Wasipotoshe Ukweli wa dawa hii kwa maslahi ya ARV.

Pia nunua AZUMA duka la madawa halafu soma karatasi ya maelezo yote utakuta kuna sehemu wamezungumzia kuwa ina tibu HIV.

Mawasiliano.......0764 13 45 70

Deogratius N Kisandu.
Mwalimu/Mkolani Sekondari....Mwanza.
View attachment 623354
Anti bacterial inatibuje viral illness. Azithromycin ni antibiotic broad-spectrum for bacterial infections and not viral infections. Azuma ni trade name ya azithromycin.
 
Kuna dawa nimewahi kutumia inaitwa azuma kwa ajili ya tonsils
 
Nilisoma kweli ile karatasi ya AZUMA na nilistaajab kuliona hilo,, ila ni dawa nzur mno pia ya magonjwa ya zinaa
Nilishikwa tonsils nikanunua hiyo dawa inakaa vidonge vi3 tu baada ya siku 3 ya matumizi nikawa poa
 
Dah ! huyu ticha kizungu kibovu namna hii anafundishaje wanafunzi wake?
 
Yani ni hivi elimu tunayofundishwa inaTuBound tuwe kwenye mawazo ya hiyo elimu fine hata ilete LoGic its fine...
Sipingi ila Nanunua muda kwa ajili ya hiyo kitu yako
 
Afanaleik, azuma na ngoma wapi na wapi, jamaa kakimbia, au tumpigie simu
 
Back
Top Bottom