Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5000 duka la madawaMkuu Inauzwa bei gani hii nikutumie pesa?
Halafu mpka mama mjamzito anaruhusiwa kumezaKumbe!?? Aisee mi naifahamu kama antibiotic kama zilivyo kina amoxylin kumbe hii bab kubwa?? Basi sawa
Eti mtambo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Well...masikitiko yangu ni kwa hao wanafunzi wanaofundishwa na huu mtambo
akikupa mechanism usisahau kunistua mkuuWrong wrong wrong wrong narudia tena wrong Azthromycin ni antibiotiQ kama zingine. Na hakna AntibiotiQ yenye uwezo waku muua virus. Tupe mechanism of action ya azuma. Na how inauwa virus kuthibitisha usemalo.
Anti bacterial inatibuje viral illness. Azithromycin ni antibiotic broad-spectrum for bacterial infections and not viral infections. Azuma ni trade name ya azithromycin.REPEATION ON AZUMA FOR HIV and AIDS HEALING.
PROVEMENT...AZUMA is seriously treating and healing HIV and AIDS apart of treating STDs.
AZUMA inatibu na kuponya VVU na UKIMWI nje ya magonjwa ya zinaa.
NB.....Mafamasia, Madaktari na Manesi wapewe maelekezo jinsi ya kutambua Dawa zinavyoweza kutibu magonjwa zaidi ya moja kama AZUMA. Wasipotoshe Ukweli wa dawa hii kwa maslahi ya ARV.
Pia nunua AZUMA duka la madawa halafu soma karatasi ya maelezo yote utakuta kuna sehemu wamezungumzia kuwa ina tibu HIV.
Mawasiliano.......0764 13 45 70
Deogratius N Kisandu.
Mwalimu/Mkolani Sekondari....Mwanza.
View attachment 623354
Nilishikwa tonsils nikanunua hiyo dawa inakaa vidonge vi3 tu baada ya siku 3 ya matumizi nikawa poaNilisoma kweli ile karatasi ya AZUMA na nilistaajab kuliona hilo,, ila ni dawa nzur mno pia ya magonjwa ya zinaa
Kwani wewe mkuu umefundishwa na mwalimu waaje, umewasahau walimu Wetu mkuu?Dah ! huyu ticha kizungu kibovu namna hii anafundishaje wanafunzi wake?
Jipe moyo mkuu, kama mzima baki hapo hapo mkuu.Mbona Hata Kwa Yesu Ukimwi Unapona