Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuleta msawazo kati ya belief na scienceMimi ndiye binadamu pekee mwenye uwezo wa kujibu hoja hizo
Je, unajua maana ya energy? Unajua Physics unajua Chemistry? Nisije nikawa tunajadilia na mbingu vs ardhi.Umeongelea vitu ambavyo vina energy, ambapo wewe umedai hiyo energy ime occupy sehemu ndogo ya hivyo vitu.
Achana na hizo objects vipi kuhusiana na heat energy au light energy?
Energy hizo unaweza kuzielezea namna sawa na hizo object ulizosema energy yake ipo kwenye small particles?
Hahhh kweli Mkuu 💯,... Ili uamini kama mifumo iliyopo imetokea kama ajali basi inabidi ujitoe akili kwanza.Upumbavu wa mwanadamu ni pale anapofika mahali akaamini kitu ambacho hata dhamiri yake inamshuhudia kuwa alichoamini ni upumbavu!! Yaani mtu anaamini kuwa mifumo yote ya uhai uliyoiorodhesha na ambayo hujaiorodhesha ilitokea tu kama matokeo ya ajali nzuri ( a good chaotic interactions without any designer). Ni sawa na mtu kuamini kuwa inawezekana mtu akachanganya kalamu nyingi na karatasi nyingi kisha ikatokea barua inayosomeka na kukupa taarifa kuwa mkeo uliyemwacha ni akiwa na mimba amejifungua mtoto wa kike jana saa sita kamili ya usiku!!
Naelewa nilichokiandika, wala haukuwa na haja ya kuniwekea definition ya light energyJe, unajua maana ya energy? Unajua Physics unajua Chemistry? Nisije nikawa tunajadilia na mbingu vs ardhi.
Energy zote unazozijua katika utofauti wake ni vibration rate ya vitu vilevile tu.
Ukiongelea Light unaongelea electromagnetic energy.
What Is Light Energy? Light energy is a kind of kinetic energy with the ability to make types of light visible to human eyes. Light is defined as a form of electromagnetic radiation emitted by hot objects like lasers, bulbs, and the sun. Light contains photons which are minute packets of energy.
Kwahiyo ukisoma Particle Physics utajua maana ya Photons ni nini. Photons
A photon is an elementary particle that is a quantum of the electromagnetic field, including electromagnetic radiation such as light and radio waves, and the force carrier for the electromagnetic force.
Unapoongelea energy your talking about the same thing. Heat energy, Light energy etc are the form of energy.
So nakuomba basi niletee jibu kwamba where does energy come from?
Ona sasa mzee. Hebu nenda kasome nilichokiandika.Naelewa nilichokiandika, wala haukuwa na haja ya kuniwekea definition ya light energy
Ila sio mbaya kukumbushana.
Hapo mwanzo umeeleza kuwa kila kitu kina energy
Kwa kuanza hivyo unakuwa umeelezea energy within objects, not energy itself.
Ambayo hiyo energy ipo kwenye particles ndogo ya hicho kitu (stand to be corrected if I got you wrong)
Hoja yangu ilikuwa ni hii
Kutokana na wewe kuelezea hoja yako ya energy iliyojikita kwenye vitu (objects)
Nimekupa mfano wa light energy kwasababu ni energy ambayo haihitaji matter ili iwepo.
Sasa hapo ulitakiwa utoe maelezo yatayofanya hoja yako iwe open kwasababu mpaka sasa, mjadala umeubana kwenye eneo moja
Ona sasa mzee. Hebu nenda kasome nilichokiandika.
Hata hivyo bado hujaijua vizuri Einstein theory of Relativity.
Ndiyo maana nikakuuliza kuwa unajua physics?
Ujanua hii E = MC square?
View attachment 2603760
Kuna kitu bado hujakijua. Hapo Einstein alikuwa anaongelea rest mass.
Photon, tunapoongelea they never rest zipo katika movement always.
But siyo kwamba hazina mass but is difficult to messure. And they travell at the speed of light.
About photons. Ukiielewa vizuri Einstein Theory of Special Relativity utakuja kugundua hiki ninachokiongea.
Hata hivyo katika maelezo yangu nimekueleza kuwa all objects has Energy in it.
Tunarudi kwenye swali langu. Naomba unieleze how energy become to be energy?
Nimeongelea hicho kitu. Nadhani unakirudia tu.Duuuh naona hapo hatuelewani kabisa bado ume-stick pale pale kwenye vitu na kuicha energy yenyewe kama yenyewe licha ya mfano niliokupa.
Sasa ngoja nitoke eneo hilo nijibu swali lako
Energy imetokana na nini?
Jibu ni kwamba anayejua, tunachojua kwa saaa ni kuwa energy was always there.
Na kwasababu umeonesha kuijua Quantum physics basi utakuwa unajua kuwa kwenye quantum realm kitu kinaweza kikatokea out of nothing
Sasa kama umekiongelea kwanini uendelee kuuliza swali hilo hilo kuhusu energy imewezaje kuwa?Nimeongelea hicho kitu. Nadhani unakirudia tu.
Nimeongelea kuhusu void. Which is emptiness.
So hiyo kutengenza kitu kutoka kwenye nothing ndio hapo tunatakiwa kuongea.
Vilevile niliongelea kuhusu big bang. Tumeongelea kuhusu Singularity. Haya yote ni kutafuta kukwepa kutambua uwepo wa the high existence.
Kwahiyo ulichokijibu ni kitu kile kile nilichokisema.
NB: Umesema sijaelewa ulichoongea!!!! Umenishangaza kidogo. Tunapoongea kuhusu energy ni issue ambayo ipo wazi na wala siyo siri.
Nimeongelea issue ya Einstein theory na ile formula yake. Tukaongelea kuhusu photon. Kuwa siyo kwamba hazina mass but huwezi ukapima mass yake maana always zipo katika mwendo. Haziwezi kuwa katika rest state. Sasa ugumu wa hapo ni nini?
Yes. Ndio maana tunaongeles sasa huu ndio uthibitisho wa existence of super powerful which is beyond of our ability.Sasa kama umekiongelea kwanini uendelee kuuliza swali hilo hilo kuhusu energy imewezaje kuwa?
Kwasababu ukishajua uwezekano wa kitu kuwepo bila chanzo you can't go further seeking majibu tofauti na hayo.
So kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa energy=Mungu?Yes. Ndio maana tunaongeles sasa huu ndio uthibitisho wa existence of super powerful which is beyond of our ability.
Some they called it God, Allah and so on.
Wewe jamaa una akili sana.So kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa energy=Mungu?
Okay unaweza ukasema hivyo unavyotala lakini haiwezi kumaanisha chochote
Matumizi ya neno Mungu yana imply na being mwenye interest na binadamu.
Na tabia zake ndio kama hizi, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, mwenye upendo wote na muumba wa vyote.
Ni Mungu ambaye anauwezo wa kujibu maombi, anayeziongoza nafsi na roho lakini pia mwenye kuwapa nafasi ya kuishi tena (after life)
Na kwasababu umetaja Mungu wa kiislamu na Mungu wa wakristo, basi niambie energy hiyo ina hizo sifa?
Akili kubwa sana hii. Nawasheshimu mno watu waliosoma Physics, hasa quantum physics.Umetoa definition ya energy hapo juu.
1. Energy haiteketezwi wala kuundwa/kuumbwa
2. Umesema kila kitu ni Energy
Mpaka hapo hujaona tatizo?
Maana yake huwezi kusema Mungu yupo na ni muumbaji wa vitu, wakati vitu hivyo vipo katika state ya energy ambayo awali umesema energy haiumbwi.
Na ukisema u fabricate hoja kulazimisha energy ionekane inaweza kuumbwa, basi utalazimika kutaja muumbaji wa huyo Mungu (kitu ambacho itakuwa ngumu kufanya)
Hakuna sehemu nimetaja kuwa kitu kinachoitwa Mungu ni kwaajili ya Waislam na Wakriato pekee.So kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa energy=Mungu?
Okay unaweza ukasema hivyo unavyotala lakini haiwezi kumaanisha chochote
Matumizi ya neno Mungu yana imply na being mwenye interest na binadamu.
Na tabia zake ndio kama hizi, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, mwenye upendo wote na muumba wa vyote.
Ni Mungu ambaye anauwezo wa kujibu maombi, anayeziongoza nafsi na roho lakini pia mwenye kuwapa nafasi ya kuishi tena (after life)
Na kwasababu umetaja Mungu wa kiislamu na Mungu wa wakristo, basi niambie energy hiyo ina hizo sifa?
Namimi nilijenga hoja kwa kusudio hilo hilo nikiwa namaanisha reference yako ya hiyo energy uliifananisha na Mungu ambaye dini hizo zimemuita Allah nk.Hakuna sehemu nimetaja kuwa kitu kinachoitwa Mungu ni kwaajili ya Waislam na Wakriato pekee.
Mimi nimeongelea The powerful existance wengine wanaweza wakaita jina Mungu, Allah nk.
Unaposema hizo sifa kuwa yupo na upendo na mengine yahusuyo na moral hizo ni imani kutokana na behavior zetu wanadamu za kuchunguza ili kujua hizi behavior tulizonazo zimetokana na nini?
Pili nimeongelea energy kuoanisha na uwepo wa hiyo existence. Kutokana na kwamba hakuna mwanasayansi yeyote anayejua kuhusu energy.
Nishat ya umeme originated from magnetism,Nishat ya Jua originated from the hot gases of Helium and Hydrogen gase inside the Sun!! Wew unataka original ip mkuu??Hakuna sehemu nimetaja kuwa kitu kinachoitwa Mungu ni kwaajili ya Waislam na Wakriato pekee.
Mimi nimeongelea The powerful existance wengine wanaweza wakaita jina Mungu, Allah nk.
Unaposema hizo sifa kuwa yupo na upendo na mengine yahusuyo na moral hizo ni imani kutokana na behavior zetu wanadamu za kuchunguza ili kujua hizi behavior tulizonazo zimetokana na nini?
Pili nimeongelea energy kuoanisha na uwepo wa hiyo existence. Kutokana na kwamba hakuna mwanasayansi yeyote anayejua kuhusu energy.
Sidhani kama unajua kuhusu Singularity.Namimi nilijenga hoja kwa kusudio hilo hilo nikiwa namaanisha reference yako ya hiyo energy uliifananisha na Mungu ambaye dini hizo zimemuita Allah nk.
Halafu powerful existence kwa kipimo gani?
Kukiwa kuna zaidi ya viwili ambavyo vimeweza ku exist bila chanzo, ni kipi kipimo cha ku determine kilicho powerful zaidi kuliko kingine?
Naposema sifa za upendo ndio ukamilisho wa kitu kinachoitwa Mungu.
Labda nikuulize katika hizo aspects za kidini ulizozihusisha na analogy yako, unawezaje kuonekana unaongea kitu kimoja (Mungu) sawa na dini ikiwa kitu kicho haki involve na maswala ya uumbaji?
Mkuu wanasayansi kushindwa kujua nini chanzo cha energy sio sababu ya kuruhusu majibu ya kufikirika (yasiyopitia uchunguzi) kama ndio sababu
Dah!! Hapa sidhani kama umesoma thread ilivyo.Nishat ya umeme originated from magnetism,Nishat ya Jua originated from the hot gases of Helium and Hydrogen gase inside the Sun!! Wew unataka original ip mkuu??
Maana hata maji sizan Kama Yan original,ila huwa yanaji recycle yenyewe tu, Hivyo hivyo na energy huwa Ina ji recycle yenyewe tu!!!
Bora swali lako ungehoji kuhusu chanzo Cha uwepo wa vitu, maana vitu ndo vina energy,ko huwezi ukashughurikia kilichopo ndan badala ya kilichopo nje kwanza
Mjadala uanzie kwenye original ya kitu kwanza,maana kitu ndo energy yenyewe
•Swala la existence of super natural power /God hilo naliunga mkono 100%