Lets say mimi sijui,
Still bado hataiprove kuwa energy inatoka kwa Mungu.
Hata wanasayansi wakisema hawajui inatokea wapi,basi wewe unaesema inatoka kwa Mungu unatakiwa uweke scientific evidence kuwa inatoka kwa ‘mungu’…maana kama utaishia kusema inatoka kwa Mungu bila kuweka huo ushahidi hautatofautiana na yule atakayesema inatoka kwa Mke wangu
That being said, hiyo sayansi ya kusema
hakuna sayansi ya hivyo..sayansi ya quantum physics ni kuwa ndani ya atom kuna protons,electrons,neutrons… ndani ya nucleons(protons na neutrons) kuna Quarks ambazo zina property inaitwa colour ambayo inaweza kufeel strong nuclear force kupitia exchange ya gluons.
Kwahyo nucleus ya atom iko bonded na strong nuclear force ambayo inaweza kuzivuta zile quarks zilizo ndani ya nucleons (protons na neutrons)
Hizi electrons zinazunguka nucleus kwaajili ya property ya charge ambayo huzua electromagnetic force kwasababu electrons ni -ve charge na nucleus ni +ve charge…what about Energy?
Energy kwa lugha rahisi unaweza kuichukulia ni kama property ambayo particle yoyote yenye mass ikiwa kwenye motion inayo(Kinetic energy) au hata kama haipo kwenye motion basi kuna potential(uwezekano) wa hiyo motion kutokea (potential energy)
Mfano ili upande mlima na gari lako inabidi utumie energy iliyo kwenye chemical bonds za mafuta(P.E) ili ufanye kazi against gravity,lakini ukifika juu ya mlima unakuwa na maximum potential energy due to height ambayo itakusaidia kusereleka mlima bila kutumia mafuta,Hapo ni potential energy ya mafuta ilikuwa converted kuwa KE ya gari ikawa converted kuwa P.E gari ilipofika juu….na ikageuka kuwa K.E tena gari liliposereleka.
Kwahyo kwenye atoms energy iliyopo ni Kinetic kutokana na motion ya electrons with charge(tunapata Electric energy,Electromagnetic energy) au Potential energy kutokana na bonds zilizopo kati ya atoms(Chemical energy) au bonds zilizoiunganisha Nucleus ya atom by strong nuclear force(Nuclear energy).
Hizi bonds (kama ilivyo kwa gari juu ya mlima) zina potential energy maana ukizivunja utatengeneza motion ya hizi particles,,,,kwamfano ukivunja strong nuclear bond inayozishkilia protons na neutrons kwenye nucleus ya atom basi lazima zitaachana kwa speed kali maana protons zote ni +ve charge na hazipend kuwa karibu (like charges repel) lakini zimeshikwa pale na hiyo strong nuclear force
Hizi energy unaweza kuzibadilisha kutoka mfumo mmoja kwenda mwingine mfano kupitia nuclear fission unaibadilisha Potential energy iliyopo kwenye bonds za nucleus kuwa kinetic energy ambayo ni sawa na E=mc2 ambapo E ni energy,M ni mass ya hiyo particle (proton/neutron) na C ni velocity…hii inaendana na equation ya KE=1/2mv2
Kwahyo tumeshaona kuwa energy haitokani na void kama ulivyosema bali inatokana na motion au potential ya kuwepo kwa motion….na wala hakuna vibration ya particles,ukisikia frequency kwenye quantum physics usichukulie kuna vibration ya particles..huku particles hazivibrate lakini zipo distributed kwa probabilities(Heisenberg uncertainty) na wave nature ya hizi subatomic particle haitokani na vibration lakini inatokana na probability kwenye position na motion ya subatomic particles.(somo pana sana hili)
Lakini apo nimekuelezea tu energy ni nini bado sijajibu imetoka wapi.
Tunaweza kuitrace yote kuwa ilitokea mwanzon mwa ulimwengu kabisa kwenye big bang…ambapo hata atoms zote zilitokea huko.
Mfano unapoendesha farasi,energy ya farasi ilitoka kwa nishati ya kemikali(Potential energy)ambayo ilihifadhiwa katika molekular bonds za chakula alichokula. Nishati hiyo ya kemikali iliingia kwa farasi ambaye alikula na kumeng'enya mmea na kuvunja bonds katika molekuli zake. Mmea huo ulitengeneza hizo molecules kwa kutumia nishati ya mwanga kutoka kwa Jua(photosynthesis)…Energy ya Jua ilitoka kwa elektrons katika atoms zake zinazolower energy level, na kurelease energy.
light energy from the sun inatokana na electrons in its atoms lowering energy states(loosing potential energy), and releasing energy(kinetic energy in form of radiation). The energy in the atoms came from the nuclear reactions in the heart of the Sun. What started the nuclear reactions? the Big Bang did..
Now sasa kama unataka kumuinsert huyo Mungu hapo labda useme yeye ndo aliitengeneza big bang,ambapo itakuwa ni kurudisha tu magoli nyuma maana hata wanasayansi wakigundua source ya big bang ambayo sio mungu bado mtasema nayo hiyo ilitokea kwa Mungu.
So the burden of proof ipo kwako unayeamini Mungu na wala sio kwa scientists.