Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Michio huwa anaongelea sana string theory.Yaani ulimwengu mzima bila energy hauwezi kuexist.
Kumbuka even in Universe there is dark energy inayo hold universe.
Nilikuwa namsikiluza professor Michio Kaku akisema Everything ni Energy.
So what is your point?
How can Energy be the cause of itself?Yes. Michio huwa anaongelea sana string theory.
My point is siku tukijua what is energy we will know everything about existence.
But now tuendelee kusema energy is super existence. Some beliefs wanaweza wakaita Allah, God etc.
Hivi unajua energy huwa inaloose kiasi Fulani ikiwa Converted?Yes. Michio huwa anaongelea sana string theory.
My point is siku tukijua what is energy we will know everything about existence.
But now tuendelee kusema energy is super existence. Some beliefs wanaweza wakaita Allah, God etc.
Sasa hii ndiyo sayansi mzee. Ndiyo mambo yalivyo.How can Energy be the cause of itself?
If Energy cannot be created or destroyed, ilitokea tu from no where?
How can Nothing from No where, Be the cause of itself and its own existence to Somewhere???
Mimi huwa nasema haya mambo ya Energy na Mungu ni kama illusions na dhana za kufikirika tu,Hazipo.Sasa hii ndiyo sayansi mzee. Ndiyo mambo yalivyo.
Na everyday tunaitumia hiyo energy. And without energy nothing will exist.
So we can say the issue about energy, is beyond of our understanding at this moment.
Kuhusu Cell, kiakili tu ya kawaida Cell Ili iweze kuunda kitu inabidi iwe kwenye conditions zinazosupport Uundaji.Nimeshaelezea cell imetokea wapi?
Ila Dunia unavyoiona Sasa sio ilivyokuwa 3.5 billion years a go.
Kutoka kwenye evolution perspective
Kulikuwa na pool of amino acid na ndiyo condition iliyofanya first cell to appear.
Naomba nikuuluze swali: kwa nini maisha ya Dunia ni carbon based badala ya silicon based?
Dah!! Unless hujui physics mzee. Energy haipotei kama unachange from one state to another let sayHivi unajua energy huwa inaloose kiasi Fulani ikiwa Converted?
Au ikiwa inasafiri au ikiwa inatumika?
So kwa mujibu wa mtazamo wako na sifa za Mungu mnazompa haiwezekani ukaequate Mungu= Energy.
Unless awe insane person pekee
Hujaelewa Mkuu,... Nimesema kwa watu wote tumepewa uchache wa elimu(ujuzi) na sio kwamba watu wachache ndiyo wamepewa elimu.Hao wachache aliowapa kina nani?
Mimi ninacho jua hakuna Mungu/ mungu nje ya mawazo ya binadamu.
Hivyo hakuna chochote, yoyote wa kumpa elimu mtu kuhusu ulimwengu nje ya delusional ya Wanadamu.
Kama complexity ya binadamu inakufanya ukubali kuwa aliumbwa kwanini unamtoa mungu kwenye hii equation? Mungu pia atahitaji designer kwasababu, in order to design something you must have a mind that is functionally complex than whatever you want to design (uwezo wako wa akili lazima uwe mkubwa kuliko unachotaka ku design)View attachment 2603202
Mkuu, Human being is a work of art& engineering.... Yani Mtu alivyo tu inaonyesha kuna ufundi ambao umefanya mpaka ukaona mifumo yote kwenye mwili wa binadamu kuanzia:-
1. Respiratory system
2. Digestive system,
3. Circulatory System
4. Nervous System
5. Endocrine system
6. Muscular system
7. Skeletal system
8. Immune system
9. Urinary system
10. Reproductive system.
Yani, Ingetosha kabisa kuangalia mwili wako na jinsi unavyofanya kazi kujua kwamba kuna DESIGNER aliyeweka mifumo yote hiyo., Au kama unahisi mwili wa binadamu na jinsi unavyofanya kazi umejitokeza tu from nowhere, let's conclude that hata robots tunazoziona zimejitokeza tu from nowhere..... Does it make sense?
Issue ya energy is not illusion mzee. Energy inatumika uendesha magari. Au mzee unapochoma mafuta kwenye gari na kuendesha unatumia nini?Mimi huwa nasema haya mambo ya Energy na Mungu ni kama illusions na dhana za kufikirika tu,Hazipo.
Binadamu mpaka saa hatujui tuli kujaje duniani, Sio kisayansi Sio Kimungu bado hatuna uhakika na uthibitisho kamili wa kipi kinatuweka hapa duniani..
Bado tuna ji shangaa shangaa tu....[emoji23][emoji23]
Originator hayupo limited na time, space and matter..Huyo Originator alikuwepo wapi kabla ya ku design vitu?
Au Hakuwepo halafu Akawepo from No Where?
How can Nothing from No where be the cause of itself to Somewhere???
Unajua kwanini Mungu anatoka kwenye hiyo Equation ya kuumbwa?Kama complexity ya binadamu inakufanya ukubali kuwa aliumbwa kwanini unamtoa mungu kwenye hii equation? Mungu pia atahitaji designer kwasababu, in order to design something you must have a mind that is functionally complex than whatever you want to design (uwezo wako wa akili lazima uwe mkubwa kuliko unachotaka ku design)
Something cannot come from nothing ndo unachojaribu kusema
If God is something basi na yeye pia anahitaji designer tutajikuta kwenye endless chain ya mamiungu yanayoumba mamiungu mengine
If God is nothing, then he cannot exist
Lakini Kuna Moja ni kweli kwamba maisha hayapo duniani tu.Mimi huwa nasema haya mambo ya Energy na Mungu ni kama illusions na dhana za kufikirika tu,Hazipo.
Binadamu mpaka saa hatujui tuli kujaje duniani, Sio kisayansi Sio Kimungu bado hatuna uhakika na uthibitisho kamili wa kipi kinatuweka hapa duniani..
Bado tuna ji shangaa shangaa tu....[emoji23][emoji23]
Hahhhh kumbe upo kwenye dillema.... Tafuta sehemu ya Kushika tu Mkuu🙌🏼Mimi huwa nasema haya mambo ya Energy na Mungu ni kama illusions na dhana za kufikirika tu,Hazipo.
Binadamu mpaka saa hatujui tuli kujaje duniani, Sio kisayansi Sio Kimungu bado hatuna uhakika na uthibitisho kamili wa kipi kinatuweka hapa duniani..
Bado tuna ji shangaa shangaa tu....[emoji23][emoji23]
Venus Star watu wengi hawapingi kutokuwepo kwa Mungu. Ni kwamba, hii dunia ina chanzo. Na hiko chanzo ndio watu wanaita Mungu na majina mengi. The force behind all power is energy.Nawasalimia wana JF wote.
Leo nitaongelea uthibitisho wa kisayansi uwepo wa Mungu. Na ninapenda tujadili hapa kisayansi zaidi. Pamoja na kuunganisha imani mbalimbali zilizopo.
Sipendi niseme kwamba jina Mungu au neno Mungu ndio sahihi katika kitu ninachotaka kuongelea. Lakini nitaongelea kwamba kuna nguvu ipo ambayo hatuwezi kuielezea kwa namna ya mambo yanayoonekana.
Bila kupoteza muda naanza kama ifuatavyo.
LAW OF CONSERVATION OF ENERGY
states that energy can neither be created nor destroyed - only converted from one form of energy to another.
Kabla ya kuendelea kuongelea Law kwanza tunatakiwa tujiulize energy ni nini?
Energy is the ability to do work - Nishati ni uwezo wa kufanya kazi.
Kaitka vitu vyote vilivyopo ndani yake kunakuwa na Energy. Hata kama kiwe kimetulia.
Mpaka sasa wanasayansi wanajua namna ya kuitumia energy. Lakini kupata kujua energy ni kitu gani bado utafiti unaendelea.
Mwiliunahitaji chakula na ndani ya chakula kuna chemical energy ambayo hutumiwa ndani ya mwili na cells ilikuufanya mwili uweze kufanya kazi. Kazi zote zinazofanyika kwenye mwili energy ndiyo inayafanya zifanyike.
Pasipo energy hata existence ya kitu chochote kisingekuwepo.
Source of Energy
Wale waliosoma Quantum Physics au waliosoma Particle Physics
Hapa utasoma Fundamental particles and force inayohusu matter and radiation.
utakuja kuona ndani ya Atom kuna particle zipo ambazo ndani yake kuna energy.
Lakini utakapoenda ndani zaidi utakutana na vibration (Frequencies) ya very small particles.
Sasa ukienda zaidi kufanya utafiti hizo simall particles zimeundwa na nini. Jibu utapata void
WHAT IS VOID
: opening, gap. : empty space : emptiness, vacuum. : the quality or state of being without something .
Hiyo ndiyo tafsiri ya neno Void.
Je Void inaweza ikatengeneza haya maajabu yote tunayoyaona?
Nuclear Energy, Fossil Energy, Solar Energy, Electric Energy etc? Au kuna The very Powerful Existence iliyo juu ya uwezo wetu?
Basi kwa tafsiri hii naweza nikasema The Powerful Existence Beyond of our thinking which is the source of Energy is so called God or Allah in our understanding.
Hiyo ni Introduction ya thread yangu hii. Nitaendelea kuenda ndani zaidi kwa evidences za kisayansi.....
Venus Star watu wengi hawapingi uwepo wa Mungu. Ni kwamba, hii dunia ina chanzo. Na hiko chanzo ndio watu wanaita Mungu na majina mengi. The force behind all power is energy.Nawasalimia wana JF wote.

Sifa ambazo sisi binadamu wenyewe tumetengeneza tukampa si ndio??Unajua kwanini Mungu anatoka kwenye hiyo Equation ya kuumbwa?
Jibu ni hili :- Kwasababu Yeye ndiyo Ameumba kila kitu.. (Ukisema ameumbwa basi huyo Sio Mungu tena)
Hivyo hakuna chochote wala yoyote aliyemuumba Mungu, Maana Ili chochote au yoyote amuumbe Mungu inabidi aumbwe na Mungu kwanza... So kwenye hiyo Equation Mungu kwa Sifa zake hawezi kuingia labda tuzitoe hizo Sifa.