MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
What if ikitokea kwenye gimba jingine mfano Titan maisha yakiwa kwenye Silicon based?Kuhusu Cell, kiakili tu ya kawaida Cell Ili iweze kuunda kitu inabidi iwe kwenye conditions zinazosupport Uundaji.
Mfano, chukulia mfano wa Shahawa uliotoa mwanzo.... Shahawa ukizimwaga kwenye shuka lako/kwenye mchanga atatokea mtoto?
Maisha ya Dunia ni Carbon based kwa sababu, Carbon inaweza kuunda molekuli mbalimbali zikiwemo amino asidi, ambazo ni muhimu katika ujenzi wa protini za seli, na asidi ya nucleic kama DNA na RNA ambazo ni muhimu katika kubeba information za maumbile.
Kwa upande wa Silicon ni kwamba haiwezi Kuunda molekuli muhimu kwa ajili ya uhai.
Ndiyo maana wanasayansi wao wanaamini kuwa maisha ya duniani yamekuwa carbon-based kwa sababu ya uwezo wa carbon wa kuunda molecules mbalimbali zenye utata wa kikemia zinazohitajika kwa uhai.
Maana kule bahari Yao ni Methane na ipo kwa mfumo wa kimiminika?
Nadhani hoja ya watu kumdicredit Mungu ipo kwenye mifano halisi.
Kule kwenye vitabu vya dini ya Ibrahim wanasema binadamu ndio aliumbwa lakini wanyama na Mimea alisema au kutamka vitokee na vikatokea.
Ila ukiwafatilia wanyama namaanisha kingdom Animalia na hasa Mammalia utagundua hawana tofauti kubwa hasa foetus.
Ulaji wa vyakula sisi tupo kundi la Omnivorus na wanyama kama Nguruwe hivyo hatuna huo uspecial.
Kitu pekee ni Intelligence ya human lakini the rest ni sawasawa na ndugu zetu.