Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Kwa hivyo mkuu tukubaliane kwamba Hakuna mwenye Uthibitisho wa kwamba tuliumbwa au Hatuku umbwa.

Wote tuna imani tu, Na wewe pia usilazimishe tu kwa maneno kwamba tuliumbwa bila kuwa na uthibitisho.
Hakuna sehemu nimelazimisha Uamini kwamba Ulimwengu Umeumbwa.
Bali kwa upande wangu Mimi Creation theory inaingia akilini kuliko Evolution Theory.

Kusema Ulimwengu na viumbe haujaumbwa ni Imani.

Kusema Ulimwengu Umeumbwa ni Imani.

MWISHO WA SIKU TUTAJUA YUPI ALIKUA SAHIHI....
 
Hakuna sehemu nimelazimisha Uamini kwamba Ulimwengu Umeumbwa.
Bali kwa upande wangu Mimi Creation theory inaingia akilini kuliko Evolution Theory.

MWISHO WA SIKU TUTAJUA YUPI ALIKUA SAHIHI....
Na kwa wengine "Creation theory" ya Creator ambaye Hathi bitishiki yupo,

Lakini sifa zake zipo, Hai ingii akilini inaleta utata sana.
 
Na kwa wengine "Creation theory" ya Creator ambaye Hathi bitishiki yupo,

Lakini sifa zake zipo, Hai ingii akilini inaleta utata sana.
Lakini, si unafahamu kwamba wewe ni miongoni mwa waumini?

Yani kusema kwamba Ulimwengu haujaumbwa, ni Imani... Maana uthibitisho huna.
 
Hakuna sehemu nimelazimisha Uamini kwamba Ulimwengu Umeumbwa.
Bali kwa upande wangu Mimi Creation theory inaingia akilini kuliko Evolution Theory.

MWISHO WA SIKU TUTAJUA YUPI ALIKUA SAHIHI....
Bahati mbaya sana, mwisho wa hiyo siku tutakuwa sote hatupo! Na mara nyingi hiyo siku ya mwisho haifiki, inakuja nyingine na nyingine hata tukishatoweka!
 
Bahati mbaya sana, mwisho wa hiyo siku tutakuwa sote hatupo! Na mara nyingi hiyo siku ya mwisho haifiki, inakuja nyingine na nyingine hata tukishatoweka!
Mkuu kila mtu atapata uthibitisho wa kile alichokiamini.

Asiyeamini kuna Mungu, atathibitisha endapo kufufuliwa hakutokuepo maana wasioamini wao wanaamini ukifa kila kitu kitu kimeishia hapo ....

Kumbuka ahadi ya Mungu ni kwamba ipo siku watu na viumbe wote Ulimwenguni tutakufa kisha tutafufuliwa.

;-Na kwa anaeamini uwepo wa Mungu, uthibitisho ataupata siku ambayo atafufuliwa na kulipwa kadri ya matendo aliyofanya kwenye maisha yake.

So, ufufuo ukitokea Walioamini uwepo wa Mungu watasema "Hii ndiyo ile siku tuliyoahidiwa"

Na wale wasioamini watashangaa kwamba Yale yaliyokua yakisemwa yametimia.
 
Huyo Mungu kama alitaka watu wa mwamini yupo si ange jitokeza na kujidhihirisha bila utata?

Badala yake ana jificha halafu anataka tuamini yupo.

Yani kwamba yeye mwenyewe Hajijui kwamba ana aminiwa au Ha aminiwi.

Anasubiri sisi tumdhihirishie kwamba ana aminiwa au Ha aminiwi..

Ana uwezo wa kujua yote kweli?
Kama anahitaji uthibitisho na kujua kama ana aminiwa au haaminiwi na viumbe vyake mwenyewe?
 
Hahhh kwahiyo unataka tuendeleze ligi....

Ipo hivi, Mungu hana shida ya kuthibitisha kuaminiwa au kutoaminiwa na viumbe wake, Yani sisi wote Dunia nzima hata tusipomuamini hatumpunguzii kitu.

Kitu Kingine ni kwamba Mtu ukiamua kupinga kitu hata uletewe uthibitisho gani utakataa...

Mfano,..Mungu akija kwako na kukuambia Yeye ndiyo Mungu aliyeumba Ulimwengu mzima na Viumbe wote utakubali?

Kuna watu waliishi zama za Yesu, akawafanyia miujiza mingi mpaka kufufua wafu ,.. lakini Walimpinga
 
Hivi mkuu mimi nika kwambia mimi ndio Mungu nimeumba ulimwengu wote na vyote vilivyomo.

Uta niamini na kuni kubali???
 
Kwenye ulimwengu ambao mchakato wake ni wa vurugu na usio na mpango wala lengo hamna nafasi ya kupata ukweli wala maarifa kwani tunakuwa tumefungwa kwenye mchakato wa visababishi vya kimwili (physical determinism).
Wazo hili linaweza lisikuelekeze kujua kwa udhabiti nini unakielezea.

Ukiyaangalia mambo kwa makini, na kama ambavyo wanasayansi wanakubaliana, kwamba mtu ndio alikuwa kiumbe wa mwisho kuumbwa, wazo kwamba ulimwengu wenyewe mchakato wake ni, wa vurugu na usio na mpango wala lengo, ni kufafanua mambo kimakosa; na hivyo ni falsafa inayoacha kupima mambo kwa msingi wa akili.

Ulimwengu ambao ni, pamoja na binadamu ndani yake, wazo kwamba mchakato wake ni wa vurugu na usio na mpango wala lengo ni matokeo ya mtu mwenyewe kushindwa kutumia inavyotakiwa uhuru wake.
 
Yani kama tuchukue kopo tuweke herufi tatu ndani A,B,C tulitingishe kisha tuangalie all the possible combinations, ambazo zitakuwa ni ABC, ACB, BAC, BCA, CAB, CBA. Mtu ataweza kusema combination sahihi hapo ni ipi? Kwa misingi gani mtu aseme ABC ndo sahihi?
Mfano huu unaonyesha namna yetu ya kufafanua mambo na pia uelewa wetu wa mambo na elimu ya vitu ulivyo bado mdogo na sio kwamba mchakato wa tendo hilo ni wa vurugu na usio na mpango wala lengo.

Kama mtu atataka kutafuta kujua ukweli, hataacha kukiri kwamba, ulimwengu ni tokeo la uwepo wa hali ya juu wenye akili.
 
The origin of energy and the singularity that gave rise to the Big Bang are still the subject of ongoing scientific investigation and debate. While there is not yet a complete and definitive answer to these questions, scientists have proposed a number of theories and hypotheses based on observations and experiments.

According to the current understanding of the Big Bang theory, the universe began as an extremely hot and dense singularity, which then rapidly expanded and cooled over billions of years, giving rise to the formation of stars, galaxies, and other structures in the universe.

As for the origin of energy, it is believed that energy was present in the universe from the very beginning, as a fundamental property of matter and radiation. The exact mechanisms by which energy came into existence and how it has evolved over time are still the subject of ongoing scientific investigation and debate.

It is important to note that scientific explanations are always tentative and subject to revision or rejection based on new evidence. Therefore, while we may not yet have a complete understanding of the origin of energy and the singularity that gave rise to the Big Bang, scientists continue to work towards developing and refining theories that can explain these phenomena based on empirical evidence and observations.
 
When we discuss about God concept at this era tunatakiwa kujadili kwa mtazamo mwingine.

Hatuwezi kuendelea kujadili concept of God kama walivyokuwa wakijdadili karne za zamani sana.

Concept of God we have to discuss it kwa mtazamo wa kisayansi pia. Kwamba omnipresent of God idea is the Idea of the presence of Energy. Energy is everywhere in the Universe.

According to many theories energy was there before the Big bang.
Energy was concentrated to the point which known as singularity.

So tunaendelea kufanya utafiti how energy became to exist. Hiyo ipo beyond of our understanding until this moment.

Ngoja niishie hapa. Kisha nitaelezea how energy works in our body. From heat energy, electric energy etc.
Energy haiwezi kuwa Mungu:
(1)kwa sababu inakosa utambuzi( Consciousness)
Kumbuka kwenye vitabu vya dini ya Kiibrahim, Ubudha, Uhindu, Uras, Dini za kiafrika Mungu kimepewa sifa ya utambuzi au kiumbe.

(2) Kama utasema Mungu ni energy basi usibishe mwingine akisema Mungu ni wavelength.

Yaani hata kwenye Void still Kuna wavelength kitu ambacho kitaondoa hata maana ya huyo mmwitae Mungu/mungu.
Hapa plank equation inahusika

(3) kwenye Ile theory maalufu utagundua matter na Nishati ni exchangeable yaani E= mc2 huyo Mungu ni matter?
Kumbuka sifa yenu hafanani na chochote?

Hivyo inaonyesha hata wewe mwenyewe unajaribu kumwelezea upande ambao ni wrong zaidi
 
Can we see energy through experiment? Or we just know the form of energy?

Energy itself is not directly visible, as it is a property of matter and radiation rather than a physical object. However, we can observe the effects of energy through experiments and observations of natural phenomena.

For example, we can observe the effects of electromagnetic energy, such as visible light, through our eyes and through instruments like telescopes and cameras. We can also observe the effects of thermal energy, such as changes in temperature, through thermometers and other instruments. Other forms of energy, such as kinetic energy or potential energy, can be observed through their effects on objects and systems.

In addition, scientists use a wide range of experimental techniques and instruments to measure and analyze energy in various forms, including spectroscopy, calorimetry, and particle detectors, among others. These techniques allow scientists to study the properties and behavior of energy in great detail, and have led to many important discoveries and advances in physics and other fields.

Therefore, while energy itself may not be directly visible, we can observe and measure its effects through a wide range of experimental techniques and instruments, and use these observations to develop a comprehensive understanding of energy and its role in the natural world.
 
Hiyo kusema hakuna kuumbwa kwa kutamkwa ni Imani yako tu.., maana ukiambiwa uthibitishe kwamba haiwezekani kuumbwa kwa kutamkwa hautoweza.

Kuhusu akili, yes Viumbe wengine Wana akili lakini human being amewazidi viumbe wengine.... Au hili nalo unabisha?
Hapo huna ulichopinga Bali umekubaliana kuwa humans sio Special kama hata kitu ilichokuwa inajivunia Hana binadamu peke yake.

Labda ili tuwe na common understanding Kuumbwa ni nini?

Then tutaendelea.

Unaweza kuthibitisha kiumbe kinaweza Kuumbwa kwa kutamka?
 
Back
Top Bottom