MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kuamini kitu hakikifanyi kiwe kweli?Ipo hivi, haina haja ya kuwa na ubishi usio na mwisho.
Mimi na wewe, tuna Imani zetu mbili.
1. Wewe unaamini Ulimwengu hauna Creator, (Na ukiambiwa ulete uthibitisho kwamba Ulimwengu hauna Creator, hauwezi).
2. Mimi naamini Ulimwengu una Creator, ukiniambia nikuletee huyo Creator umuone, umshike, umnuse, umsikie maskioni mwako Ili nikuthibitishie sitoweza. (But nimesoma Maneno yake nikaona yanaingia akilini nikamuamini)
So, haina haja ya ubishi..... Amini unavyoona ni sawa na Mimi nifanye hivyo hivyo.... Mwisho wa siku itajulikana nani yupo sahihi kwenye Imani yake, [emoji1755]
Rejea issue ya Mchungaji McKenzie, Kibwetere au Mwamposa na mafuta ya upako.
Wale waliokufa kwa kushinda njaa wanaenda peponi?
Jibu lipo wazi lakini wameishi maisha yao wakioamini maneno ya matapeli.
Kuna wale wanaojilipua ili waende peponi na kupewa mabikira 72 na wenyewe walichoamini ni kweli?
Wote wenye akili timamu wanajua si kweli.
Kuna wale wanao amini wakifa watazaliwa tena, je ni kweli?
Ukifa umekufa mwili wako utaoza na energy plus essential materials zitakuwa recycled.