Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Fossil records zinasema species mbalimbali za Binadamu (akiwemo homo sapiens) walikuepo zaidi ya miaka mamia ya elfu iliopita, miaka kama laki tatu hivi iliopita. Species ya binadamu aina ya homo neanderthalensis tunaamini walikua extinct miaka 40,000 iliopita. Hawa homo neanderthalensis ndio watu weupe asililia kubwa wana DNA zao.. kumaanisha kwamba homo sapiens wali zaliana na hawa.Sawa....
Hivi unajua kuwa watu weupe(Europeans) hawana HISTORIA zaidi ya miaka 7000 nyuma(hawakuwepo)....ila CARBON DATINGS inatuonyesha kuwa milima ilikuwepo zaidi ya miaka milioni......
Ndio, milima ni ya kale zaidi ya binadamu lakini tukirudi miaka, tuseme 500,000 iliopita, viumbe wengi unaowaona hapa saivi hawakuepo (sio binadamu tu kama unavodai). Na palikua na viumbe wengi sana ambao leo hii hawapo tena...