MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Anga haliendelei kutanuka acha uongo.Hakuna anaefahamu mwanzo wala mwisho wa Anga..., Hata Sayansi Bado haijui mwisho wala mwanzo wa Anga....
Kumbuka kama Qur'an(Surah Adh-Dhariyat, Chapter 51, Verse 47, where Allah says:
"And the Sky We constructed with strength, and indeed, We are [its] expander.") na Sayansi inavyosema kwamba Anga Inaendelea kutanuka hivyo basi sidhani kama tutakuja kugundua mwisho wala mwanzo wa Anga.
As per Qur'an & Science, Anga Ineandelea kutanuka, hakuna ajuaye mwanzo wala mwisho wa Anga.
Ahsante.
Kifupi hata hujui anga ni nini?
Ulimwengu ndio unaendelea kutanuka ila anga la dunian lipo vile vile.
Kila kitu kipo kwenye motion na gimba kati ya gimba vinazidi kuwa mbali mbali.
Hii ni kuonyesha hakuna creator aliyefanya na inawezekana miaka mingi ijayo Milky way Galaxy na Andromeda vikamerge.
Sasa umesema anatumia vimondo kupiga Mashetani na majini, ndio nikakuuliza Mbingu ipo kati ya wapi na wapi?
Maana vimondo vinapatikanna Asteroid belt na Kuiper belt.
Mara hujui au huyo Mungu anatumia vimondo kutoka Alfa Centaur