Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Sitakiwi kujibu kwa jumla bali naweza kusema zipo hoja naona ni sahihi na zipo hoja ambazo sio sahihi.

Kwa sabbau wanasaysni nao ni watu hivyo kukosea katika hoja zao ni jambo linalowezekana.
unapimaje hoja ya kisayansi ambayo si sahihi? huoni sayansi ni powerfull kwa sababu ina check and balance system inayoifanya ijikosoe hata yenyewe kitu ambacho kwenye hoja za Mungu hakipo?
 
unapimaje hoja ya kisayansi ambayo si sahihi?
SUala la napimaje ni issue binafsi ambayo huwenda upimaji huo usiwe na mantiki kwa mtu mwingine.

Ishu ya MSINGI ni kwamba hata wana saysni nao WANAKOSEA,na kila mmoja ana vipimo vyake
huoni sayansi ni powerfull kwa sababu ina check and balance system inayoifanya ijikosoe hata yenyewe
System gani hiyo ?
 
Embu acha vihoja kama jambo hulijui ni kheri ukubali ndio uungwana
Labda iwe najua kimakosa lakini siongei kitu nisichokijua ndugu(so huwenda najua kitu katika makosa)
miisuli ya uso kumbukumbu inatoa wapi?
NI sawa na kuuliza ubongo kumbukumbu hutoa wapi,nikudokeze tu kwamba mpaka muscles zina memory ya kukumbuka kipi inatakiea ifanye kwa munasaba wa tukio fulani,ndio maana hata wewe leo hupati tabu kuongea kwa sababu tayari musuli ya mdogo ina kumbukumbu ya nini usrmd tokea utotoni.
Sasa mnataka kusema energy ni being?
Wewe ndio unasema na unahitimisha hivyo na sio mimi niliyesema na kuhitimisha,hapa tunajadili hatupo kwa ajili ya kuweka hitimisho.

Nashangaa wewe umekimbilia kwenye hitimisho pale ulipouliza kwamba "mnataka kusema enery ni being?" Huko umefika wewe sio mimi.
Kwenye computer system inayotunza kumbukumbu ni energy au Cpu? Nenda kasome vizuri nini maana ya nishati?
Nakuuliza tena mkuu,UNajuaje kama kitu fulani kina kumbukumbu au hakina ?

Ili kitu kiwe na kumbukumbu inatakiwa kiwe na sifa gani ama kifanyeje ndio tuhitimishe kwamba kina kumbukumbu ?
 
SUala la napimaje ni issue binafsi ambayo huwenda upimaji huo usiwe na mantiki kwa mtu mwingine.

Ishu ya MSINGI ni kwamba hata wana saysni nao WANAKOSEA,na kila mmoja ana vipimo vyake

System gani hiyo ?
point yangu ni hivi kwenye sayansi hakuna 'authority' au 'prophet',haijalishi wewe ni nani au equations zako zinavutia kiasi gani wengine wanaweza kutafuta makosa kwenye theory zako kitu ambacho kwenye imani za Mungu hakipo,kanisa limeshawalisha matango pori watu karne kwa karne
 
Tunashuhudia waisilamu wakikosoa ukristo.
Wakristo wakikosoa uisilamu.

NA kila dini ikikosoa dini nyingine.
Au hata watu wa dini Moja wakikosoana baina ya dhehebu na dhehebu.

Kwa hiyo sio sahihi unachosema HATA KWENYE DINI KUKOSOANA KUPO sio kwenye sayansi tu.
 
bado hujanielewa!
 
bado hujanielewa!
HApana ni wewe hujaweka sawa hoja yako,nimekupa ithbaati ya kwamba hata kwenye dini kukosoana kupo baina ya dini moja na nyinginr,ama dini moja,baina ya dhehebu na dhehebu ama ukosoaji ndani ya dhehebu moja.

Haya madhehebu yote ni kwa sababu watu wana mawazo tofauti,so hoja yako ya kwamba kwenye dini hakuna ukosoaji hiyo hoja ni BATILI.
 
there was nothing but the void and darkness ,why darkness? the energy accumulate into the single point, wat about the media?

na ukisema universe rose from nothing hapa unaona thing mlima mbele yako nadhani kichwa yako ina shidah
 
Labda iwe najua kimakosa lakini siongei kitu nisichokijua ndugu(so huwenda najua kitu katika makosa)

NI sawa na kuuliza ubongo kumbukumbu hutoa wapi,nikudokeze tu kwamba mpaka muscles zina memory ya kukumbuka kipi inatakiea ifanye kwa munasaba wa tukio fulani,ndio maana hata wewe leo hupati tabu kuongea kwa sababu tayari musuli ya mdogo ina kumbukumbu ya nini usrmd tokea utotoni.

Wewe ndio unasema na unahitimisha hivyo na sio mimi niliyesema na kuhitimisha,hapa tunajadili hatupo kwa ajili ya kuweka hitimisho.

Nashangaa wewe umekimbilia kwenye hitimisho pale ulipouliza kwamba "mnataka kusema enery ni being?" Huko umefika wewe sio mimi.

Nakuuliza tena mkuu,UNajuaje kama kitu fulani kina kumbukumbu au hakina ?

Ili kitu kiwe na kumbukumbu inatakiwa kiwe na sifa gani ama kifanyeje ndio tuhitimishe kwamba kina kumbukumbu ?
Embu tuelezee kitaalamu jinsi misuli ya uso inavotunzaa kumbukumbu?
 
Kwa sababu brain sio mfumo ila sehemu ya mfumo wa fahamu.
kwa sababu ni muungano wa organi mbalimbali ndiozilizotengeza huo mfumoi na haiitaji kuwepo kwa designer.
kama yupo thibitisha?
Kwamba muungano wa Organ mbalimbali za mwili wa binadamu ndiyo zilitengeneza mfumo?.....

Yaani tuchukulie moyo ulivyo na chemba zake Nne(4) zimejitengeneza zenyewe,?
Unaweza kuthibitisha?

Yani, zimejitengeneza tu zenyewe kiasi ambacho Kwenye pipe moja damu inaingia na pipe nyingine damu inatoka na kuhakikisha supply ya damu inaenea karibia mwili mzima?

FvHeCZmXoAIWSTS.jpeg
 
View attachment 2607515
Mbona rahisi sana
embu niambie moyo umeundwa na cell za aina gani?
kwa nini zinatofautiana na cell za miguu?

Ndio ujue adaptation its a new phenomenon to you.
Halafu Mitochondria hukujibu kwa nini ipo kwenye sell za viumbe
 
Mkuu haina haja ya kuzunguka sana.... Umesema ogani zimejitengeneza zenyewe.
Nimekuuliza unaweza kuthibitisha?

Tokea uzaliwe ushawahi kuona ogani zikijitengeneza na Kuunda kiumbe?

Au siku hizi Ogani hazijitengenezi tena?

Mimi siamini kama ogani zilizopo kwenye miili yetu kwa mpangilio huu zimejitengeneza zenyewe bila akili/ujuzi kutumika.

Kuhusu Mitochondria nilikujibu kwamba ni Miongoni mwa component muhimu kwenye seli ya kiumbe hai inayosupport uzalishaji wa nishati kwenye seli hususani kwa ajili respiration... Sasa unavyosema kwanini ipo kwenye seli za viumbe sijakupata lengo lako.

Tuendelee kuelimishana.
 
Mbona rahisi sana
embu niambie moyo umeundwa na cell za aina gani?
kwa nini zinatofautiana na cell za miguu?

Ndio ujue adaptation its a new phenomenon to you.
Halafu Mitochondria hukujibu kwa nini ipo kwenye sell za viumbe
Ndugu yangu hii issue ya mitochondria wengi hawajui. Kwamba ipo na DNA yake
Hilo swali mtu aliyebobea pekee anaweza kulijibu.

The most widely accepted theory for how mitochondria entered eukaryotic cells is called endosymbiosis. This theory proposes that billions of years ago, a free-living bacterium capable of aerobic respiration was engulfed by a primitive eukaryotic cell, which lacked the ability to produce its own energy.

Instead of being digested by the host cell, the bacterium survived inside the cell and formed a mutually beneficial relationship with its host. The bacterium provided the host cell with a new source of energy in the form of ATP, while the host cell provided the bacterium with protection and nutrients.

Over time, the bacterium became dependent on the host cell and lost some of its ability to function independently. Its DNA eventually became integrated into the host cell's nuclear genome, and many of its genes were transferred to the nucleus or lost altogether.

This process of endosymbiosis is thought to have occurred multiple times in the evolution of eukaryotic cells, with mitochondria being the most well-known example. Chloroplasts, the organelles responsible for photosynthesis in plants, are also thought to have originated through endosymbiosis.
 
Mkuu hiyo kama ukisoma vizuri utaona ni theory/thought tena wanaongelea kuhusu Billions of years ago......

Hivyo hao walio propose hiyo theory,.... Wenyewe hawana uhakika.

Tuendelee kuelimishana.
 
Yes. Ndiyo maana kuanzia mwanzo naongelea theories. Ni kama imani zile zile za kidini.
Yes, sasa shida hao wanaoamini hizi Scientific theories kwamba zenyewe eti zipo 100% correct na kuona kwamba wanaoamini Mungu wapo Brainwashed.

Lakini kiukweli kabisa:-
1. Kuamini kwamba Ulimwengu na viumbe vilitokea tu from nowhere tena by chance.
2. Na kuamini kwamba Kuna Creator aliyefanya Ulimwengu na viumbe vitokee.

Mimi naona hiyo Imani ya kwanza ndiyo Kali zaidi 🙌🏼
mtu anaambiwa miaka Billions iliyopita mdudu flani alitokea by chance kisha aka_evolve akawa Popo na mtu anaamini bila wasiwasi..... Kisha anaona wanaoamini kwenye Creation theory ni wajinga then wao waerevu👀
 
Mambo ni magumu mno.
 
Embu tuelezee kitaalamu jinsi misuli ya uso inavotunzaa kumbukumbu?
kuna swala la msingi huwa nakuuliza tokea nyuma ila sijapata mawazo yako unajibuje,so naomba kabla hujaniuliza mimi nawe utimize ahadi ya kujibu nilichokuuliza.

Nimeuliza hivi hapo nyuma..

Ili kitu kiwe na kumbukumbu inatakiwa kiwe na sifa gani ama kifanyeje ndio tuhitimishe kwamba kina kumbukumbu ?
 
Yes, sasa shida hao wanaoamini hizi Scientific theories kwamba zenyewe eti zipo 100% correct na kuona kwamba wanaoamini Mungu wapo Brainwashed.

Lakini kiukweli kabisa:-
1. Kuamini kwamba Ulimwengu na viumbe vilitokea tu from nowhere tena by chance.
2. Na kuamini kwamba Kuna Creator aliyefanya Ulimwengu na viumbe vitokee.

Mimi naona hiyo Imani ya kwanza ndiyo Kali zaidi [emoji1373]
mtu anaambiwa miaka Billions iliyopita mdudu flani alitokea by chance kisha aka_evolve akawa Popo na mtu anaamini bila wasiwasi..... Kisha anaona wanaoamini kwenye Creation theory ni wajinga then wao waerevu[emoji102]
Evolution can be observed lakin. Ila creation? Mtu kuumbwa toka kwa udongo? Nah...
 
Msingi wa Mungu ni imani na imani ni kuwa na hakika na jambo au kitu kisichokuwa na ushahidi. Ukiwa na ushahidi wa uwepo wa Mungu, hiyo sio imani tena, ni uhakika na ufahamu.
 
Back
Top Bottom