Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Theory ya Darwin ndio ina mashiko zaid kwasababu ndio imejibu maswali mengi zaidi. Kaa ukijua kua kuna theories nyingi tu ziliibuliwa na watu ila ya Darwin ndio imeshikiliwa...Dah!! Ndugu yangu. Kwanza kabisa unanilisha maneno ambayo sijaandika. Katika comments zangu hakuna sehemu nilitamka kuhusu kuumbwa. Tafuta, hakuna.
Pili nimekuwekea criticisms 7 umeamua kuchagua hizo na kuzijibu kwa juu juu tu.
Lakini zile za msingi kabisa umeziruka.
Hebu nakuomba utueleze how does life originated from this theory you claim to be true.
Halafu mzee wangu unajichanganya sana. Umekubali kuwa theory is just an idea na siyo uhalisia inatakiwa ifuatiliwe na tuweze prove.
Tangu bwana Darwin aitamke theory hii imebaki kuwa theory miaka na miaka. Huoni kuwa hii nayo ni aina ya imani kama imani zingine?
Hakuna experiment yoyote imefanywa kuonesha virus anabadilika kuwa multicellular.
Na kuhusu virus kua multicellular? [emoji848].. sjaskia hio. Ila life tunaamin kua ilianza kama single cell. Maana ndio kitu pekee tunaweza kufikiria. Hakuna namna vitu vyote vilitokea kwa wakat mmoja...