Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Energy is not something that was created by any individual or entity. Rather, it is a fundamental property of the universe that has always existed.

According to the current scientific understanding, the universe began with the Big Bang, which created all matter and energy in the universe in a single event. Since then, energy has been constantly transformed and transferred through various processes such as nuclear reactions, electromagnetic radiation, and chemical reactions, among others.

While humans have learned to harness and utilize various forms of energy, such as through the use of electricity or fossil fuels, we did not create energy itself. Rather, we have learned to transform and use the energy that already exists in the universe.
 
Nipatie jibu. Where does energy come from?
Lets say mimi sijui,
Still bado hataiprove kuwa energy inatoka kwa Mungu.
Hata wanasayansi wakisema hawajui inatokea wapi,basi wewe unaesema inatoka kwa Mungu unatakiwa uweke scientific evidence kuwa inatoka kwa ‘mungu’…maana kama utaishia kusema inatoka kwa Mungu bila kuweka huo ushahidi hautatofautiana na yule atakayesema inatoka kwa Mke wangu

That being said, hiyo sayansi ya kusema
hakuna sayansi ya hivyo..sayansi ya quantum physics ni kuwa ndani ya atom kuna protons,electrons,neutrons… ndani ya nucleons(protons na neutrons) kuna Quarks ambazo zina property inaitwa colour ambayo inaweza kufeel strong nuclear force kupitia exchange ya gluons.
Kwahyo nucleus ya atom iko bonded na strong nuclear force ambayo inaweza kuzivuta zile quarks zilizo ndani ya nucleons (protons na neutrons)

Hizi electrons zinazunguka nucleus kwaajili ya property ya charge ambayo huzua electromagnetic force kwasababu electrons ni -ve charge na nucleus ni +ve charge…what about Energy?
Energy kwa lugha rahisi unaweza kuichukulia ni kama property ambayo particle yoyote yenye mass ikiwa kwenye motion inayo(Kinetic energy) au hata kama haipo kwenye motion basi kuna potential(uwezekano) wa hiyo motion kutokea (potential energy)
Mfano ili upande mlima na gari lako inabidi utumie energy iliyo kwenye chemical bonds za mafuta(P.E) ili ufanye kazi against gravity,lakini ukifika juu ya mlima unakuwa na maximum potential energy due to height ambayo itakusaidia kusereleka mlima bila kutumia mafuta,Hapo ni potential energy ya mafuta ilikuwa converted kuwa KE ya gari ikawa converted kuwa P.E gari ilipofika juu….na ikageuka kuwa K.E tena gari liliposereleka.

Kwahyo kwenye atoms energy iliyopo ni Kinetic kutokana na motion ya electrons with charge(tunapata Electric energy,Electromagnetic energy) au Potential energy kutokana na bonds zilizopo kati ya atoms(Chemical energy) au bonds zilizoiunganisha Nucleus ya atom by strong nuclear force(Nuclear energy).
Hizi bonds (kama ilivyo kwa gari juu ya mlima) zina potential energy maana ukizivunja utatengeneza motion ya hizi particles,,,,kwamfano ukivunja strong nuclear bond inayozishkilia protons na neutrons kwenye nucleus ya atom basi lazima zitaachana kwa speed kali maana protons zote ni +ve charge na hazipend kuwa karibu (like charges repel) lakini zimeshikwa pale na hiyo strong nuclear force

Hizi energy unaweza kuzibadilisha kutoka mfumo mmoja kwenda mwingine mfano kupitia nuclear fission unaibadilisha Potential energy iliyopo kwenye bonds za nucleus kuwa kinetic energy ambayo ni sawa na E=mc2 ambapo E ni energy,M ni mass ya hiyo particle (proton/neutron) na C ni velocity…hii inaendana na equation ya KE=1/2mv2

Kwahyo tumeshaona kuwa energy haitokani na void kama ulivyosema bali inatokana na motion au potential ya kuwepo kwa motion….na wala hakuna vibration ya particles,ukisikia frequency kwenye quantum physics usichukulie kuna vibration ya particles..huku particles hazivibrate lakini zipo distributed kwa probabilities(Heisenberg uncertainty) na wave nature ya hizi subatomic particle haitokani na vibration lakini inatokana na probability kwenye position na motion ya subatomic particles.(somo pana sana hili)

Lakini apo nimekuelezea tu energy ni nini bado sijajibu imetoka wapi.
Tunaweza kuitrace yote kuwa ilitokea mwanzon mwa ulimwengu kabisa kwenye big bang…ambapo hata atoms zote zilitokea huko.

Mfano unapoendesha farasi,energy ya farasi ilitoka kwa nishati ya kemikali(Potential energy)ambayo ilihifadhiwa katika molekular bonds za chakula alichokula. Nishati hiyo ya kemikali iliingia kwa farasi ambaye alikula na kumeng'enya mmea na kuvunja bonds katika molekuli zake. Mmea huo ulitengeneza hizo molecules kwa kutumia nishati ya mwanga kutoka kwa Jua(photosynthesis)…Energy ya Jua ilitoka kwa elektrons katika atoms zake zinazolower energy level, na kurelease energy.

light energy from the sun inatokana na electrons in its atoms lowering energy states(loosing potential energy), and releasing energy(kinetic energy in form of radiation). The energy in the atoms came from the nuclear reactions in the heart of the Sun. What started the nuclear reactions? the Big Bang did..

Now sasa kama unataka kumuinsert huyo Mungu hapo labda useme yeye ndo aliitengeneza big bang,ambapo itakuwa ni kurudisha tu magoli nyuma maana hata wanasayansi wakigundua source ya big bang ambayo sio mungu bado mtasema nayo hiyo ilitokea kwa Mungu.
So the burden of proof ipo kwako unayeamini Mungu na wala sio kwa scientists.
 
Sipendi mtu anayeandika uongo kwa hisia yake.
Wapi nimesema Energy inatoka kwa Mungu.

Rekebisha kwanza hiyo sentence ndio niweze kusoma maelezo mengine.

Soma comments zangu zote. Hakuna sehemu nimesema energy inatoka kwa Mungu.
 
Also kuhusu quarks. Mzee nikikuuliza what made quarks utabaki tu kugusa hapa na pale.

Ndio maana nikaeleza kuwa unatakiwa usome string theory. Halafu ukielewa theory ya big bang and singularity. Hapo utaanza kunielewa.

Hapa naongea advanced understanding of the universe na theories zilizopo sasa.
 
Nani kasema mwili umetoka from nowhere??? Kuna concept inaitwa evolution,you should chek into it.
Lakini hata kama tukikubali kuna designer,unaweza kuweka ushahidi wa kisayansi kuwa huyo designer ni Mungu?
 
Hizo system hata Mbuzi anazo
Ni kipi special kwa binadamu?
 
Ulichoandika kwenyepost hakihusiani na string theory wala bigbang wala singularity…umeandika doctrines za watu wa yoga.
String theory is not yet to be proven,its a work in progress hatuwezi kuichukulia kama basis ya kuprove au kudisprove anything.
 
Sasa kama energy haitoki kwa mungu,mungu ameingiaje kwenye hii mada?
Soma mzee nilichokiandika. Usinilishe kitu ambacho sijasema. Ubaya husomi. Na vitu vyote nimevieleza hapo mwanzo.
Also nikaeleza kuwa kwa mujibu wa Imani Mungu yupo mahali popote. Nikaeleza vivyo hivyo energy ipo kwenye all objects.
Sasa mpaka hapo hujang'amua tu kitu ninachokiongelea?
God cannot be created or destroyed. Also Law of conservation of energy inasema vivyo hivyo.

Sasa hapa bado sijaeleweka?
 
Nani kasema mwili umetoka from nowhere??? Kuna concept inaitwa evolution,you should chek into it.
Lakini hata kama tukikubali kuna designer,unaweza kuweka ushahidi wa kisayansi kuwa huyo designer ni Mungu?
Evolution Theory Haisemi chochote kuhusu Origin ya Mtu (yaani out of nothing mtu alitokea wapi)


Kabla ya kujua Designer ni Mungu au Sio Mungu....,

Inabidi kwanza tujue kama, mfano Mwili wa Mtu na designed systems zote zilizopo kwenye mwili wake zina Designer au hazina? .....(Tuanze na swali hili, na kama unahisi Evolution ndiyo imetengeneza mtu na ika design systems zote zilizopo kwenye mwili wa mtu, upo huru kujibu Kutokana na Evolution Theory)

Then baada ya hapo tutajua kama huyo DESIGNER NI NANI?

Nikukumbushe tu, DESIGNER NI DESIGNER Vyovyote tutakavyoamua kumuita haitoondoa maana kama YEYE NI DESIGNER.
 
Wapi nimeandika theory za yoga? Unalazimisha niseme kitu unachofikiria wewe.

Soma maelezo yangu ya mwanzo kabisa kwente thread hii. Yatakupatia mwanga wa nini ninachoongelea.

Nenda kasome comment yangu ya 2,3 na 4 mwanzoni kabisa. Nimeongelea Big bang na nikaelezea kwa kifupi kuhusu singularity.

Sasa String Theory is a theory unataka nani sasa aweze kufanya proof wakati ni theory?

Unajua maana ya theory in scientific arena?
 
Unataka kusema God= Nishati(Energy)?
 
Hizo system hata Mbuzi anazo
Ni kipi special kwa binadamu?
Ungetumia akili yako vizuri, ungejiuliza hivi...... Huyu Mbuzi hizi System zilizopo kwenye mwili wake imekuaje zikawa hivi?
Ungejiuliza, Je hizi Systems kwenye mwili wa Mbuzi zimekua designed au zimetokea tu from nowhere.

Au Mbuzi alijitengeneza na aka design systems zake mwenyewe?
 
Kwajinsi Mungu alivyo wa ajabu utaona hata uzi haujadiliki vilivyo ka wakati wa ujenzi wa mnara wa babeli
 
Hizo system hata Mbuzi anazo
Ni kipi special kwa binadamu?
Binadamu nimechukulia kama mfano,.... Ukitaka tunaweza kuichukulia mfano hata NYUKI 🐝 na designed Systems zilizopo kwenye Mwili wa Nyuki jinsi anavyozalisha asali, jinsi anavyopumua, Jinsi wanavyozaliana n.k

Swali la kujiuliza Who/Which/ What .... e.t.c Designed those Systems?
 
Hiyo void inapatikana sehemu gani baada ya nyuzinyuzi?
 
Hiyo void inapatikana sehemu gani baada ya nyuzinyuzi?
Void is emptiness, is nothing. Sasa ukianza kusema sehemu gani tayari sasa hiyo siyo nothing tena au emptiness.

Sehemu inakuwa na space. Space inakuwa identified na observed objects. So hapa unapoongelea sehemu inakuwa haina sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…