MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Nimeachia majina ya awali.
Leo hii lazima apatikane mbabe
Nimeangalia
Yako wapi?Nimeachia majina ya awali.
Leo hii lazima apatikane mbabe
Akizingatia huu ushauri huyo 50,000 naichukua mimiBonde la Baraka hongera kwa huu mchakato...lakini naomb nitoe ushauri!...nahisi kuna ugumu uliposema umeamua kumpa mtu ambaye inaonekana hana mtaji na sio waliokuwa na mtaji... Eti nahis bora ungempa mtu mwenye ekspiriensi za biashara kuliko yule mgeni mwenye kupenda aina fulan ya biashara...
Hyo elfu 50 airudishe kwa mwez na sio mzoefu lazima itamsumbua..
Maana halisi ya mkopo wa biashara ni kuendelezea biashara..na sio yule anayeanza! Mwezi mmoja then airudishe hyo 50 its impossible!
Bonde la Baraka anataka kuninyima tu aiseeeeeBonde la Baraka hongera kwa huu mchakato...lakini naomb nitoe ushauri!...nahisi kuna ugumu uliposema umeamua kumpa mtu ambaye inaonekana hana mtaji na sio waliokuwa na mtaji... Eti nahis bora ungempa mtu mwenye ekspiriensi za biashara kuliko yule mgeni mwenye kupenda aina fulan ya biashara...
Hyo elfu 50 airudishe kwa mwez na sio mzoefu lazima itamsumbua..
Maana halisi ya mkopo wa biashara ni kuendelezea biashara..na sio yule anayeanza! Mwezi mmoja then airudishe hyo 50 its impossible!
Bonde la Baraka anataka kuninyima tu aiseeeee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
100% mkuu October man apewe hilo funguLakini mkuu tuseme kweli..kweli idea yako ni nzuri lakini mwachie@october man!huyu dogo anapambana...ww machocho ya kupata hela huenda yapo!...mie nataman apate huyu dogo[emoji41]
100% mkuu October man apewe hilo fungu
Zero IQ anachimbo la viepe toka kitambo kutafta hilo 50 ni simple tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji106]100% mkuu October man apewe hilo fungu
Zero IQ anachimbo la viepe toka kitambo kutafta hilo 50 ni simple tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimeona zero iq kwenye list na nikaishia hapo hapo kusoma... Endelea kukusanya idea za watu alafu ukazifanyie kazi... Utoe pesa lakini mkuu kma unavyoahid... Mawazo ya mengi ni muhimu kuliko mengi ya wachache.
Tuko nyuma yako.. Dunia ni ndogo.
Epuka dhuruma upate kuishi miaka mingi yenye amani zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwa hewani, nilikuwa busy, am sorry.
Kabla ya SAA sita nitamtangaza mshindi na ataniambia njia ambayo atataka niitumie kumpa pesa