Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

Umetumia kigezo gani ndugu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia
Mazingira ya mhusika
Aina ya biashara atakayoifanya
Hasa nimewalenga wale ambao hawana kitu kabisa, wanataka kuanza, sio kuendeleza.
Pia nimeangalia zaidi post zilizotumwa kabla ya kufungwa ligi
Maoni na ushauri pia nitavipokea.
Kuna watu nitawapuguza nitakapobaini ni wafanyabiashara wa muda, kama zero IQ huyu kwa maelezo yake hii amount haimfai asubiri awamu nyingine itakayogusa wafanyabiashara wenye changamoto
 
Wakuu nani kaibuka mshindi?mimi pia napenda sana kusaidia watu lakin ndo hivyo tena muda wangu naona haujafika ila mkuu mungu akubariki sana sana.i hope namami nitazipata ili niweze kusaidia kuna watu huwa wananiuma lakin nashindwa kuwasaidia.

tatizo lugha
 
Bonde la Baraka hongera kwa huu mchakato...lakini naomb nitoe ushauri!...nahisi kuna ugumu uliposema umeamua kumpa mtu ambaye inaonekana hana mtaji na sio waliokuwa na mtaji... Eti nahis bora ungempa mtu mwenye ekspiriensi za biashara kuliko yule mgeni mwenye kupenda aina fulan ya biashara...
Hyo elfu 50 airudishe kwa mwez na sio mzoefu lazima itamsumbua..
Maana halisi ya mkopo wa biashara ni kuendelezea biashara..na sio yule anayeanza! Mwezi mmoja then airudishe hyo 50 its impossible!
 
Akizingatia huu ushauri huyo 50,000 naichukua mimi

Bonde la Baraka anataka kuninyima tu aiseeeee

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Lakini mkuu tuseme kweli..kweli idea yako ni nzuri lakini mwachie@october man!huyu dogo anapambana...ww machocho ya kupata hela huenda yapo!...mie nataman apate huyu dogo😎
 
Yaani nimeona zero iq kwenye list na nikaishia hapo hapo kusoma... Endelea kukusanya idea za watu alafu ukazifanyie kazi... Utoe pesa lakini mkuu kma unavyoahid... Mawazo ya mengi ni muhimu kuliko mengi ya wachache.

Tuko nyuma yako.. Dunia ni ndogo.
Epuka dhuruma upate kuishi miaka mingi yenye amani zaidi.

Hivi ni mm tu nnayemwelewaga mtoa mada au? Yaani adhulumu kivipi mkuu? Uzi kaandika mwenyewe bila kushinikizwa?..jamani tuache hisia ovu bila sababu!yaan akose deal la 50000?duh
 
Back
Top Bottom