Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo LA 50,000? Duh tusiwe negative sana. Tumpe support jamaa.Sio kwamba unataka kuiba wazo la watu? Kama ulichoandika ndio nia yako hongera sana maana hata wenye mitaji lakini ni wavivu wa kufikiri watafaidika
[emoji125][emoji125][emoji125]Hesabu za kwenye karatasi rahisi sanaa kuliko uhalisia wenyewe [emoji124][emoji124]
Ili ni aplicable kabisa bigup sana nimelipenda hili wazoKwa mtaji huo boss mito ya baraka unapendeza kwa biashara ndogo ndogo.
Mimi nitafanya hivi:-
Nitanunua cakes zile zinazokaa 10pcs per dozen then nanua creams zinazotumika kuandika kwenye cakes.
So hapa kila pc naandika jina la mteja au ujumbe mfupi atakao taka mteja.
Hii biashara nitifanyia maeneo ya shule ya msingi.
Japo sijaweka mchanganuo wa costs but Tzs 50k inatosha.
NB
Keki hizi ni zile zenye vikaratasi zinauzwa sana kwenye terminal
Saaafi kabisa. Hongera sanaHongera sana ukipenda na mm niko tayari kuongeza kwa mtu wa pili hiyo hiyo 50,000