Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo elfu 50 mchanganuo, wake kwa biashara ya mishikaki.
Naenda kwa Fundi kuchomelea aniandalie Jiko elfu 25,
Natafuta kijiwe kizuri sehemu wanayopita watu wengi,
--Sokoni nyama kg 2 steki tupu =16000,
--mkaa wa 1500
-Viungo vyake 5000(hiyo siyo vya siku moja ukinunua ni vingi mpaka viishe vitakaa kaa kidogo. )
-vijiti vile vistiki vyake 2000.
Naandaa mishikaki yangu ya wastani tu ya kuuza mia 2 mia 2 tu,
Kwenye kg 2 nina uhakika wa kupata faida ya 10K kila siku hapo baada ya kutoa matumizi ya mkaa, vijiti na Nyama.
Ndani ya wiki tayari nimekurudishia 50k yako.
NB:
Nilishawahi kufanya hii kazi hivyo nina uhakika nayo. Ndio kazi iliyonipa mtaji wa kibanda cha kuchakata viazi kuwa Chips.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu. Huo ndio ubinadamu. Ingekuwa wale wenye mitaji mikubwa wangewafanyia hivi wengine Tanzania ingebadirika haraka sana. Huwa najiuliza sana mtu kama mo au bakhresa kwa nini asikopeshe wenye kutaka biashara lakini hawana mitaji?.
Kuliko kufadhiri litimu kama simba wanakula hela tu tena nyiiingi sana ukipiga hesabu kwa mwaka. Lakini hakuna faida yoyote wala muendelezo wa hizo timu,zote zinashindana kushindana zenyewe tu na kuishia hapa hapa.
Lakini kwa wazo kama hilo wangekuwa wanawakopesha watu hata kwa liba ndogo tu hata iwe 3% ya kuilinda tu ile hela. Hongera sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza ongeza walau ifike milioni watu tutoe mawazo yetuNatoa laki mimi kwa mwenye wazo Zuri zaidi
Hili wazo lenye uhalisia sana na ndio ninaloliendea sasahivi, labda uwe umejikita kwenye biashara za kuzalisha si zakutoa Huduma maana wote naona wanaleta mawazo yakuzalisha.
Hii ni FREE CARWASH
_Naoshea maeneo ya posta hiyo 50,000/= inafikishwaa kwa siku 2 cash as profit na siku kama ya leo na kesho magari yapo full packed na wengi wametoka kuuatumia siku za weekend hata kwasiku moja unaweza rejeshewa.
MCHANGANUO
_Hii biashara ipo hivi gari unaosha kwa 2000/= mpaka 10,000/= inategemea umemuoshea nani maana wanaosha mpaka ma Range Rover, V8 sasa mtu ukimuoshea anakupa tu “chukua hii 8000/= Nipigie maji” unajikuta kwa siku mbaya 30,000/= kawaida.
ENEO LA BIASHARA
_Posta maeneo ya Golden jebelee tower, kuna ofisi nyingi kubwa maeneo ya nje ndio inapofanyika Huduma hii ubaazi wa SERENA HOTEL unaosha magari non-stop kutwa mzima.
MTAJI
_Hii biashara haitaji Mtaji mkubwa kwasababu unahitaji vifaa ambayo madumu na vitambaa ILA kwenye inabidi ujiunge kwenye kikundi kwa 70,000/= hili uwe mwanachama nishawapa 20,000/= ndio nahaso iyo 50,000/= niwakamilishie.
_kwa kuongeza thamani ya Huduma nanunua matauro meupe na mafuta ya kunukia hata mteja unaweza mpandishia bei kwa Huduma stahiki.
UHALISIA
_Leo ndio natoka kuwapa 20,000/= nakupeleka dumu zangu asubui tu hata SAA 2 bado wakaamua wanipe nauri yakurudi kwakupewa gari moja nioshe nimekula 5000/= cash hiyo kabla ya saa 2 ijafika imagine kutwa nzima.
So, kwahuwo Mtaji wa 50,000/= ambao kwangu ni mtaji wa kujiunga uwanachama na kuonheza matauro na mafuta siku 2 tu inarudi.
NB: hii dunia ya leo mawazo ya kutoa Huduma yanapesa hata ukianza chini.
IDEA IN PROGRESS...NEED BACKUP CAPITAL
CONT : 0716321462
Faida kabla saa 2 leo.View attachment 1360449
Vifaa vya kazi
View attachment 1360451
Portfolio | 2020
Hapana mkuu mimi sidhani kama naweza kujiingiza kufadhiri mitimu,kufadhiri timu hizo sifa tu mtu anatafuta lakini hakuna maana yoyote mkuu. Tena mo ndio kabisa wafanyakazi kwenye viwanda vyake wanafanya kazi ktk mazingira kwa muda mrefu bila kupumzika,ujira kidogo,huku upande mwingine ukimwaga mihela isiyo na maana yoyote kwa timu. Angalau bakhresa wafanyaka kazi wanafanya kazi kwa kufuata sheria za kimataifa,wanalipwa vizuri. Jiulize wewe ni bilionea una viwanda,lakini unapoishi tu wanaokuzunguka kuna masikini wa kutupwa,anza na wao,kama sio kuwaajiri wawezeshe kwa namna yoyote hata anza nao mafunzo ya ujasiliamali. Badae kamtaa kote mnakuwa mko vizuri japo hamuwezi kuwa sawa,lakini vijumba vya kubumba vinaondoka mtaa woteSubiri na ww uwe na hela mkuu, maskini hua tunaona na tuna ideas nyingi sana, ila tukishaikamata pesa sijui akili huwa inakwenda wapi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry mkuu location ya izo ndizi mkuuKuna sehemu wale wakaanga ndizi kwenye mabanda ya chips huwa wanapata tabu kuzipata zile ndizi ndefu kubwa(mzuzu),,, sasa Kuna mahala zile zinapatikana kwa wingi, na huko zinanunuliwa sh 50 kila moja mara usafiri na vingine zinafika sokoni kwa sh 80 mpaka 90 kwa kila moja, na huwa zinachukuliwa kwa bei ya jumla 200 mpaka 250 kila moja.... Kwahiyo mtu hapo anaweza kutengeneza hiyo elfu 50 sio mwezi Bali tuchukulie wiki mbili tu maximum
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiririka mkuuMe na wazo la kuuza dawa za nguvu za kiume kama upo serious sema nitiririke hapa naamin utanipa hyo fifte yako
Nimecheka sana hapaNitaigawa hio 50,000 mara 50 ili nipate elfu 1..
Kwakua hii week ninya Uefa na Europa nitaweka mikeka 25 kwa umakini mkubwa na uchambuzi wa hali ya juu.. mwisho wa week nitakuwa na pesa ambayo sio chini ya 150k.
Ile 25k iliyobaki ambayo sikuweka mkeka itakuwa kama plan B incase mikeka ikifeli yoote..
Hii 25k nitanunua unga wa ngano na mafuta nitengeneze maandazi na chapati (nina hiki kipaji cha kupika) nitayapeleka haya maandazi na chapati weekend kwenye hostel za wanachuo (weekend wengi wanaona uvivu kuamka asubuhi kununua chai ) .. nitawasambazia maandazi hayo hadi saa 6 mchana na pesa yangu itakuwa imerudi.
Safi50000.
1.elfu 50000 naigawa kwa 6000 = ambapo nitapata 6000×8
- naenda natafuta kuku majumban kwa watu kwa 6000 , = na kuku nane , ambapo nitaenda kuwauza kwenye mabanda yakuuzia kuku kwa 7000-8000
-ambapo kwa Siku na uakika wa kufanya mizunguko miwili ,ambapo faida kwa kila kuku kukadilia ni 1000 ×8=8000,ambapo nikifanya mizunguko hiyo 2 kwa siku napata 16000 ambapo kwa mwezi nikizunguka napata 480000-380000 kutokana na mzunguko kwa mwezi adi kurudisha marejesho,
-
-
ASANTE MKUU NIPE MKOPO ,NIKO SERIOUS
-
-
0694424169
ASANTE
Naunga mkono hoja MaBillionaire ni watu wa hovyo kabisa.Hapana mkuu mimi sidhani kama naweza kujiingiza kufadhiri mitimu,kufadhiri timu hizo sifa tu mtu anatafuta lakini hakuna maana yoyote mkuu. Tena mo ndio kabisa wafanyakazi kwenye viwanda vyake wanafanya kazi ktk mazingira kwa muda mrefu bila kupumzika,ujira kidogo,huku upande mwingine ukimwaga mihela isiyo na maana yoyote kwa timu. Angalau bakhresa wafanyaka kazi wanafanya kazi kwa kufuata sheria za kimataifa,wanalipwa vizuri. Jiulize wewe ni bilionea una viwanda,lakini unapoishi tu wanaokuzunguka kuna masikini wa kutupwa,anza na wao,kama sio kuwaajiri wawezeshe kwa namna yoyote hata anza nao mafunzo ya ujasiliamali. Badae kamtaa kote mnakuwa mko vizuri japo hamuwezi kuwa sawa,lakini vijumba vya kubumba vinaondoka mtaa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Akifanya hivyo atateka mioyo mingi ya watanzania, na wengi watatamani awe hata rais yao, hapo ndo shida itakapoanza na watawala au politicians, hakuna serikali inapenda raia wa kawaida awe na msaada kuliko serikali yenyewe hasa hizi serikali za Africa..... Yani ni sawa leo Mo asifiwe na kila mtanzania kuliko Jiwe....Naunga mkono hoja MaBillionaire ni watu wa hovyo kabisa.
How come, MO ana utajiri wa Trillion 4 round hivi akitenga only 1B tu sawa na million 1000/= akawawezesha vijana kwa vigezo purposefully 1M kila mmoja sawa na vijana 1000/= Tz kwa 1B moja tu ambayo haitekenyi hata itajiri wake Hell.
Hell.
Portfolio | 2020
Akifanya hivyo atateka mioyo mingi ya watanzania, na wengi watatamani awe hata rais yao, hapo ndo shida itakapoanza na watawala au politicians, hakuna serikali inapenda raia wa kawaida awe na msaada kuliko serikali yenyewe hasa hizi serikali za Africa..... Yani ni sawa leo Mo asifiwe na kila mtanzania kuliko Jiwe....
Hakuna tajiri mwenye dhamira ya kumkomboa masikini maana umasikini wetu ndiyo utajiri wao.Hongera mkuu. Huo ndio ubinadamu. Ingekuwa wale wenye mitaji mikubwa wangewafanyia hivi wengine Tanzania ingebadirika haraka sana. Huwa najiuliza sana mtu kama mo au bakhresa kwa nini asikopeshe wenye kutaka biashara lakini hawana mitaji?.
Kuliko kufadhiri litimu kama simba wanakula hela tu tena nyiiingi sana ukipiga hesabu kwa mwaka. Lakini hakuna faida yoyote wala muendelezo wa hizo timu,zote zinashindana kushindana zenyewe tu na kuishia hapa hapa.
Lakini kwa wazo kama hilo wangekuwa wanawakopesha watu hata kwa liba ndogo tu hata iwe 3% ya kuilinda tu ile hela. Hongera sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha, kweli nimeamini kubet ni ugonjwa. Nimelipenda wazo lako.Nitaigawa hio 50,000 mara 50 ili nipate elfu 1..
Kwakua hii week ninya Uefa na Europa nitaweka mikeka 25 kwa umakini mkubwa na uchambuzi wa hali ya juu.. mwisho wa week nitakuwa na pesa ambayo sio chini ya 150k.
Ile 25k iliyobaki ambayo sikuweka mkeka itakuwa kama plan B incase mikeka ikifeli yoote..
Hii 25k nitanunua unga wa ngano na mafuta nitengeneze maandazi na chapati (nina hiki kipaji cha kupika) nitayapeleka haya maandazi na chapati weekend kwenye hostel za wanachuo (weekend wengi wanaona uvivu kuamka asubuhi kununua chai ) .. nitawasambazia maandazi hayo hadi saa 6 mchana na pesa yangu itakuwa imerudi.
wazo zuri, unaonekana una nia lakini muhusika wakutoa mitaji kapita wimaa!Hili wazo lenye uhalisia sana na ndio ninaloliendea sasahivi, labda uwe umejikita kwenye biashara za kuzalisha si zakutoa Huduma maana wote naona wanaleta mawazo yakuzalisha.
Hii ni FREE CARWASH
_Naoshea maeneo ya posta hiyo 50,000/= inafikishwaa kwa siku 2 cash as profit na siku kama ya leo na kesho magari yapo full packed na wengi wametoka kuuatumia siku za weekend hata kwasiku moja if Odds in my side that day.
MCHANGANUO
_Hii biashara ipo hivi gari unaosha kwa 2000/= mpaka 10,000/= inategemea umemuoshea nani maana wanaosha mpaka ma Range Rover, V8 sasa mtu ukimuoshea anakupa tu “chukua hii 8000/= Nipigie maji” unajikuta kwa siku mbaya 30,000/= kawaida.
ENEO LA BIASHARA
_Posta maeneo ya Golden jebelee tower, kuna ofisi nyingi kubwa maeneo ya nje ndio inapofanyika Huduma hii ubaazi wa SERENA HOTEL unaosha magari non-stop kutwa mzima.
MTAJI
_Hii biashara haitaji Mtaji mkubwa kwasababu unahitaji vifaa ambayo madumu na vitambaa ILA kwenye inabidi ujiunge kwenye kikundi kwa 70,000/= hili uwe mwanachama nishawapa 20,000/= ndio nahaso iyo 50,000/= niwakamilishie.
_kwa kuongeza thamani ya Huduma nanunua matauro meupe na mafuta ya kunukia hata mteja unaweza mpandishia bei kwa Huduma stahiki.
UHALISIA
_Leo ndio natoka kuwapa 20,000/= nakupeleka dumu zangu asubui tu hata SAA 2 bado wakaamua wanipe nauri yakurudi kwakupewa gari moja nioshe nimekula 5000/= cash hiyo kabla ya saa 2 ijafika imagine kutwa nzima.
So, kwahuwo Mtaji wa 50,000/= ambao kwangu ni mtaji wa kujiunga uwanachama na kuonheza matauro na mafuta siku 2 tu naitengeneza.
NB: hii dunia ya leo mawazo ya kutoa Huduma yanapesa hata ukianza chini.
IDEA IN PROGRESS...NEED BACKUP CAPITAL
CONT : 0716321462
Faida kabla saa 2 leo.View attachment 1360449
Vifaa vya kazi
View attachment 1360451
Portfolio | 2020
Mkuu hongera mno kwa kupewa uono wa jicho la fursaKwa kijana yoyote ambae ramani hazijakaa sawa namshauri afwate huu ushauri kwa moyo wote na akili zote na kama ataona aibu ahame mkoa akaifanye mkoa mwingine kwa uhuru.kwani ni biashara ya mtaji mdogo na yenye faida kubwa.
Mimi ni shuhuda wa hii biashara na sijaiacha hadi leo.nilipomaliza college na kielimu cha diploma ya pharmacy nimedispense dawa kwenye maduka makubwa ya wahindi kwa miezi 3 tu nikiwa nalipwa laki 5 na nusu.
Nkaacha kazi nkasepa chuga kuuza mishkaki! Wazaz,ndugu na jamaa wacha wanilaumu mno hakuna hata mmoja alienisupport ila sasa hivi wananipongeza!
Yani watanzania wengi sijui tukoje,mtu yupo radhi afanye kazi ya heshima ila haina maslahi makubwa kuliko kazi isiyo na hadhi yenye faida lukuki.ndani ya mwezi wa kwanza tu niliingiza faida ya m1.2!sasa ndugu zangu wana jf kipi kilikua bora kati ya kugawa dawa huku ukiwa na clinical coat ndani ya kiyoyozi mhindi anakupelekesha siku nzima kafunga na camera kabisa kila kona ukichat au ukisinzia ni msala,kazi unaingia saa 1.30 hadi saa 2-3 usiku kila siku huku upande wa mishkaki nilikua nadaamka saa10 kwenda machinjioni kununua nyama kwa bei chee narudi naandaa saa12 niko shule ya msingi naanza kuwachomea madogo saa 6 mchana nshamaliza naingia mtaani kuangalia mishe nyingine,jioni tena huyo maeneo ya stendi kuchoma mishkaki.
Najua ni ngumu sana kwa msomi ila toka mkoa uliopo wanakujua nenda sehemu ambayo hakuna hata anaejua kama ulifika hata la 7!
Nilianza hivyo taratibu hatimae nkaweka vijana waaminifu niliowatoa vijijini huko na hivi nnavyoandika,naingiza si chini ya laki mbili faida kila siku ya Mungu bila pua za TRA wala cha Halmashauri