Uthubutu wake, Kukabiliana Kwake na Umakini wake dhidi ya Janga la 'CORONA' lamfanya Rais Dkt. Magufuli akubalike kama 'Malaika' nchini Uganda

comrade hivi unajua "herd immunity" approach kwenye pandemics ambayo imetumika Tanzania ni heartless option?

tafsiri yake ni kwamba "wafe baadhi, wapone baadhi". fikra hizi zinawezekana tu katika jamii ambayo roho za watu si muhimu kwa wenye dhamana ya wanaoiongoza jamii hiyo.

linganisha watu prominent waliofariki kwa ugonjwa huu TZ v KE kwa mfano ndiyo utagundua we're worse than KE - tofauti ni kwamba KE wanapima na kutoa takwimu wakati TZ imekula jiwe (which is a portrayal of our leaders' ruthlessness and heartlessness).
 
Be Serious Mkuu, Sifa za kijinga! Eti maombi yamezuia korona! and he is trumpeting it to the world, making us all look like fools!
haya nini sir juu ya mafanikio haya kuhusu covid19 hapa tz,,, mashabik mandaz
 
Membe anasema pua zinauma kwa kuchokonolewa dubai wakichukua sampuli za corona,
 
Rais Magufuli ndiye rais pekee dunia nzima aliyeshinda corona. Hakuna hata nchi moja duniani iliyokumbwa na corona ambayo imefanikiwa kuitokomeza kwa kiwango cha Tanzania. Hata China hawajafaulu kwa kiwango chetu.

Angalia mikutano ya Lissu ambayo wao wenyewe wanakiri inajaza sana watu hakuna social distancing wala kuvaa barakoa.

Hongera sana JPM.
 
Huu ni upuuzi tu. Misifa ya kijinga kabisa.
Hapakuwa na mapambano yoyote ya maana dhidi ya Corona kwenye nchi ya Tanzania.
Kinachoisadia Tanzania na Africa nzima ni demographics! Nchi ya Tanzania kwa mfano, median age ni 17 years. Africa ina vijana wengi na miili ya vijana ina uwezo mkubwa wa kupambana na virusi wa Corona! Watu wengi wanaambukizwa lakini wanaougua ni wachache sana.
Vijana wengi miili yao ina shed viruses kwa muda mrefu lakini ni asymptomatic. Hawa vijana miili yao inatengeneza immunity! Hata kama ni ya miezi michache! Kinga ya vijana hawa inawalinda wazee na wale wenye underlying medical conditions! Ni herd immunity.
Nimeishi kwenye Tropics, tunapambana sana. Naielewa miili ya waafrika.
 
Acha kuandika upuuzi wewe! Embu muwe mnajisomea.
 
Leo asubuhi kupitia Kipindi cha BBC News (Africa) kinachoruka Kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 2 Kamili (Redioni) nilibahatika kuwasikia Viongozi mbalimbali wa 'Kidini' na Wananchi kadhaa (waliowawakilisha) Wenzao (Waganda) katika 'Mjadala' mkubwa uliokuwa 'Mezani' wa Janga la CORONA na namna nzima ya 'Kukabiliana' nalo

Nnaona Matokeo ya Safari ya Mh Museven kuja Tanzania.
 
Ishu ya corona tumebebwa na Hali ya kitropical sababu ya joto
Hakuna, sio kabisa. Ni demographics! Africa nzima ina very young populations. Soma hiyo comment nyingine, nimeelezea kwa kirefu.
 
sawa kwakuwa south africa na Kenya ni nchi zilizopo ulaya magharibi kusini
 
Huu ni upuuzi mwingine.
Tuzungumze mara ngapi muelewe idiots nyinyi! It is demographics and the build up of herd immunity! Maelezo yako ni unscientific!
 
sawa kwakuwa south africa na Kenya ni nchi zilizopo ulaya magharibi kusini
Nini ambacho hamuelewi pimbi nyinyi. Wao wanapima na kutangaza cases! Sisi tumeacha kupima na kutangaza tangu April, sasa common sense ni kuwa usipopima na kutangaza haimaanishi huna cases!
Lakini ni wazi maambukizi na vifo kwa Africa ni chini sana ukilinganisha na mabara mengine!
Hivi kwanini mnakuwa viazi hivi?
 
Kwann maambukizi ya Africa ni madogo ukilinganisha na mabara mengine..tupe majibu yaliyowazi usikariri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…