Wakuu salaam.
Hivi mke wa mtu aliyeolewa inawezekana vipi akawa na UTI kali? Mme wake haipigi. Nauliza haya maswali maana yamenikuta
Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalimu akanibless kimoja Cha chap! Lakini Hadi navyoongea hapa nimetoka kununua dawa ya kummaliza huyu mdudu.
Sasa najiuliza mme wake anafanyeje fanyeje asiumwe! Nimeambatanisha na dawa konki kwa wale wanaosumbliwa na UTI.
Nawasilisha.