Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalim akanibless kimoja Cha chap! Lakini Hadi navyo ongea hapa nimetoka kunnua dawa ya kummaliza huyu mdudu.
Kuanzia Leo sipigi tena kavu! Wana Jamvi share exeperiance yako ilikuwaje siku yako ya kwanza kupima ukimwi!
HahahahaNahiyo miguu ulivyoitandaza kweli Hilo UTI ni grade A
Sawa mkuuPima ukimwi kwanza mkuu
Maana ukiwa na Ukimwi kupata magonjwa kama UTI huwa niyakufikia
Pia ikiwa utaweza jizuie na ngono zembe ambayo sio tu inatharisha Afya yako Ila pia uwezekano wa kusafiri katika limu moja ni mkubwa.
Pole sanaHahahaha
Swali zuri mkuuUna uhakika sio wewe uliyempa hiyo UTI?
Aliyekuambia hii dawa ni konki kwa U. T. I ni nani??Wakuu salaam.
Hivi mke wa mtu aliyeolewa inawezekana vipi akawa na UTI kali? Mme wake haipigi. Nauliza haya maswali maana yamenikuta
Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalimu akanibless kimoja Cha chap! Lakini Hadi navyoongea hapa nimetoka kununua dawa ya kummaliza huyu mdudu.
Sasa najiuliza mme wake anafanyeje fanyeje asiumwe! Nimeambatanisha na dawa konki kwa wale wanaosumbliwa na UTI.
Nawasilisha.
View attachment 3122621