UTI kali kwa mke wa mtu

Gono hilo mkuu
 
 
Mshaur huyo mwalimu akafanye kipimo Cha ULTRASOUND kuweza kujua Kama ana PID.

THEN ATUMIE DAWA SAHIHI hapo utakua umemsaidia.
 
Ok, sawa

Ushauri:

(1). Ngono zembe husababisha magonjwa ya zinaa! Jikinge.

(2). Matumizi holela ya dawa za antibiotics husababisha usugu kwa dawa hizo. Kwa sasa kuna ongezeko la usugu wa dawa za antibiotics kuua bacteria/kutibu magonjwa mbalimbali yakiwepo hayo ya zinaa, kwa hiyo tusitumie hizo dawa kiholela bila kufuata ushauri wa wataalamu kwani tunakoelekea ni magonjwa hayo ya zinaa kutotibika.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† bado hujasema bila UTI usinge jitokeza shenzi wewe
 
wanapata UTI kutokana na kurikiwa mikojo kwenye vyoo vichafu. hata mabinti zako kama wadogo wape shule, akienda vyoo vya jumuiya kabla hajakojoa amwage maji ya kutosha, ama la anaweza kupata hata magonjwa ya ajabu. pia, anaweza kupata UTI toka kwa mumewe ambaye sio mwaminifu.
 
Hilo ni gonorrhea na ahitibiwi na dawa hizo. Nenda hospitali. Itakuwa sugu huwezi pona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…