UTI kali kwa mke wa mtu

Ulipata dalili gn mpaka ukaenda hosp
 
Nyuzi kama hizi kupewa big attention ni uhalisia wa upuuzi mkubwa dhidi ya ndoa.

JF isigeuzwe kijiwe cha kulea wahuni
 

Jaribu kwanza kujifunza UTI ni nini? Pia inaambukizwaje kwa wanawake. Kwa taarifa yako, kwa wanaume ni ngumu sana kupata UTI, sema hizi hospitali zetu za uswahilini wamejua hiyo ndio njia ya kupata hela kwa kuwadanganya wasiojua. Kila ukipima hospitali unamaambiwa una malaria na UTI.
 
Ahhh ndo nayotumia nikiyakanyaga
Ahhh mkuu ,kwahiyo wewe umezoea kwenda peku!
1_Jali afya yako,epuka maambukizi ya magonjwa ya zinaa kwakuwa afya njema ndio mtaji wako mkubwa katka haya maisha.
2_Zawadi ya maisha tuliyonayo tunaitumia mara moja tu,hakuna second chance.
3_Kama hauwezi kujipenda wewe kwa kujikinga,unao uwezo wa kuwapenda wengine?
Tafakari na chukua hatua.
 
1)kuna tofauti kati ya magonjwa ya zinaa STIs/STDs na ugonjwa wa UTI
2)wengi wanaoumwa/ugua magonjwa ya ZINAA wanayabatiza jina zuri kwa kuita UTI KALI au UTI sugu.
3)Matumizi ya dawa yasiyofaa matumizi mabaya/holela ya dawa kujitibu na kutokufuata taratibu sahihi za matibabu ya magonjwa ya zinaa ikiwemo kutibiwa wenza wote wawili na michepuko yao na kutokutana kimwili wakati wakiendelea na matibabu mpaka wote wathibitike wamepona kabisa,ili kuzuia kujiambukiza upya /re-infection wakati wakiwa wanaendelea na matibabu au kutotumia mipira ya kujikinga,safer sex (ngono salama) kwa usahihi,kuacha wapenzi wengi multiple sexual partners / kutokuwa na mpenzi mmoja mwaminifu(kila mmoja awe mwaminifu kwa mwenza wake n.k

IMEPELEKEA USUGU WA VIMELEA VINAVYOSABABISHA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA HAYO MPAKA KUELEKEA MAGONJWA YA ZINAA KUELEKEA KUTOTIBIKA.

CHA KUFANYA/SULUHISHO
NENDA HOSPITALI KUBWA sio vioski vijiwe vya mtaani,sio duka la dawa Over the counter medications kaonane na daktari bingwa,fuata ushauri wa daktari wako.
 

Attachments

  • images - 2024-11-04T124009.420.jpeg
    44.4 KB · Views: 5
Eeh
 
Wewe umepata ugonjwa wa zinaa,inawezakuwa gonorrhea.Siku hizi watu wanaupamba huu ugonjwa kwa jina zuri la UTI sugu.
Nenda hospital,pata natibabu kamili..Epuka ngono uzembe,linda afya yako kwani huo ndio mtaji wako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…