UTI wa mgongo wa wamtesa Sabaya, kesi yake yaahirishwa tena

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mwazo mgumu atazoea yeye alijipa unyapala akiwa kitaa Sasa kakutana na wenye vyeo vyao ukisikia nyapala wa gereza sio mchezo aise
 
',Yesu njoo,Roho mtakatifu shuka...,kwani Sabaya ni nani..' Nimekumbuka kilio cha mama mzee aliyenyang'anywa shamba na Sabaya huko Hai
 
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya mshitakiwa Sabaya kuendelea kuwa mgonjwa.

Jana Novemba 3 mwaka huu mahakama hiyo iliahirisha shauri hilo baada ya kuarifiwa kuwa mshtakiwa namba moja (Sabaya)anaumwa na hakuweza kufika mahakamani na kupanga kesi hiyo kuendelea Leo (jana), ambapo shahidi wa saba wa jamhuri ambaye ni Ofisa wa Tehama wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Jofrey Nnko angeendelea kutoa ushahidi wake.

Akizungumza mahakamani hapo, Wakili wa utetezi Mosses Mahuna aliieleza mahakama kuwa mtuhumiwa huyo wa kwanza bado ni mgonjwa na kuwa ametoa ruhusa kesi hiyo iendelee kusikilizwa bila yeye kuwepo.

Naye wakili wa utetezi Faudhia Mustapha akihojiwa nje ya mahakama ameeleza kuwa jana jioni alienda kumjulia hali Mteja wao katika Gereza kuu Arusha Kisongo na Kuzungumza nae pamoja na daktari anaemtibu na kuelezwa kuwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa vidonda vya tumbo alivyovipata akiwa Gerezani na anasumbuliwa na Uti wa mgongo tatizo alilolipata kabala ya kwenda gererezani.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi kesho siku ya tarehe 4/11/2021 ambapo mahaka imetaka mawakili wa utetezi kuja barua ama ruhusa ya maandishi ya Lengai ole Sabaya kuwaruhusu waendelee na Kesi hiyo kusikilizwa bila uwepo wake.
Jina miaka 30 yuko hoi. Mbowe miaka 60 anadunda.

Vijana wa Ccm wanakuwa imara wakiwa na mabastola ya chama.

Nje ya hapo nimapoyoyo tu.
 
Janja janja, 99days for a thief and 1day for the owner.
Hata azuge vipi kesi bado iko pale pale, hiyo technique hutumika sana pale mtuhumiwa anapohabarishwa kuhusu mashahidi na ushahidi uliopo.
Hajali kuchelewesha kesi(mbinu ya kuwa frustrate mashahidi) kwakuwa tayari anatumikia kifungo kingine lakini hii ngoma mpaka imalizike.
 
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya mshitakiwa Sabaya kuendelea kuwa mgonjwa.

Jana Novemba 3 mwaka huu mahakama hiyo iliahirisha shauri hilo baada ya kuarifiwa kuwa mshtakiwa namba moja (Sabaya)anaumwa na hakuweza kufika mahakamani na kupanga kesi hiyo kuendelea Leo (jana), ambapo shahidi wa saba wa jamhuri ambaye ni Ofisa wa Tehama wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Jofrey Nnko angeendelea kutoa ushahidi wake.

Akizungumza mahakamani hapo, Wakili wa utetezi Mosses Mahuna aliieleza mahakama kuwa mtuhumiwa huyo wa kwanza bado ni mgonjwa na kuwa ametoa ruhusa kesi hiyo iendelee kusikilizwa bila yeye kuwepo.

Naye wakili wa utetezi Faudhia Mustapha akihojiwa nje ya mahakama ameeleza kuwa jana jioni alienda kumjulia hali Mteja wao katika Gereza kuu Arusha Kisongo na Kuzungumza nae pamoja na daktari anaemtibu na kuelezwa kuwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa vidonda vya tumbo alivyovipata akiwa Gerezani na anasumbuliwa na Uti wa mgongo tatizo alilolipata kabala ya kwenda gererezani.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi kesho siku ya tarehe 4/11/2021 ambapo mahaka imetaka mawakili wa utetezi kuja barua ama ruhusa ya maandishi ya Lengai ole Sabaya kuwaruhusu waendelee na Kesi hiyo kusikilizwa bila uwepo wake.

Kulalia mebegi jela atazoea tu
 
Back
Top Bottom