King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Atavuna alichopanda aliumiza sana raia alijua atafanya hayo milele ,hakujua kama yana mwisho.Kama kuna mzee alimzalilisha mpaka aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atavuna alichopanda aliumiza sana raia alijua atafanya hayo milele ,hakujua kama yana mwisho.Kama kuna mzee alimzalilisha mpaka aibu
mwazo mgumu atazoea yeye alijipa unyapala akiwa kitaa Sasa kakutana na wenye vyeo vyao ukisikia nyapala wa gereza sio mchezo aise[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IndiaOle sabaya apelekwe SA au Germany kwa matibabu zaidi!
Ukiweza ishi jela za afrika utoshindwa kuishi kuzimuMaisha ya gerezani ni bora jehanamu
Sabaya, Bashite na Magufuli ni LAANAKUM.Kama kuna mzee alimzalilisha mpaka aibu
Bora uishi kaburini lakini siyo jela za TanzaniaUkiweza ishi jela za afrika utoshindwa kuishi kuzimu
Jina miaka 30 yuko hoi. Mbowe miaka 60 anadunda.Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya mshitakiwa Sabaya kuendelea kuwa mgonjwa.
Jana Novemba 3 mwaka huu mahakama hiyo iliahirisha shauri hilo baada ya kuarifiwa kuwa mshtakiwa namba moja (Sabaya)anaumwa na hakuweza kufika mahakamani na kupanga kesi hiyo kuendelea Leo (jana), ambapo shahidi wa saba wa jamhuri ambaye ni Ofisa wa Tehama wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Jofrey Nnko angeendelea kutoa ushahidi wake.
Akizungumza mahakamani hapo, Wakili wa utetezi Mosses Mahuna aliieleza mahakama kuwa mtuhumiwa huyo wa kwanza bado ni mgonjwa na kuwa ametoa ruhusa kesi hiyo iendelee kusikilizwa bila yeye kuwepo.
Naye wakili wa utetezi Faudhia Mustapha akihojiwa nje ya mahakama ameeleza kuwa jana jioni alienda kumjulia hali Mteja wao katika Gereza kuu Arusha Kisongo na Kuzungumza nae pamoja na daktari anaemtibu na kuelezwa kuwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa vidonda vya tumbo alivyovipata akiwa Gerezani na anasumbuliwa na Uti wa mgongo tatizo alilolipata kabala ya kwenda gererezani.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi kesho siku ya tarehe 4/11/2021 ambapo mahaka imetaka mawakili wa utetezi kuja barua ama ruhusa ya maandishi ya Lengai ole Sabaya kuwaruhusu waendelee na Kesi hiyo kusikilizwa bila uwepo wake.
Daah kashakuwa kama bibi kizee. Kila siku mara hivi mara vile.Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani
Jela siyo mchezo bwashehhhOle sabaya apelekwe SA au Germany kwa matibabu zaidi!
Cc Pascal MayallaDuuh! Karma ni kitu mbaya sana ikikuandama
Kama unapigwa maisha au miaka hakuna faida yeyeto bora ujiue uwahi ulipotoka.Bora uishi kaburini lakini siyo jela za Tanzania
Hatari snKama unapigwa maisha au miaka hakuna faida yeyeto bora ujiue uwahi ulipotoka.
Kukaa jela kifungo cha maisha ni upumbavu bora umuite Israel akutembeleeHatari sn
Janja janja, 99days for a thief and 1day for the owner.Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya mshitakiwa Sabaya kuendelea kuwa mgonjwa.
Jana Novemba 3 mwaka huu mahakama hiyo iliahirisha shauri hilo baada ya kuarifiwa kuwa mshtakiwa namba moja (Sabaya)anaumwa na hakuweza kufika mahakamani na kupanga kesi hiyo kuendelea Leo (jana), ambapo shahidi wa saba wa jamhuri ambaye ni Ofisa wa Tehama wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Jofrey Nnko angeendelea kutoa ushahidi wake.
Akizungumza mahakamani hapo, Wakili wa utetezi Mosses Mahuna aliieleza mahakama kuwa mtuhumiwa huyo wa kwanza bado ni mgonjwa na kuwa ametoa ruhusa kesi hiyo iendelee kusikilizwa bila yeye kuwepo.
Naye wakili wa utetezi Faudhia Mustapha akihojiwa nje ya mahakama ameeleza kuwa jana jioni alienda kumjulia hali Mteja wao katika Gereza kuu Arusha Kisongo na Kuzungumza nae pamoja na daktari anaemtibu na kuelezwa kuwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa vidonda vya tumbo alivyovipata akiwa Gerezani na anasumbuliwa na Uti wa mgongo tatizo alilolipata kabala ya kwenda gererezani.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi kesho siku ya tarehe 4/11/2021 ambapo mahaka imetaka mawakili wa utetezi kuja barua ama ruhusa ya maandishi ya Lengai ole Sabaya kuwaruhusu waendelee na Kesi hiyo kusikilizwa bila uwepo wake.
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya mshitakiwa Sabaya kuendelea kuwa mgonjwa.