VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Hujajua kilichoendeleaTEC waache kujiingiza kwenye siasa haraka haraka, wanaishia kuumbuka na kushushiwa heshima zao kirahisi kabisa
Ficha ujinga wako.Kuna wakati wa kukaa kimya na kutafakari.Hujajua kilichoendelea
Papa katoa Baraka zake
Papaa Msofe?Hujajua kilichoendelea
Papa katoa Baraka zake
Jiwe lilirushwa gizani ajabu lilikupata wewe uliyekuwa nje ya ukumbi tena nyumbani kwako ukiangalia tv!Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Tuliofuatilia tunajua kuwa pale ukumbini alikuwepo Askofu Liberatus Sangu kama mwakilishi wa TEC. Wahusika mkaanza kumtumia Mrisho Mpoto kurusha vijembe. Badala ya kughani au kuimba kama ilivyotarajiwa, Mpoto alitoa hotuba na kutamba alivyotaka.
Akadai kuwa kwakuwa mikataba sasa iko vizuri 'hata waliokuwa wanapinga wamehudhuria pale na watakula nao chakula'. Kila mmoja anajua kuwa waliotoa Tamko ni TEC. Na jana walikuwepo pale. Kwanini uwepo wao uonekane ni kuunga mkono mikataba iliyosainiwa jana?
Kiukweli, vijembe vya Mpoto na wengineo vilimkosesha amani na utulivu Askofu Sangu. Akajiweka 'busy' na kuchukua 'notes' huku akishindwa hata kuwatazama wazungumzaji au majirani zake. Askofu Sangu alikuwa kwenye wakati mgumu. Hakukuwa na haja ya mambo yale.
Kama maoni ya watanzania yamezingatiwa, tuonesheni mikataba iliyosainiwa jana!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mpwapwa, Dodoma)
Mkataba haujabadilishwa ndio uko vile vile ni unafki wa wanasiasa wa chadema so msijisifu mmeubadali akat ndio ulivo masuala ya milele zilikua ni siasa zenu za chukiBila waraka wao hayo maboresho yangefanyika?
Mi naona ni ushindi mnene kwa TEC
Alokudanganya ni nani?Mkataba haujabadilishwa ndio uko vile vile ni unafki wa wanasiasa wa chadema so msijisifu mmeubadali akat ndio ulivo masuala ya milele zilikua ni siasa zenu za chuki
Ninachoweza kusema kuhusu post yako ni kwamba, akili ya mtu hupimwa kwa akiandikacho au akisema etc..!!TEC waache kujiingiza kwenye siasa haraka haraka, wanaishia kuumbuka na kushushiwa heshima zao kirahisi kabisa
Wa kupimwa akili weweMkataba haujabadilishwa ndio uko vile vile ni unafki wa wanasiasa wa chadema so msijisifu mmeubadali akat ndio ulivo masuala ya milele zilikua ni siasa zenu za chuki