Utiaji saini Mikataba ya DP World: Hakukuwa na haja ya kuwatupia vijembe TEC

Mchango wa TEC wa kupinga kwa shinikizo la kidini?Mkataba umesainiwa na hizo zingine ni porojo tu za kujaribu kutatuta umaarufu. Upotoshaji wa kijinga ulikuwepo sana kuhusu huu mkataba na propoganda za kidini.
Mwisho wake mkataba umesainiwa na Rais Samia aliwashukuru wote walioshiriki kwenye kutoa maoni yao.
Kujaribu kutafuta umaarufu sasa ni kupoteza muda na ku play damage limitation.
 
Alitumwa na Mwenyekiti wa CCM
 
Kumbe TEC na wao ni wachumia tumbo! PhD zimemezwa na DPW. kelele zoote zile ni mgao haukupita kunako parokoani.
 
Kama kweli alitamka au kuandika maneno hayo ya dhihaka Sina shaka yoyote ile jibu lake lipo
 
Kama IGA ya kikanjanja inayolinda hiyo mikataba ya utekelezaji ipo palepale, sioni la kujivunia.....hapo ni mwendelezo wa kupigwa changa la macho, mnakuja kushtuka mnatakiwa kulipa mabilioni ya kuvunja mkataba kama hii bil. 75 iliyolipwa hapa majuzi na hapo tayari walamba asali wanakuwa wameshachukua chao mapema.​
 
. Tangu lini mrisho mpoto akawa na akili..
. Asilimia 90% wanao tembea peku ni vichaa, ukiachana na wale wa kwenye nyumba za makuti.
 
ni ujinga wa huyo askofu kupata kichefuchefu alipasea atulie maana hayo ndio mafundisho yao
 
Walistahiki wapewe za uso, siyo vijembe tu, jionee unafiki wao:

 
Mpoto amechanganyikiwa,alikuwa havai viatu sasa anavaa viatu.Ameshakiuka masharti ya maganga wake,kwaiyo tumpuuze tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Pongezi nyingi kwa TEC tumeona juhudi kubwa mlizofanya mpaka kukamilisha vyema suala nyeti la bandari
Tusubirini kauli ya TEC, naamini wataongea kitu, kushuhudia utiaji saini haimahanishi kuwa TEC wameridhia 100% mara nyingine hukudhuria hafla kama hizi huwa ni 'protocol' huwezi kualikwa ukakataa, itakuwa kuigomea serikali wakati bado una maslahi mengi kwao!
 
Hivi yule aliyevujisha IGA yuko wapi?inabidi ifanyike jitihada na hii mikataba ivujishwe tuone maoni waliyozingatia.
Usikute walichosaini jana na wanachokwenda kutekeleza ni vitu viwili tofauti.
Nilimuona jana high table yule Mstaafu aliyegoma kustaafu maaana mambo ya Bandari ndiyo kipaombele chake.
Mimi siwaamini CCM na serikali yake mpaka watakapo peleka mikataba Bungeni Ili iwe public!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…