🤣🤣🤣🤣Shangaa na wewe!! Hata mataifa makubwa ili yawamiliki mataifa madogo lazima wawe na PESA.
Hivi nchi km Tanzania inaweza kumvimbia Marekani?? Awwwweh wanaume watafute PESA. Halafu hizi kelele huwezi kuzisikia kwa kina GSM ila hawa ving’ong’o wavivu wavivu 🤣🤣🤣🤣
Mama la mama huyo, maliza basi tuongee 🤣🤣Leo sijanywa bana, nipo nasoma bible 😜
Tatizo kubwa walilonalo wanataka kuabudiwa “NDIYO MZEE” sasa wa kumfanyisha huo upuuzi nani?? Kwanza nikifikiria kukipikia kitoto cha mtu na kukifulia na bado hakina PESA hata nisikie matarumbeta ya ndoa sishtukiTena hao wanautaka utumwa sio utii yaani akioa leo anavunjika mikono na miguu hata kikombe kiko karibu yake anataka umletee 🤨
Heshima hailazimishwi mdogo angu!Utasubiri sanaa....!🤸
Kama unaona mwanaume hawajibiki kumhudumia mpenzi kwanini uone ni sawa mwanamke kumtii mpenziNimeelewa ndio maana nikauliza vp katika situation ambazo hamkai pamoja au na mwanamke ana uwezo wa kujihudumia? Kwamba mwanaume utawajibika kumgharamia kodi, chakula, mavazi n.k wakati hamuishi pamoja? Hata mke akiwa na kazi bado mwanaume anawajibika kuhudumia
Ndio maana nasema wewe una matatizo ya akili, huwezi ukawa unaongelea my personal issues kwa confidence kiasi hiki kana kwamba unanijua kumbe hata hunifahamu, na huna uhakika hata kama ulichoandika kuhusu mimi ni ukweli au la ila basi tu umeamua kujiandikia ili mradi kujifarijiWaliopo uko mtaani ndio hawa hawa wa jf. Wewe ni keyboard warrior tu ila mahubiri yako hauwezi kuya-apply kwenye mahusiano yako.
Wanaume wa kisasa wanataka UTUMWA na sio UTII kama wanavyo andika na kwa hilo wasahau.Tatizo kubwa walilonalo wanataka kuabudiwa “NDIYO MZEE” sasa wa kumfanyisha huo upuuzi nani?? Kwanza nikifikiria kukipikia kitoto cha mtu na kukifulia na bado hakina PESA hata nisikie matarumbeta ya ndoa sishtuki
Wafanye km bible inavyosema waone km watapiga kelele za kuomba kuheshimiwa..!!🤣🤣🤣🤣
Mbona ving'ong'o!! Ndio hawa kila siku kutupigia kelele humu. Heshima is earned bwana, sasa kama huipati jitafakari. Seems huistahili.
Tuongee nini nawe?? Unajua ww mtoto msumbufu sana!! 😂Mama la mama huyo, maliza basi tuongee 🤣🤣
Mwanaume kamili hawezi ishi na wewe, hata kama atakuwa anajielewa ila lazma kuna vitu hatoweza torelate kuna dynamics unazo lazma atazishindwa tuYeah sure siwezi ishi na mwanaume asiyejielewa
Watasubiri sana, hakuna mwanamke wa kumfanya mtumwa miaka hii.Wanaume wa kisasa wanataka UTUMWA na sio UTII kama wanavyo andika na kwa hilo wasahau.
Sasa nisipokusumbua wewe dada yangu, nimsumbue nani tena..? HahaTuongee nini nawe?? Unajua ww mtoto msumbufu sana!! 😂
Mkuu mbona unazunguka halafu hautoi jibu umesema ili stability ya mahusiano iwepo mwanaume anatakiwa kuhudumia ndipo mwanamke amtii... sasa nimeuliza kwamba vipi kuhusu wapenzi ambao hawaishi pamoja au mke ambae ana ajira je hapa mwanaume bado anawajibika kuhudumia?Kama unaona mwanaume hawajibiki kumhudumia mpenzi kwanini uone ni sawa mwanamke kumtii mpenzi
Hatuwezi kuwaambia sababu, tuwaambie ili mbadilike?Nyie si mna akili kutuzidi!! Sasa hizo akili nyingine za kuishi na sisi za kazi gani? 😜
Na unanisumbua haswaah.!!Sasa nisipokusumbua wewe dada yangu, nimsumbue nani tena..? Haha
Tubadilike kwani tumekuwa wa kijani?? Nyie kaeni kwa password, tutawatii km mtajua wajibu wenuHatuwezi kuwaambia sababu, tuwaambie ili mbadilike?
Ndo hivyo, kila mtu na dada yake mjini hapa, hahaNa unanisumbua haswaah.!!
Maelewano baina ya pande mbili , (kila mtu atambue nafasi yake)Mkuu wewe unadhani msingi wa mwanaume kumtawala mwanamke uko kwenye nini
Vile wanaume wa jf mkishindwa hoja mnavyogeuka pyschologists na philosophers, hizi defensive mechanisms zenu nishazizoea mkuu cha msingi we jikite kwenye mada iliyoko mezani, mimi hata nikishindwa kuishi na mwanaume yeyote yule sidhani kama wewe itakupunguzia kituMwanaume kamili hawezi ishi na wewe, hata kama atakuwa anajielewa ila lazma kuna vitu hatoweza torelate kuna dynamics unazo lazma atazishindwa tu
Pasword yenyewe ndio ipo apo kwenye kuishi nanyi kwa akili.Tubadilike kwani tumekuwa wa kijani?? Nyie kaeni kwa password, tutawatii km mtajua wajibu wenu
Nisaidie huo mstari mkuu huenda kuna mahala nakwama😅😅Wafanye km bible inavyosema waone km watapiga kelele za kuomba kuheshimiwa..!!
Ni ving’ong’o kweli wala sio utani 😂😂😂