Utii wa wanawake wa kisasa

Kwa kweli kama mwanamke hana utii kwa mume hamuwezi kufika popote, mtaishia kutesa watoto bure. Hata Wahenga walisema madume wawili hawakai zizi moja
Basi ndiyo mtimize wajibu wenu
 
Mwanamke kumtii mwanaume ni kwa shurti mkuu wala msipindishe maneno ingekuwa siyo kwa shurti basi leo hii msingekuwa mnakesha kuupigania na kuulilia huo utii kwa nguvu, bali wanawake wote wangejikuta wanawapa tu utii wao wenyewe na mambo yangekuwa yanaenda smoothly tu, hapo kwenye hiyo heshima ya kuona kwamba "huyu ni mwanaume na mimi ni mwanamke" ndio ninapohoji msingi wake hapo yani msingi wa mwanaume kumtawala mwanaume uko kwenye nini hasa yani
 
Majukumu yapo mengi, tuanze na suala la financial expenses. Ikiwa mpo kwenye mahusiano ya girlfriemd and boyfreind na mnaishi sehemu tofauti au mnaishi pamoja lakini mke ana ajira inayomuingizia kipato je mwanaume bado atawajibika kuhudumia?
Sasa si ndio maana nikakuambia inategemea na wao wenyewe namna walivyokubaliana waendeshe mahusiano yao, kwanini unaniuliza kana kwamba majibu yangu ndio kielelezo cha namna watu walioko kwenye mahusiano ya aina hiyo wanavyotakiwa kuishi, okay labda nikujibu hivi kwenye mahusiano ya aina hiyo kama huyo mwanaume ana demand utii basi lazima awajibike kuhudumia ila kama ni mtu wa demokrasia au laissez faire basi hawajibiki kuhudumia..you feel me?!
 
okay labda nikujibu hivi kwenye mahusiano ya aina hiyo kama huyo mwanaume ana demand utii basi lazima awajibike kuhudumia ila kama ni mtu wa demokrasia au laissez faire basi hawajibiki kuhudumia..you feel me?!
Ulitakiwa kujibu hivi tangu mwanzo.
 
Huna ubavu wa kutoa upumbavu wowote kichwani kwa mtu. Tupo kama tulivyo na hatuna mpango wa kubadilika, huna unaloweza kufanya zaidi kujaa hasira.

Ulike au udislike, who cares?
 
Ulitakiwa kujibu hivi tangu mwanzo.
Sasa mbona ndicho nilichoandika tangu mwanzo ila wewe ukasema nazunguka, kumbe shida ni uelewa wako tu halafu unasingizia watu wanatoka nje ya mada, uwe unasoma kwa umakini siyo unasoma haraka haraka mradi tu uje ubishe
 
Huna ubavu wa kutoa upumbavu wowote kichwani kwa mtu. Tupo kama tulivyo na hatuna mpango wa kubadilika, huna unaloweza kufanya zaidi kujaa hasira.

Ulike au udislike, who cares?
I love you πŸ’•πŸ’–πŸ˜β€οΈ
 
Huwezi kumuhudumia mwanamke kama hauna pesa.
So mwanamke ni pesa bila pesa hakuna kupendwa
 
Sasa mbona ndicho nilichoandika tangu mwanzo ila wewe ukasema nazunguka, kumbe shida ni uelewa wako tu halafu unasingizia watu wanatoka nje ya mada, uwe unasoma kwa umakini siyo unasoma haraka haraka mradi tu uje ubishe
Haujajibu chochote ulikua unaluka luka tu unahisi swali lina mtego hata ivyo ulichojibu ni mwanaume fala ndio anaweza kukubali, yaani mnaishi sehemu tofauti(umepanga au upo kwa wazazi wako) au mnaishi pamoja halafu una ajira bado unataka mwanaume akuhudumie. kama unaishi kwenu wajibu wa baba ako ni upi?, kama hauna ajira na umepanga kwanini uliondoka kwenu?, kama una ajira na unataka kuhudumiwa kipato chako unapeleka wapi? Ni mwanaume fala ndio atakubali hayo matakwa yako labda tu kama lengo lake liwe kukutomba na kukuacha ndio atatoa hela kama chambo akishamaliza haja zake anaingia mitini ila kwa mentality yako kuwa na mahusiano ya maana sahau.
 
Huyo utakuta ni lisingle maza lina stress za kupigwa miti bure na boda boda
 
Ukikuwa utaacha kuhoji. It's all about the laws of nature. Kuna vitu vipo hivyo tu kingine mwanamke kaumbwa hivyo kukubali kutawaliwa not in a bad way ila ni moja wapo ya feminine quality. Ukiona mwanamke anataka ku act kama mwanaume there's some imbalances.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…