Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Basi ndiyo mtimize wajibu wenuKwa kweli kama mwanamke hana utii kwa mume hamuwezi kufika popote, mtaishia kutesa watoto bure. Hata Wahenga walisema madume wawili hawakai zizi moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ndiyo mtimize wajibu wenuKwa kweli kama mwanamke hana utii kwa mume hamuwezi kufika popote, mtaishia kutesa watoto bure. Hata Wahenga walisema madume wawili hawakai zizi moja
Mwanamke kumtii mwanaume ni kwa shurti mkuu wala msipindishe maneno ingekuwa siyo kwa shurti basi leo hii msingekuwa mnakesha kuupigania na kuulilia huo utii kwa nguvu, bali wanawake wote wangejikuta wanawapa tu utii wao wenyewe na mambo yangekuwa yanaenda smoothly tu, hapo kwenye hiyo heshima ya kuona kwamba "huyu ni mwanaume na mimi ni mwanamke" ndio ninapohoji msingi wake hapo yani msingi wa mwanaume kumtawala mwanaume uko kwenye nini hasa yaniIt's the mentality behind, wanawake wengi ambao wamepata knowledge au wana privileged ya kuwa kwenye position flan ndo mentality zao! Hivi utii ni nini? Na kumtii mtu si lazma kuwe na gape kati yenu. Huwezi mwambia mtu mzima amtii kijana mdogo labda awe na wadhifa. Haya mimi sijabase kwenye dhana mbaya ya kutii, ila ile heshima ya kuona huyu ni mwanaume na mm ni mwanamke, sjui umenipata? Wanawake wengi wamepoteza ile quality sababu wanashindwa kutofautisha vitu natural kabisa mwanamke anapaswa kumtii mumewe sio kwa shuruti ila ndivyo ilivyo.
Sasa si ndio maana nikakuambia inategemea na wao wenyewe namna walivyokubaliana waendeshe mahusiano yao, kwanini unaniuliza kana kwamba majibu yangu ndio kielelezo cha namna watu walioko kwenye mahusiano ya aina hiyo wanavyotakiwa kuishi, okay labda nikujibu hivi kwenye mahusiano ya aina hiyo kama huyo mwanaume ana demand utii basi lazima awajibike kuhudumia ila kama ni mtu wa demokrasia au laissez faire basi hawajibiki kuhudumia..you feel me?!Majukumu yapo mengi, tuanze na suala la financial expenses. Ikiwa mpo kwenye mahusiano ya girlfriemd and boyfreind na mnaishi sehemu tofauti au mnaishi pamoja lakini mke ana ajira inayomuingizia kipato je mwanaume bado atawajibika kuhudumia?
Ulitakiwa kujibu hivi tangu mwanzo.okay labda nikujibu hivi kwenye mahusiano ya aina hiyo kama huyo mwanaume ana demand utii basi lazima awajibike kuhudumia ila kama ni mtu wa demokrasia au laissez faire basi hawajibiki kuhudumia..you feel me?!
Huna ubavu wa kutoa upumbavu wowote kichwani kwa mtu. Tupo kama tulivyo na hatuna mpango wa kubadilika, huna unaloweza kufanya zaidi kujaa hasira.Si dislike kisa umenikataa la hasha ninaheshimu maamuzi yako ila una akili za ki feminist kama za hawa wanawake Jadda Guantanamoh Nuzulati fala Demi Atoto Evelyn Salt Lamomy taira
Hivyo basi kwa vile you are stupid huo upumbavu wako ntautoa tu humo akilini 😁
Shwari asee nakusalimia tuSema naye bablai
Sasa mbona ndicho nilichoandika tangu mwanzo ila wewe ukasema nazunguka, kumbe shida ni uelewa wako tu halafu unasingizia watu wanatoka nje ya mada, uwe unasoma kwa umakini siyo unasoma haraka haraka mradi tu uje ubisheUlitakiwa kujibu hivi tangu mwanzo.
Shukrani chaliiangu, pande hizi ni shwari kabisa, sijui hukoShwari asee nakusalimia tu
Mwanamke unajiitaje jina la gereza? Au wewe ni mhalifu?Sasa. Anatokea punda anakomaa kabisa anasema haijalishi. Mwanaume lazima aheshimiwe!!! No thank you:
I love you 💕💖😍❤️Huna ubavu wa kutoa upumbavu wowote kichwani kwa mtu. Tupo kama tulivyo na hatuna mpango wa kubadilika, huna unaloweza kufanya zaidi kujaa hasira.
Ulike au udislike, who cares?
Nasubiri mkuuNikitulia ntakupa ukausome ss hivi kuna kitu nafanya.!!
Huwezi kumuhudumia mwanamke kama hauna pesa.Sasa mbona ulipinga hoja yangu ya kwamba msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke, au haujui kwamba hata tamaduni za kiafrika nazo zilijengeka kutokana na msingi huo, kiufupi ukija kwenye uhalisia hakuna sababu yoyote ya mwanamke kumtii mwanaume nje ya mwanaume kumhudumia huyo mwanamke
Haujajibu chochote ulikua unaluka luka tu unahisi swali lina mtego hata ivyo ulichojibu ni mwanaume fala ndio anaweza kukubali, yaani mnaishi sehemu tofauti(umepanga au upo kwa wazazi wako) au mnaishi pamoja halafu una ajira bado unataka mwanaume akuhudumie. kama unaishi kwenu wajibu wa baba ako ni upi?, kama hauna ajira na umepanga kwanini uliondoka kwenu?, kama una ajira na unataka kuhudumiwa kipato chako unapeleka wapi? Ni mwanaume fala ndio atakubali hayo matakwa yako labda tu kama lengo lake liwe kukutomba na kukuacha ndio atatoa hela kama chambo akishamaliza haja zake anaingia mitini ila kwa mentality yako kuwa na mahusiano ya maana sahau.Sasa mbona ndicho nilichoandika tangu mwanzo ila wewe ukasema nazunguka, kumbe shida ni uelewa wako tu halafu unasingizia watu wanatoka nje ya mada, uwe unasoma kwa umakini siyo unasoma haraka haraka mradi tu uje ubishe
Huyo utakuta ni lisingle maza lina stress za kupigwa miti bure na boda bodaHaujajibu chochote ulikua unaluka luka tu unahisi swali lina mtego hata ivyo ulichojibu ni mwanaume fala ndio anaweza kukubali, yaani mnaishi sehemu tofauti(umepanga au upo kwa wazazi wako) au mnaishi pamoja halafu una ajira bado unataka mwanaume akuhudumie. kama unaishi kwenu wajibu wa baba ako ni upi?, kama hauna ajira na umepanga kwanini uliondoka kwenu?, kama una ajira na unataka kuhudumiwa kipato chako unapeleka wapi? Ni mwanaume fala ndio atakubali hayo matakwa yako labda tu kama lengo lake liwe kukutomba na kukuacha ndio atatoa hela kama chambo akishamaliza haja zake anaingia mitini ila kwa mentality yako kuwa na mahusiano ya maana sahau.
Nipo rafiki ila nimekua msomaji zaidi nacomment mara moja moja. Uko poa lkn?Mkuu umeadimika sana why?
Ndo nimetoka church ngoja nikuchekieNasubiri mkuu
Salama tu , itabidi na mimi niwe msomaji tu kama wewe kwa sasa😊Nipo rafiki ila nimekua msomaji zaidi nacomment mara moja moja. Uko poa lkn?
Ukikuwa utaacha kuhoji. It's all about the laws of nature. Kuna vitu vipo hivyo tu kingine mwanamke kaumbwa hivyo kukubali kutawaliwa not in a bad way ila ni moja wapo ya feminine quality. Ukiona mwanamke anataka ku act kama mwanaume there's some imbalances.Mwanamke kumtii mwanaume ni kwa shurti mkuu wala msipindishe maneno ingekuwa siyo kwa shurti basi leo hii msingekuwa mnakesha kuupigania na kuulilia huo utii kwa nguvu, bali wanawake wote wangejikuta wanawapa tu utii wao wenyewe na mambo yangekuwa yanaenda smoothly tu, hapo kwenye hiyo heshima ya kuona kwamba "huyu ni mwanaume na mimi ni mwanamke" ndio ninapohoji msingi wake hapo yani msingi wa mwanaume kumtawala mwanaume uko kwenye nini hasa yani
In your dreams.I love you 💕💖😍❤️
Shangazi hutaki vijana wadogo 😁💋In your dreams.