Wewe ndie itasubiri sana kupata huyo mwanaume wako imaginary ambaye sidhani kama anaweza kuexist popote pale.Watasubiri sana, hakuna mwanamke wa kumfanya mtumwa miaka hii.
Upeo mdogo, ataleta chenga hapo akubadilishie topic, huyo dishi lake ni kama startimes.Mkuu mbona unazunguka halafu hautoi jibu umesema ili stability ya mahusiano iwepo mwanaume anatakiwa kuhudumia ndipo mwanamke amtii... sasa nimeuliza kwamba vipi kuhusu wapenzi ambao hawaishi pamoja au mke ambae ana ajira je hapa mwanaume bado anawajibika kuhudumia?
Hakuna, kama hauna adabu ni hauna tu, hata uolewe na bakhressa akakupa kila kitu ipo siku utaropoka na kuongea maneno ya hovyo tu.Tubadilike kwani tumekuwa wa kijani?? Nyie kaeni kwa password, tutawatii km mtajua wajibu wenu
The same kwako ukishindwa hoja unaanza kutengeneza na kufabricate tuhuma za jumla jumla ili tu kuleta sintofahamu ya mjadala.Vile wanaume wa jf mkishindwa hoja mnavyogeuka pyschologists na philosophers, hizi defensive mechanisms zenu nishazizoea mkuu cha msingi we jikite kwenye mada iliyoko mezani, mimi hata nikishindwa kuishi na mwanaume yeyote yule sidhani kama wewe itakupunguzia kitu
Huwezi kuwa na majibu yote kwa swali simple tu. Amekuuliza kuwa kama wewe unataka utii uwe ni matokeo ya kupewa mahitaji yako, je kipindi unadate na mwanaume na wewe bado unaishi kwenu kwa wazazi wako ukipata kila mahitaji au ikiwa amekutana na wewe ukiwa na kazi yako una kipato chako, je bado utakuwa na sababu ya kutomtii Sababu sio yeye anayelipa bili zako? [emoji848] Mbona swali ni simple sana. Shida unapenda kuharibu direction ya mjadala. Mwenyewe unaita kujenga hoja.Tatizo lako unalazimisha kila swali liwe na jibu la moja kwa moja (kama vile ndio au hapana) na mtu akikujibu tofauti na ulivyotarajia unaanza kusema ametoka nje ya mada, sasa hiyo siyo namna ya kujadili hoja bwamdogo usilazimishe watu wakujibu kile unachotaka kusikia wewe, kwa mfano hilo swali lako hapo halina jibu la moja kwa moja kwa sababu siku hizi kuna aina nyingi za mahusiano kwahiyo inategemea hao watu wapo kwenye mahusiano ya aina gani
Hakuwa nyoka per say, alikuwa ni Mwanamke wa kwanza , anaitwa Lilith. Nyoka aache kwenda kumeza vyura huko na kugombana na vicheche aje kuongea na binadamu ampe tunda ili aharibu mahusiano yake na MUNGU kwa faida gani? [emoji848]Na nikukumbushe sisi ndio viumbe pekee tuliyoongea na Shetani (Nyoka) live
Na huu ndo ukweli wanaume hawataki kusikia📌📍Acheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Ni kweli wapoKuna baadhi wanahudumiwa ila ni majeuri
It seem una struggle kuelewa connection ya utii na kuprovide kama different love languages za wanawake na wanaume.Sasa maelewano yapi ikiwa mmoja anatakiwa kufuata na kutii tu amri za mwenzake, hapo kwenye kila mtu kutambua nafasi yake ndipo kwenye utata hapo, kwa sababu kuna mmoja hapo analazimishwa kutambua nafasi ambayo hajajipangia yeye na ni kinyume na utashi wake
Umeona akili zako zilivyo za kupenda mashindano wewe? [emoji848]Kwanza kabisa hujanitajia aina zote za mahusiano inaonesha hata huzijui hizo aina zenyewe, pili bado swali lako halina hilo jibu la moja kwa moja unalotaka kulisikia, mwisho hata kwa hizo aina ulizonitajia inategemea wenza mmekubalianaje kuhusu namna ya kuendesha hayo mahusiano yenu
Exactly na huku nje watombaji wapo wengi watamsindikiza na madudu hadu umri ufike awe amechoka ndipo hapo sasa atajua kuwa ugali sio keki.Mwanamke kama hauna utii achana na kuingia kwenye ndoa utaishia kuwa senior single forever then utaishia kupata cheo cha ushangazi
Ananikumbusha experiment moja wazungu walifanya, walimchukua duma na kumuweka katika mashindano ya kukimbia na wale mbwa wakubwa warefu wanaitwa hound dogs.Sidhani kama tumeshindwa na hainipunguzii kitu. ila ni vile tu wanawake siku hizi ham act like real women. Mna mentality ya kuona kama mnalingana na wanaume in terms of everything ambako hakutawahi kutokea milele wewe unaweza kuhisi ni sawa because system na sheria zinawabeba ila trust me kuna mda utakuja kulielewa hili, sisi sio kwamba tunataka mtunyenyekee kama mnavyodhani ila ni ile feminine quality ambayo wanawake wengi wameipoteza kwasababu ya utandawazi.
So nikuulize mfano mwanaume anachangamoto za kifedha na mkewe ana kazi. Je aende nje kutafuta mwanamke mwingine amsaidie maswala ya nyumbani kwake ili tu mkewe aweze kukosa sababu ya kuanza kutomtii?Hayo mambo ya vipato umeyaleta wewe, hoja yangu ni kwamba kama mwanamke anamsaidia mwanaume majukumu yake basi anastahili kumsaidia na nafasi yake, ila kama mwanaume anapambana peke yake na majukumu yake bila kujali kipato chake wala kuhitaji msaada wa mke basi huyo anastahili utii
Sasa kama hakuna gari inayoendeshwa na madereva wawili kwanini kwenye upande wa majukumu mnataka kuwe na madereva wawili, unafahamu kwamba mkiwa kwenye gari jukumu la dereva ni tofauti na jukumu la abiria yeye abiria kazi yake ni kustarehe huku dereva ndiye akitakiwa kuwa makini kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari, sasa inapotokea dereva anataka abiria naye amsaidie baadhi ya mambo kama kumuangalizia alama za barabarani au vyombo vingine vya usafiri hapo hiyo gari inakuwa na madereva wangapi au wewe unadhani udereva ni kudeal na usukani gear na pedals pekee siyo
Akili yake haimruhusu kujibu hili ndio maana unaona anakwepa kwepa. Hana uwezo wa kutumia logic yeye ni emotional creatures all the time.Sawa, tuachane na suala la aina za mahusiano, tujadiliane kwa mtazamo wako binafsi. Situation ya kwanza wewe na mpenzi wako mnaishi sehemu tofauti na situation ya pili mnaishi kama mume na mke halafu wewe una ajira inayokupa kipato. Sasa mmekaa chini mjadiliane kuhusu suala la nani anawajibika kutoa huduma wewe kama mwanamke utakuja na terms zipi mezani?
Unakuta mwanamke ana pesa, nyumba hata tatu, biashara kubwa, magari mazuri, shughuli sasa kupata mwanaume wa maana.hujakosea wakisha fika 30 huwa wanafat kanun na hasa akisha kuwa na mtoto asiye ijua sura ya baba yake (single mama)
Unajua neno "Kulazimisha au kutaka kuwa sawa" lina maanishaje hapo au lina uzito gani? [emoji848]Hivi hii ya wanaume kuona kwamba wanawake wanataka kuwa sawa na ninyi inatokana na nini, kwa sababu mimi sidhani kama mwanamke kushindwa kumtii mwanaume kunamaanisha kwamba wako sawa, na huo utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke sidhani kama ndio justification ya mmoja kulazimika kuwa chini ya mwenzake hata kama hayuko tayari
Okay, nikuulize, mfano mimi uwezo wangu kwa wakati huo siwezi mudu mnunulia mke wangu ambaye ana ajira nzuri, nguo nzuri za gharama, simu kali, na hata gari sina. Je yeye anataka hayo maisha huoni kama kwa mujibu wa matakwa yake mimi nitakuwa simhudumii vile anataka na hapo automatically hatotaka kunitii? [emoji848]Mimi terms zangu mbona zinaeleweka huwa nashauri mtu achague tu moja kati ya haya, either kila mmoja atimize majukumu yake bila kutegemea msaada wa mwenzie na hapo obviously mwanamke atalazimika kumtii mwanaume, au wote wasaidiane majukumu yao yote bila kujali ni ya jinsia gani then hapo hakuna wa kumtii wala kumtawala mwenzie bali wote wanatakiwa kuheshimiana na kusikilizana
Zipo sababu zipo na ni ni nyingi. Kwasababu hauzijui haimaanishi kuwa hazipo. Uwe mtu wa kujifunza sio mtu wa kupinga kila jambo.Sasa mbona ulipinga hoja yangu ya kwamba msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke, au haujui kwamba hata tamaduni za kiafrika nazo zilijengeka kutokana na msingi huo, kiufupi ukija kwenye uhalisia hakuna sababu yoyote ya mwanamke kumtii mwanaume nje ya mwanaume kumhudumia huyo mwanamke