Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Watasubiri sana, hakuna mwanamke wa kumfanya mtumwa miaka hii.
Wewe ndie itasubiri sana kupata huyo mwanaume wako imaginary ambaye sidhani kama anaweza kuexist popote pale.

Sampuli ya mwanaume utayeweza kuishi nae wewe ndio wale wale ambao huwa mnawaita wanaume suruali au wanaume wa ajabu ambao mliwakimbia huko nyuma. Utawakuta huko mbeleni.

Dharau zenu zinawaponza.

Sasa jidanganye kuwa una subiriwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mbona unazunguka halafu hautoi jibu umesema ili stability ya mahusiano iwepo mwanaume anatakiwa kuhudumia ndipo mwanamke amtii... sasa nimeuliza kwamba vipi kuhusu wapenzi ambao hawaishi pamoja au mke ambae ana ajira je hapa mwanaume bado anawajibika kuhudumia?
Upeo mdogo, ataleta chenga hapo akubadilishie topic, huyo dishi lake ni kama startimes.
 
Tubadilike kwani tumekuwa wa kijani?? Nyie kaeni kwa password, tutawatii km mtajua wajibu wenu
Hakuna, kama hauna adabu ni hauna tu, hata uolewe na bakhressa akakupa kila kitu ipo siku utaropoka na kuongea maneno ya hovyo tu.

Mwanamke wa kutii ukisoma sentence zake chache unajua.
 
Vile wanaume wa jf mkishindwa hoja mnavyogeuka pyschologists na philosophers, hizi defensive mechanisms zenu nishazizoea mkuu cha msingi we jikite kwenye mada iliyoko mezani, mimi hata nikishindwa kuishi na mwanaume yeyote yule sidhani kama wewe itakupunguzia kitu
The same kwako ukishindwa hoja unaanza kutengeneza na kufabricate tuhuma za jumla jumla ili tu kuleta sintofahamu ya mjadala.
 
Tatizo lako unalazimisha kila swali liwe na jibu la moja kwa moja (kama vile ndio au hapana) na mtu akikujibu tofauti na ulivyotarajia unaanza kusema ametoka nje ya mada, sasa hiyo siyo namna ya kujadili hoja bwamdogo usilazimishe watu wakujibu kile unachotaka kusikia wewe, kwa mfano hilo swali lako hapo halina jibu la moja kwa moja kwa sababu siku hizi kuna aina nyingi za mahusiano kwahiyo inategemea hao watu wapo kwenye mahusiano ya aina gani
Huwezi kuwa na majibu yote kwa swali simple tu. Amekuuliza kuwa kama wewe unataka utii uwe ni matokeo ya kupewa mahitaji yako, je kipindi unadate na mwanaume na wewe bado unaishi kwenu kwa wazazi wako ukipata kila mahitaji au ikiwa amekutana na wewe ukiwa na kazi yako una kipato chako, je bado utakuwa na sababu ya kutomtii Sababu sio yeye anayelipa bili zako? [emoji848] Mbona swali ni simple sana. Shida unapenda kuharibu direction ya mjadala. Mwenyewe unaita kujenga hoja.
 
Na nikukumbushe sisi ndio viumbe pekee tuliyoongea na Shetani (Nyoka) live
Hakuwa nyoka per say, alikuwa ni Mwanamke wa kwanza , anaitwa Lilith. Nyoka aache kwenda kumeza vyura huko na kugombana na vicheche aje kuongea na binadamu ampe tunda ili aharibu mahusiano yake na MUNGU kwa faida gani? [emoji848]


Fumbo hufumbiwa mjinga, mwerevu hutambua. Anyways bakia hivyo hivyo. Enhee mkaongea na nyoka, hivi alikuwa ni nyoka aina gani, chatu, koboko, cobra, wa kijani au? [emoji848]
 
Acheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Na huu ndo ukweli wanaume hawataki kusikia📌📍
 
Sasa maelewano yapi ikiwa mmoja anatakiwa kufuata na kutii tu amri za mwenzake, hapo kwenye kila mtu kutambua nafasi yake ndipo kwenye utata hapo, kwa sababu kuna mmoja hapo analazimishwa kutambua nafasi ambayo hajajipangia yeye na ni kinyume na utashi wake
It seem una struggle kuelewa connection ya utii na kuprovide kama different love languages za wanawake na wanaume.

The fact kwamba unarumbana kutaka kujua kwann wanaume wanalazimisha wewe kutii before haujapewa chochote shows how you lack eneo la knowledge ya mahusiano and how it works for the two.

Hata eneo la ajira, unapewa miezi mitatu na muajiriwa wako kuprove uwezo wako sababu yeye ndie atakuwa responsible na bills zako zote na kuyashika maisha yako maana bila ajira hiyo wewe hauna maisha.

So kimsingi mwanaume ili aweze kujitoa na kuweza kujenga maisha yake na wewe kama mwanamke ni lazima aone ile genuine submission yako katika life yake.

Sasa if wewe unasubiria maisha yaanze ndipo uonyeshe utii it means hauna huo utii unaosema unao in the first place. After all, how much does it cost kumtii mtu huku mambo mengine yakiendelea, utii upo ndani ya spirit ya mtu na sio kitu cha kulipia Brela na TRA ndipo vibali vitoke.

Shida yako Jadda una aina fulani ya ulimbukeni na maisha ya kizungu ukiamini wazungu ndio wanaishi hivyo kumbe masikini hakuna unalolijua.

Nikikuuliza hizi idea unatoa wapi unaweza nambia ni tamaduni ya jamii gani hizi? Maana sote tunajua sio tamaduni za kiafrika kwa mwanamke kutotii mwanaume wake.

Anyways, go on na tabia zako.
 
Kwanza kabisa hujanitajia aina zote za mahusiano inaonesha hata huzijui hizo aina zenyewe, pili bado swali lako halina hilo jibu la moja kwa moja unalotaka kulisikia, mwisho hata kwa hizo aina ulizonitajia inategemea wenza mmekubalianaje kuhusu namna ya kuendesha hayo mahusiano yenu
Umeona akili zako zilivyo za kupenda mashindano wewe? [emoji848]

Yaani mtu kaamua kukudadavulia alichomaanisha tena kwa maneno mepesi ambayo hata darasa la saba anaweza elewa ila tazama namna ulivyokuwa na maviburi na kupenda kila kitu kiende vile unataka.

Kwa style hii wewe unajiita ni mwanamke wa maana au mwanamke anayejitambua kama unavyojinasibu? [emoji848]

Wewe nakwambia endelea kuandika cheque kubwa ambayo hautaweza kuicash kwa ulichonacho kwenye account.

Haya maneno na dharau plus jeuri zitakuja kulipa eventually and you will see the real deal of life.
 
Mwanamke kama hauna utii achana na kuingia kwenye ndoa utaishia kuwa senior single forever then utaishia kupata cheo cha ushangazi
Exactly na huku nje watombaji wapo wengi watamsindikiza na madudu hadu umri ufike awe amechoka ndipo hapo sasa atajua kuwa ugali sio keki.
 
Shida kubwa kw sisi wanaume ni kutaka kuwa na watu ambao sio size zetu, kivipi unataka uwe kwenye mahusiano na mwanamke amekuzidi kila kitu apo ni ngumu kupata heshima na kama atakuheshimu basi ni kwa muda, tutafute size zetu heshima ni jambo la lazima maana utakuwa unahudumia familia!!!
Ila now days wanaume wanahudumiwa na unategemea heshima itoke wapi? Kutusaidia ni sawa ila sio kw asilimia💯
 
Sidhani kama tumeshindwa na hainipunguzii kitu. ila ni vile tu wanawake siku hizi ham act like real women. Mna mentality ya kuona kama mnalingana na wanaume in terms of everything ambako hakutawahi kutokea milele wewe unaweza kuhisi ni sawa because system na sheria zinawabeba ila trust me kuna mda utakuja kulielewa hili, sisi sio kwamba tunataka mtunyenyekee kama mnavyodhani ila ni ile feminine quality ambayo wanawake wengi wameipoteza kwasababu ya utandawazi.
Ananikumbusha experiment moja wazungu walifanya, walimchukua duma na kumuweka katika mashindano ya kukimbia na wale mbwa wakubwa warefu wanaitwa hound dogs.

Mageti yalipofunguliwa duma hakutoka wala nini akachuna anawashangaa tu wale mbwa wanavyotoka nduki kukimbia wakishinda.

Baadae kwenye magazeti kuna mwandishi akaandika "Duma hakukimbia kwasababu alijua anashindanishwa na wanyama ambao sio level yake sio kwamba ameogopa." Si ajabu angeamua kukimbia nao angewazidi hata laps tatu zaidi


Sasa ndio hawa akina Jadda na akili za kifeminist, ukimpa ukweli na kumhoji yeye anahisi wewe kama mwanaume mpo level moja.
 
Hayo mambo ya vipato umeyaleta wewe, hoja yangu ni kwamba kama mwanamke anamsaidia mwanaume majukumu yake basi anastahili kumsaidia na nafasi yake, ila kama mwanaume anapambana peke yake na majukumu yake bila kujali kipato chake wala kuhitaji msaada wa mke basi huyo anastahili utii

Sasa kama hakuna gari inayoendeshwa na madereva wawili kwanini kwenye upande wa majukumu mnataka kuwe na madereva wawili, unafahamu kwamba mkiwa kwenye gari jukumu la dereva ni tofauti na jukumu la abiria yeye abiria kazi yake ni kustarehe huku dereva ndiye akitakiwa kuwa makini kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari, sasa inapotokea dereva anataka abiria naye amsaidie baadhi ya mambo kama kumuangalizia alama za barabarani au vyombo vingine vya usafiri hapo hiyo gari inakuwa na madereva wangapi au wewe unadhani udereva ni kudeal na usukani gear na pedals pekee siyo
So nikuulize mfano mwanaume anachangamoto za kifedha na mkewe ana kazi. Je aende nje kutafuta mwanamke mwingine amsaidie maswala ya nyumbani kwake ili tu mkewe aweze kukosa sababu ya kuanza kutomtii?

Sasa kazi ya mke ni nini kama kumsaidia mwanaume wake anapokwama ni aina ya faulo?

Wewe umelelewa na jamii gani wewe mbona una akili kama za walugulu na wamakonde? [emoji848]
 
Sawa, tuachane na suala la aina za mahusiano, tujadiliane kwa mtazamo wako binafsi. Situation ya kwanza wewe na mpenzi wako mnaishi sehemu tofauti na situation ya pili mnaishi kama mume na mke halafu wewe una ajira inayokupa kipato. Sasa mmekaa chini mjadiliane kuhusu suala la nani anawajibika kutoa huduma wewe kama mwanamke utakuja na terms zipi mezani?
Akili yake haimruhusu kujibu hili ndio maana unaona anakwepa kwepa. Hana uwezo wa kutumia logic yeye ni emotional creatures all the time.

Hapa usishangae atakujia na story na mifano ya ubakaji, ulawiti watoto, kukosekana umeme, rushwa, kuchelewa kwa mishahara ya wafanyakazi serikalini, shida ya maji vijijini, na vita vya Ukraine katika kujibu swali very simple ulilomuuliza [emoji23]
 
hujakosea wakisha fika 30 huwa wanafat kanun na hasa akisha kuwa na mtoto asiye ijua sura ya baba yake (single mama)
Unakuta mwanamke ana pesa, nyumba hata tatu, biashara kubwa, magari mazuri, shughuli sasa kupata mwanaume wa maana.

Tazama akina shilole, wolper, auntie Ezekiel, etc kwa maarufu ona namna wana struggle kufanya mahusiano serious.
 
Hivi hii ya wanaume kuona kwamba wanawake wanataka kuwa sawa na ninyi inatokana na nini, kwa sababu mimi sidhani kama mwanamke kushindwa kumtii mwanaume kunamaanisha kwamba wako sawa, na huo utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke sidhani kama ndio justification ya mmoja kulazimika kuwa chini ya mwenzake hata kama hayuko tayari
Unajua neno "Kulazimisha au kutaka kuwa sawa" lina maanishaje hapo au lina uzito gani? [emoji848]
 
Mimi terms zangu mbona zinaeleweka huwa nashauri mtu achague tu moja kati ya haya, either kila mmoja atimize majukumu yake bila kutegemea msaada wa mwenzie na hapo obviously mwanamke atalazimika kumtii mwanaume, au wote wasaidiane majukumu yao yote bila kujali ni ya jinsia gani then hapo hakuna wa kumtii wala kumtawala mwenzie bali wote wanatakiwa kuheshimiana na kusikilizana
Okay, nikuulize, mfano mimi uwezo wangu kwa wakati huo siwezi mudu mnunulia mke wangu ambaye ana ajira nzuri, nguo nzuri za gharama, simu kali, na hata gari sina. Je yeye anataka hayo maisha huoni kama kwa mujibu wa matakwa yake mimi nitakuwa simhudumii vile anataka na hapo automatically hatotaka kunitii? [emoji848]
 
Sasa mbona ulipinga hoja yangu ya kwamba msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke, au haujui kwamba hata tamaduni za kiafrika nazo zilijengeka kutokana na msingi huo, kiufupi ukija kwenye uhalisia hakuna sababu yoyote ya mwanamke kumtii mwanaume nje ya mwanaume kumhudumia huyo mwanamke
Zipo sababu zipo na ni ni nyingi. Kwasababu hauzijui haimaanishi kuwa hazipo. Uwe mtu wa kujifunza sio mtu wa kupinga kila jambo.
 
Back
Top Bottom